Mkurugenzi wa Benchmarck Productions Madame Rita Paulsen (kulia) akiongea na wanahabari kuhusu kuwatangaza washiriki 20 bora wa BSS,na kushoto ni Meneja Udhamini wa Vodacom Emillian Rwejuna. Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania ndio wadhamini wakuu wa Bongo Star Seach(BSS).
Hawa ndiyo washiriki 20 bora walioingia katika kinyang’anyiro cha Bongo Star Search,Unaodhaminiwa na Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 30, 2009

    Madame Rita Paulsen ana umri gani? Mimi niko tayari kumuoa kwani hela hazinipi shida.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 30, 2009

    michuzi,samahani bwana i was just curious na jina la huyu mwandada amabye kwa kweli kwangu mimi naona ni mfano wa kuigwa na vijana wengine wa hapa nyumbani walio na utaalamu na elimu lakini tumekaa tunasubiri kuajiliwa .any way ninampongeza sana huyu dada japo kuwa ndio kwanza safari imeanza.sasa basi hili jina lake la kwanza ni Madame halafu ndio Rita la katikati na kisha kufuatiwa na surname yake.
    sehemu nyingi nimeona akijitambulisha kwa kuanzia na madame .Sio muhimu sana though kama hufahamu hamana baya yote swa tuu .ewas just my curiosity kwa sababu sehemu fulani fulani watu hawapendi kuitwa kwa jina kama hilo huwa linaendena na sifa chafu (kihadhara) hasa kwa mwana dada wa kimaadili kam yeye.
    N a nilipoona hilo (buch of times) limenishtusha kiasi fulani- mtu kutaka aitwe na umma madame.ipo kazi.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 30, 2009

    Du! huyo Rita kanikumbusha mbaaaaaali sana, anafanana na girl friend wangu wa zamani Isabel, kwa baati mbaya mzungu kamwai huko ireland, she was very smart girl I mean a family lady! i will love her till death!ingawa yuko na watoto sasa! watatu hivi nilisikia! do sorry!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 30, 2009

    Kuimba wanajua lakini wengi wao hawana ile SWAGGER

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 01, 2009

    Ritta, salamu sana. nafurahishwa na jinsi ulivyo hasa unapokuwa na concern kwa matukio muhimu. Nkupongeza sana kwa kuweza kuwa na wasifu huo, ingawa ni kwa maono yangu, so let me say. Unaonekana kuwa na upendo wa dhati na huruma pia, which is a credit to any decent woman. Nilikuangalia sana when master j present the top 20 results. Ukweli ulikuwa na hisia na wakati mwingine ulionyesha simanzi hata kushindwa kupumua, ni kama ulitamani kuwa na washiriki wote, pengine, ila naguess tu lakini elements ya simanzi ulikuwa nayo kwa wale walioshindwa kuingia top 20. lakini si unajua ndio game ilivyo? sasa why ulishindwa kuwa na mood ya kawaida? Pole sana, lakini hongera sana kwa program ya BSS.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...