wasanii hawa watamaliza masomo yao mwezi ujao na wamesema kuwa masomo ndio yaliowafanya wasijishughulishe kwa sana katika hili gemu kama wasanii wengine hivyo waliamua kuipa elimu kipaumbele. Wanasema washabiki wakae mkao wa kula kwani wanakuja na kitu kipya kutoka Chuo kikuu cha TUMAINI Univesity A-taun.
Pia wamewaasa wasanii wengine wamziki wa kizazi kipya kupata elimu kwanza ili kwenda sambamba nasayansi na teknolojia na utandawazi. Tayari kwa sasa wameshakamilisha ngoma mpya iitwayo 'mademu wa college' wakimshilikisha CUBIC na JETMAN.
pichani wasanii hao kutoka kushoto ni SAM LOCKS, MR BLESS, mtayarishiji wa mziki na Mmiliki wa studio ya NOIZMAKER ya ARUSHA DX,ambaye pia anahitimu masomo mwezi ujao, NOIZMAN(TAIFA) na SIR ONE wakiwa katika chuo kikuu cha TUMAINI wakati wa mapumziko ya vipindi vyao
Hongeleni vijana kwasababu elimu ni kitu muhimu na haina mwisho,ila uso zenu zaonyesha kama makamanda??,,
ReplyDelete