Home
Unlabelled
benjamin mkapa towers wakati wa magharibi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ndugu Michu: tafadhali tuambie ziliko hizo Benjamin Mkapa Towers. Sijafika Dar nina miaka mingi kidogo. Au mdau mwingine anaeweza kutuelezea nitafurahi. Naona Dar inameremeta. Lakini nyumbani ni nyumbani hata kukiwa....
ReplyDeletejengo linatazamana na Posta mpya au mkabala na CRDB Azikiwe na ktk makutano ya Maktaba na Jamhuri. ni jengo refu na jipya lakini limejengwa kizamani sana
ReplyDeletemangi wa k'koo
Zipo Manzese kwa Mchinja Mbwa. Hapana Duuh, nisikuingize mjini bwana, zipo Posta Mpya, ukishuka kituo cha Posta Mpya, hizooo zinasaidia kunyosha shingo ukitaka kuangalia kileleni.
ReplyDeleteLakini mimi nauliza, kuuliza sio ujinga, kwanini zimeitwa hivyo, ina maana mwenye jina ndiye anayezimiliki, au zimepewa kama vile barabara ya Nyerere, AU?
mithupu uwe unapiga na picha za wakati wa magharibi za maeneo ya manzese, temeke, chang'ombe tuone kulivyobadilika, sihani kama unazifahamu hizo sehemu lakini. mdau wa nanihiii
ReplyDeletedon't be silly guys
ReplyDeletethose are NY twin towers before 9/11.
dont be silly guys,
ReplyDeletethose are NY twin towers before 9/11
fika ujionee yaliyomo katika jengo hilo la kisasa, kuna boutique za nguvu ground floor,na ghorofa ya kwanza kwa waswahili wenzangu kwa wazungu mezzanine floor, bank na kadha wa kadha.Kweli Dar yapendeza.
ReplyDeletewooow those building looking good i was in Dar 5yrs ago but i did not see them!! or are those new buildings?
ReplyDelete