THE FIRST EVERTANZANIAN
PROFESSIONALS DIASPORA SUMMIT 2009ON EMPOWERMENT

Nyumbani Ni Nyumbani 2009
Dates:
Tuesday 15th
to
Friday
18th December 2009
Venue: Dar Es Salaam; Ubungo Plaza; Blue Pearl Hotel
Participation Fees*: USD $ 100 or TZS 150,000

* Participation Fees Covers 3 full days conference attendance, 2 tea breaks with snacks, lunch buffet, 1 soft drink, Opening Dinner and Closing Dinner.
Excluded in the fees: 4th day which has been set aside for one to one meeting and excursionsFor Confirmation and other details, please contact:
You can make payments and get your receipt using any of the following methods:Bank Deposits or TT to: T
anzania Professionals Network,
CRDB Bank; Lumumba Branch; Dar Es Salaam; Tanzania.
US $ A/C No: 02J1 007 608 900;
TZS A/C No: 01J1 007 608 901
Z-Pesa (Zantel): 0777 334 078 — Consolata Maimu; TPN Treasurer
Voda-Pesa (Vodacom): 0767 601 044 — Method Bakuza; Secretary GeneralWestern Union — Send to: Consolata Maimu; Dar Es Salaam; Tanzania
Cash: TPN Office — Nyerere Road;
TOHS Building;
1st Floor,
Next to TBC Radio
Mkutano huu unaandaliwa na:·
Tanzania Professionals Network
COSTECH
Convocation of UDSM/OUT (Professor Mbwette)
Government – Active part being Ministry of Foreign Affairs

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 29, 2009

    Tunaomba agenda ya mkutano
    pk

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 29, 2009

    Lini mwisho wa kujisajili?

    ReplyDelete
  3. Luois ( Ghana)July 29, 2009

    hi, mewatumia mwaliko dr shayo na Mashaka? Kama bado, niko tayari kuwaalika na kuwalipia fees ili waje kutoa changamoto
    aksanteni

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 29, 2009

    Are you guys kidding me? You are charging the same rate as that of an average Tanzanian to get in? We don't live in the developed country people. Please charge Third World prices!!

    And just one more thing....did anyone check the meaning of DIASPORA? Let me be generous to you...it means people who live OUTSIDE their home countries. So in other words, it makes no sense to have a meeting in Tanzania. It would have made sense to do it in Canada, Australia or the U.S where there is a sizeable number of the Tanzanian Diaspora community. If you are part of the diaspora community, you would not be in Tanzania, would you?

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 29, 2009

    Nawapongeza TPN kwa kufikiria na kuandaa mkutano huu. ILA Naomba waandaaji wa mkutano huu watoe ratiba na agenda zote za kila siku kwa siku zote tatu za mkutano huu.

    Ni muhimu sana kufahamu "details" hizi ili sisi tulio mbali tupange kuja. Kuweka big headlines haitoshi. The devil is always in the details.

    Ahsante

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 29, 2009

    We anonym no 1, Agenda ya nini? Lipa kwanza, Agenda baadae!!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 29, 2009

    Diaspora kukutana DSM, jamani amtuhurumii 'wabeba-boksi' maana nauli ya kutoka New York au London au Rotterdam mpaka Darisalama kipindi hiki cha credit crunch na 'high season' usafiri wa ndege haukamatiki.

    Bora matawi yafunguliwe ughaibuni (diaspora) ambako angalau tutaweza kukutana kwa gharama nafuu.

    Mbeba-Box Mwandamizi
    Seattle, USA.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 29, 2009

    TANZANIA PROFESSIONALS DIASPORA SUMMIT...! SOMETHING IS MISSING HERE: ARE WE TALKING ABOUT PROFESSIONALS IN BONGO OR THOSE IN DIASPORA?

    Mdau DMK

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 29, 2009

    hah ah na kwa bei hiyo mbona an average professional guy will be excluded.

    Diaspora meeting ya wakwe zetu na watani wetu wa jadi jamani au walifanyaga mkutano hapo na wabongo waka copycat bila kujua the meaning of that word. Bongo hiyoooooo

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 30, 2009

    Let us be clear, kama ni kuja kuuza sura na kulingishiana raba mtoni semeni kabisaaaa... lakini kama ni kuna serious issues tunaomba agenda kabla ya kulipa... changa la macho iloooooooo basi wekeni na dj na Mc na dress code etc etc...

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 30, 2009

    Wazalendo Wenzangu;

    Yeyote anayehitaji details naomba atume barua pepe kwa president@tpn.co.tz na CONCEPT PAPER yenye details zote itatumwa kwako.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...