





Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
michuzi wewe ni muislam amruhusiwi kula ulevi naona kijani ipo karubu na plate yako. sio sawa mtu mzima
ReplyDeletefanyeni mrudi tuliendeleze libeneke la box
ReplyDeleteAnko Michuzi, io picha ya nne mbona vidole vimepauka sana?
ReplyDeletemweee michuzi we tangu lini umeanza kula kwa kutumia hivyo vijiti vya kichina...maana hapo naona vinakutoa ushamba kidogo maana wewe ushazoea kula kwa madole matano kama unavyo kula kule kwa mtogole
ReplyDeleteMichuzi,
ReplyDeleteDuuh wee kweli Mzee wa Libeneke. Naona unawahi kuku mapema. Unanikumbusha wakati wa minuso linaletwa sinia la pilau wataalam walikuwa wanavamia nyama kwanza ten wanamalizia na wali :)
Heh!! wee! Muhidini ! umeanza lini kukamata kilaji? staghafilulaaah!!!! halafu naona vijiti vinakutoa ushamba si ula na mikono tuu
ReplyDeleteoneni mifano mizuri, ndoa hiyo, kitu imetulia hiyo.
ReplyDeleteIla mdumishe na uaminifu kwenye Ndoa pia.
Tuwaache walafi wakipukutika kwa kutokuwa waaminifu kwenye ndoa zao.
Tuonyeshe mifano bora na watu waseme nataka ndoa kama ya yule aliye kwenye Blog ya Michuzi.
Mmependeza Anita!! Huyo wifi yako nimempenda. Naomba details zake, natafuta Jiko!
ReplyDeleteJerry
Makao Mapya
sasa apo ni ndoa au bethidei??
ReplyDeletejamani
ivi adi mjichoreshe umu bloguni??
khaaaaa
siku izi unajiita anko???????????
ReplyDeletenakukubali mkuu wa wilaya. Ila tutambulishe basi huyu Anita na mai hazibandi wake umewapa shavu sana ni kina nani hawa tupe intro basi.
ReplyDeletewako mdau mtiifu.
ETM
..annon #1
ReplyDeleteivi dini ni nini?ni asili yako wewe?ndo nyie kuiba ofisini kwa makaratasi na kutukana ni kawaida ila ngono ni kosa....nyambafu
yan mtu kwa raha zake na maamuzi yake mwenyewe
akhaaa
Mmependeza sana rafiki, pendaneni daima.Anitha umekubalika kichizi na familia yako mpya.kaza buti kwenye upendo, uko juu
ReplyDeleteE.K.L One of four manyaras' - DOM
lo familia nzuri anitha your luck my husband wako yuko cool,wakwe wanaonekana wana upendo ni bahati maanake nashindwa kuelewa familia nyingine ukiolewa na mtoto wao basi wanakua wanakuonea wivu kana kwamba unafaidi,hongera wanaonekana 100% they loves u.
ReplyDeletemichuzi me na my husb wangu we like u a lot infact your our idol,ure humble,intelligent,simple guy.one in a million in bongo,tukija holiday na sisi tutapenda kukutana na wewe.
ReplyDeletesasa akila na mikono siku nyingine hatatumia nini?
ReplyDeleteJamani mwacheni Michu ajichane, ni heri yeye anapata hadharani kuliko nyie mnao jitia swaafi alafu kumbe mnapata kwa kujificha! Mwana endeleza libeneke achana na wazushi.
ReplyDeleteHizo chopstick mithupu hazishikwi namna hiyo. Kweli uliweza kuinua kipande hata kimoja cha nyama hapo kwa ushikaji kama huo?
ReplyDeleteanony Fri Jul 10, 12:52:00 PM unaona mbali sana! kula tano
ReplyDeleteHiyo michango yetu haijaisha tu?kumbe tulichanga pesa ya maana,khaaaa!
ReplyDeletehii noma sana, yaani hata B'day tuliichangia? sisi tulifikiri tunachangia harusi kumbe tulichangia mambo mengi eeeh! rudini bills zinawasubiri huku.
ReplyDelete