Home
Unlabelled
unapokuwa roma....
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
jamani acheni kuyafanyia vimbwenga mavazi ya heshima, mnayavaa kwenye ulabu
ReplyDeleteKwahiyo walikuita TA-MICHUUUZI?
ReplyDeletehapana mwenyekiti, hapo ulikwenda kinyume na waroma sababu mwenye send-off (bi harusi mtarajiwa) ni mchagga na si muhaya.
ReplyDeleteMhh,änko nanihii, mbona umefanana na majuto!
ReplyDeletemimi nilidhani kila mnuso ni fulanzzz na jinsi!! kumbe ukienda kwingine hashima inakuwepo!!
ReplyDeleteBaba J
Barazani
Michuzi, Michuzi , Michu kwenye harusi za watu wengine unavaa ze fulanazi lakini kwenye Send off unavaa ze kiheshima. Kulikoni yakhe na huwa na malengo gani atii. But is fine.
ReplyDeleteuku send-off kule kwingine "my hazbendi wake"
ReplyDeletewapi na wapi??
mi nikajua ni sherehe ya kushangilia mmepewa ruksa ya kuendesha mahakama ya kadhi.kumbe nnuso ulikua mpambe
ReplyDeleteSendoff ya Anita Denis???!!!! Huyo ni mkristo iweje uende na kanzu??? Siuseme kama ni wewe ulikuwa unafunga ndoa kaka Michuzi…Usitubanie mnuso..
ReplyDeletesisi wahaya kwenda ukweni lazima tuvae hivyo ndoo nguo ya heshima kule kwetu kanyigo na kagera kwa ujumla mwakola waitu.
ReplyDeleteby mtani Omoro
Ni mavazi rasmi kwa wenzetu wa Uganda send off inaitwa kwanjula hasa baganda wana wa kabaka
ReplyDeletemkuu umependeza! tena harusi hiyo utafikiria ya kwako! Fulanazzzzzz!!!! vipi?
ReplyDeletehahahhaa michuzi kafanana na mzee majuto hiyo kali.
ReplyDelete