Home
Unlabelled
baba tau
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
huyo baba Tau makatuni yake wala hayasisimui
ReplyDeletehizo ni chuki tu binafsi kwani sio kila akifanyacho mtu kitamfurahisha kila mtu.
ReplyDeletehuyo anonymous hapo juu unaedai makatuni ya babatau hayasisimui sidhani kama ana uhakika na akisemacho kwani yeye mwenyewe sio mchoraji na hata kama haelewi maudhui ya katuni na ujumbe uliopo bora akae kimya wasanii waseme wenyewe.
ulitaka zikusisimue kwa namna gani?????
chuki binafsi na roho mbaya,, yawezekana wewe kila ufanyalo linamsisimua kila mtu...
babatau kaza buti mwanzo mgumu usikate tamaa na wala hao wanaokudiss ni mahaters hawana nafasi kwako. angekuwa na busara kama angekosoa katuni ilivyo na sio kuponda.
mithupu muendeleze mwanablog huyo mpya. usimtupe na bila kusahau kumpa shavu fulani fulani za kiblog blog.
it's me
PS