Home
Unlabelled
BONGO TAMBARARE....
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kabla sijachangia zaidi humu nina swali: Hivi hii ni tabia mbaya tu ya mtu binafsi ama ndiyo utaratibu wenyewe huu? au haya ni mazoezi ya ujambazi?
ReplyDeletekweli bongo tambarare...wabongo mumefulia....
ReplyDeletejamani.. jamani.. nchi yetu inakwenda wapi?? kama vile nchi haina viongozi inauma ssaanna yani miaka karibia hamsini ya uhuru mambo ndo kama hivi nini hii halafu mnanyanyasa wawekezaji si wengine wapewe vigezo tunataka na transport ya uhakika si wanaka almasi?? wataleta tuu mabasiya kumwaga kuliko hii mambo wananufaika wachache huku watu wanageuka tumbili juu ya magari kundandia hata visivyofaa hii ni hatari
ReplyDeletemdau, canada
YAANI BILA UBISHI HAPO MDAU ALIDAKA ZILE MOMENTS WAKAAZI WA MABIBO HOSTEL WAKIWAHI LECTURES MAIN CAMPUS MLIMAAAANI, HIZO NI ZA KAWAIDA KABISA ILE MIDA YA SAA MOJA KUELEKEA SAA MBILI ASUBUHI
ReplyDeleteWatu waishazoea. Nimeshuhudia mara nyingi hata kama hakuna watu wengi jamaa wanadandia kupitia dirishani. Mazoea yana taabu kuyaacha karaha. Jamaa alioa mwanamke aliekuwa malaya wake ambaye kila wakimaliza mamobo asubuhi wakiagana jamaa anampa shs 50 elfu. Jamaa siku za baadaye akamuoa. Usiku wa harusi asubuhi kachukua pochi akampa bibie. Bibi kamuuliza za nini? Akamwambia si ujira wako? Bibie akamwambia " Wewe vipi hujui mie mkeo?"!!!!
ReplyDeletekazi ipo .. . .. ..
ReplyDeletevibaka hao,wanawai mlimani ya wapi?!!!!
ReplyDeletehiii itakuwa mbagala tu maana mbagala hata bibi wazee wanajua kuingia madirishani tena kwa kasi kubwa. akina mama wengi wa mbagala wanaotegemea daladala wanavaaga mapensi makubwa ili wapiga chabo wasione kitu!!!! wadau mpo hapo?
ReplyDeletemANGI WA K'KOO
aah aah aah tunashukuru mdau umefanya la maana sana kwani wabongo kila siku wanajifanya kujilinganisha na london au canada nafikiri hii ni LIVE mwenye macho haambiwi tazama wenzenu huku basi la abiria 40 hadi 50 mnaweza panda hata watu wawili na linaendelea na safari tena na kiyoyozi ndani jamani kipanya mnaingilia madirishani halafu mnapanda zaidi ya 30 hata mjapani akija bongo atashangaa sana kwani kipanya kinatakiwa kubeba watu wasizidi 6 au 8 tunaomba picha zaidi za mbagala tujikumbushe zama za giza
ReplyDeletemdau honover-germany
jamani bongo inawezekana kila mtu ni mwanajeshi maana hizo daladala bila kuwa na mabavu huwezi kupanda sasa sijui inakuaje kwa ndugu zetu walemavu na wazee(seniors)
ReplyDeleteduu duu siamini kama hao ni binadamu wa kawaida waingia kwenye usafiri kurudi home jamani tunaomba ufafanuzi au kuna vita jamaa wanawahi kukimbia nini hivi na lile joto la damu humo ndani ya gari hali ikoje?si kumejaa kikwapa tu humo?nafikiri serikali itafute njia mbadala kwani humo ndani ya basi lazima watu waambukizane magonjwa kama tb
ReplyDeletejamani hivi serikali iko wapi/MARA WANAFUNZI WABAKIWE KWENYE MALORI UTAFIKIRI VIFUSI VYA MCHANGA,KUHUSU WATU WAZIMA MNAPIGANIA DALADALA UTAFIKIRI TIKETI YA KWENDA MBINGUNI HII NCHI NI BORA IBINAFISHWE ILI KILA MMOJA ACHUKUE CHAKE ATAKAYEZAMIA MTONI OK
ReplyDeletejamani watanzania jaribuni kutembea duniani muone jamani suala la usafriri wa umma ni kitu kidogo sana wala hatuhitaji kusukumana na kungilia madirishani tembeeni jamani ili tujue la kufanya wenzetu magharibi wanatumia treni tena zinapita chini ya ardhi kama ni basi hayana hata kondakta jamani tembeeni tujifunze ili walau kuibadilisha nchi yetu
ReplyDeletehaiingii akilini eti huo ni usafiri wa kawaida nafikiri mabomu ya mbagala yamelipuka tena hivyo mimi nasubiri picha zaidi hakuna usafiri kama huo katika karne hii ya sayansi na teknolojia wakati binadamu wanasafiri kwenda hata kwenye moon
ReplyDeletejamani hii picha siyo kweli kabisa mbona mimi naishi hapa dar maeneo ya kijitinyama hakuna watu kupanda dala dala kupitia madirishani huu ni uongo tu dar iko safi usafiri umetulia
ReplyDeletehaya ni maigizo au sinema siyo kweli bongo ni tambalale tu
ReplyDeleteumasikini ni kitu kibaya.
ReplyDeleteusafiri wa bongo ni mafunzo ya JKT
ReplyDeletenitarudi bongo nikinunua gari langu unless otherwise siji
ReplyDeletekabla sijachangia naomba nieleweshwe hii imetokea bahati mbaya?au ni mambo ya kila siku?je raisi kikwete anafahamu hili?au ni sehemu ya maisha bora kwa kila mtz?
ReplyDeletetunaomba serikali ijifikirie mara mbili mbili je watu wanawezaje kuruka kama nyani au tumbili?
ReplyDeleteHaha nimekumbuka home jamani,kuwahi kazini hata kule Ukonga basi lolote kwenda Posta,Ubungo,Mwenge yote kama hujui kupita dirishani ujue kazini au shuleni utachelewa kila siku.Mara moja nilipita dirishani then ikawa mwendo wa kutoka saa 11 alfajiri.Mh Bongo tambarare.
ReplyDeletekris
Netherlands
Kama sikosei hii picha ilitoka katika gazeti la Rai la mwaka 2006. Nadhani ilikuwa inaonyesha wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam wanaokaa hosteli ya Mabibo wakigombania daladala ili kuwahi darasani. Title yake ilisema "JAMANI WASOMI WETU". Nikipekua makabrasha yangu naweza kuipata!
ReplyDeleteJeff Jeff Jeff Jeff...... bado hujanunua ki Bajaji tu?
ReplyDeletedar es salaam ndio mji mkubwa na ambao umeendelea kwa kiasi fulani ukilinganisha na miji mingine tanzania lakini sijawahi ona kwa sasa watu wanapitia dirishani ila dar tu.
ReplyDeletekweli bong tambarare!
ReplyDeleteWabongo kwa kukana mambo, yaani hii ni tabia ayotufanya tushindwe kabisa kutatua matatizo yetu. Yaani, hii ni hali ya kawaida kabisa kwa maisha ya wasafiri wa dar na sehemu nyingine tanzania, halafu tunajifanya hatujui au hatuamini, huu ni unafiki.
ReplyDeleteBwana hiyo ndo hali halisi ya maisha ya bongo. Na hayo ndo maisha bora kwa kila mtanzania.Hakuna mengine zaidi ya hayo.
"AJALI INAYO KINGA"
ReplyDeleteMasangu asante sana kwa kufafanua, maana watu humu walishaanza hao wanaenda Mbagala, hebu jiulize kama wazijua daladala za Dar na mistari yake kabla ya kusema.
ReplyDeleteHamna excuse hapa. Wenzenu hata kama ni kwenye mdomo wa kifo wanaanza kuokolewa wanawake na watoto kwanza, senior citizens, halafu minjemba ni baadaye. Sasa hapa ni usafiri tu kama ingekuwa ni kwenye kufa itakuwaje?
ReplyDeleteLearn something from TITANIC
Hio tabia ni mbaya sana..... kuna watu wameshaizoea hata aibu hawana maana hata kama basi halina mtu lazima wadandie madirishani. Mtu yuko radhi hata akupige teke kama anaona umekinga njia ili mradi apate nafasi ya kupitia dirishani. Wakati mwingine hata kushuka utakuta mtu huyo anashukia dirishani na usipoangalia vizuri utakuta hata simu yako imekwenda.
ReplyDeleteTatizo ni kukosa tu ustaarabu.
Iyo ni Mabibo Hostel...Asubuhi kama una lecture saa 1 usafiri unakuwa wa shida sana,kwa iyo mambo hayo ya kupitia dirishani yanatokea sana.Nimeishi maisha hayo miaka 3 wakati nahangaikia nondo yangu ya B.com.Labda saiv mambo yamebadilika maana ni siku nyingi kidogo tangu nitoke maeneo hayo.Mambo yanabadilika saiv nimepewa Mitsubish na Kampuni kwa iyo full kipupwe...ELIMU OYEEEEEEE
ReplyDeleteWa'bongo wa ughaibuni nyie tengenezeni vitambi tu huko mlipo,mkirudi Bongo shughuli ndo kama hii na huu ni utaratibu wa kawaida kabisa
ReplyDeleteKAKA MICHUZI NADHANI HAPO SIO DAR,AU KAMA NI DARNI MIAKA YA NYUMA AMBAPO MABASI YALIKUWA HAYAJAPIGWA MISTARI,KWA SASA MABASI YOTEEE YANA MISTARI UBAVUNI! JAMANI MSILOPOKE TUU BILA YA KUFANYA ANALYSIS!
ReplyDeleteHAPO MPAKA UNUNUE HAMMER YAKO NDUGU UMESOTA SANA NA NGWAMBARA UMETOKA.
ReplyDeleteSERIKALI DOOOOOOOOOOOOOOO SOME THING PLIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIZ!!!!!!!!!!!!!!!!!1
ha ha haaa uuwiii we mangi wa kariakoo mbavu zangu zinauma nimecheka sana na bado na kwi kwi ya kucheka BLOG YA JAMII IDUMU!!!
ReplyDeletemdau canada
Picha hizi nadhani zinapatikana kwenye blog ya jamii tu,na sidhani kama zinawekwa kwenye magazeti yetu ya nyumbani! Nadhani tunahitaji picha nyingi zaidi kwenye magazeti za style hii labda Wahusika watafunfua macho! 2010? CCM na ushindi wa Mafuriko tena! kaah!
ReplyDeleteNyinyi waosha vinywa wabeba mabox mnaojidai na nchi za makabaila eti usafiri tambarare, waulizeni wenzenu walipotokea mpaka wakafika hapo. Mmesahau ule usemi wa cha mtu mavi.... Hivyo basi fungasheni virago vyenu mrudi bongo mtuletee mabadiliko kwani mcheza kwao.... Mkome kuicheka bongo, ni kama kujianika uchi wenu! We michuzi usinibanie hii!
ReplyDeleteVipi Anon wa 01:22:00 Frid Aug 28 mbona hamasa na hamaki nyingi????!
ReplyDeletewe mdau hapo juu hata tukileta msaada utaisha kijuu juu tu wahanga wa mabomu kule mbangala walikuwa wanalalamika vyakula magodoro haviwafikii walengwa sembuse limsaada likuubwa nchi yetu kuna viongozi ambao ni wamimi sana ina mijicho mikubwa kwa tamaa na hii inatia kinyaa ebu fikiri lile limashine la kupimia ugonjwa wa moyo lilivyolala mbele pale muhimbili wakati ilikuwa ni moja tu pale hospital lol?! haiingi akilini hapo ndo tuseme huo ni msaada umejinyimaaa umehangaika huku na kule kutafuta mdhamini ili kuleta maendeleo kwenu then nyang'au mmoja anajikwapulia kwa manufaa yake binafsi nchi yetu kwa umimi acha tu ipo kwenye top 3 kwa msisitizo tatu bora duniani!
ReplyDelete