Makamu wa Rais Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein akiteremka kwenye ndege ya Shirika la ndege la Swissair alipowasili katika uwanja wandege wa kimataifa mjini Geneva leo kwa ajili ya kuhudhuria mkutano mkuu wa tatu wakimataifa wa mabadiliko ya hali ya hewa Duniani unaotarajiwa kuanza kesho. Nyuma yake ni mama Mwanamema Shein akiwa na Balozi wetu Geneva Mh. Marten Lumbanga

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. kila la heri makamu Dr. shein

    ReplyDelete
  2. Safari hii haihusiani kabisa kuwakilishwa na Makamu wa Rais.
    huu ni upotevu wa fedha za wananchi.

    Hii ni kazi za Wizara ya Mazingira.wao ndio wataalamu wa field hiyo na ndio wanaofahamu kitakachoelezwa hapo!

    ReplyDelete
  3. viongozi wa Afrika wangepigwa marufuku na wananchi wao kushiriki mikutano kama hii na ya nchi zenye viwanda duniani.Maana hakuna jipya linalotokea zaidi ya Umaskini kuongezeka na mauaji ya kikatiri.Kina

    ReplyDelete
  4. Tehe teh tee!

    Bosi wake keshamfundisha uVASCO nae maskini!

    Mweeh!

    ReplyDelete
  5. Wadau samahani mimi nina swali kuhusu huyu mheshimiwa Shein,
    Yeye ni makamu wa rais sasa mbona sijawahi hata siku moja kuona nyuma yake kuna bodgad?Inamaanisha yeye hana ulinzi?hata akisafili anaenda kama machinga tuu,usinipige rungu mzee mithupu.

    ReplyDelete
  6. Dr Shein simjui kabisa lakini nafikiri he is so honesty kuliko kawaida.I wish I will meet him before I die,Karume ni msela tu kama sisi

    ReplyDelete
  7. We anonymas hapo juu huko haitaji Bordguard no one knows him so hakuna mwenye time nae

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...