Heka heka langoni wakati timu ya New Mti Pesa (jezi nyeupe) ilipocheza na Timu ya Stone City na matokeo yalikuwa:-NEW MTI PESA SC 4 - STONECITY 2 katika kinyang'anyiro cha kugombea kombe la mbunge wa ukonga,"MAHANGA CUP". Jumatano New Mti Pesa itacheza na FFU- ukonga katika uwanja wa FFU.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Duh vihashimu vitarajiwa hivi

    ReplyDelete
  2. Du! Unanikumbusha mechi za mchangani..

    ReplyDelete
  3. Kombe la Mahanga Cup???????
    Mkuu unaninagusha na sense yako ya logic!!!

    ReplyDelete
  4. Mh! mti pesa au mtu pesa?

    ReplyDelete
  5. Frank richard mkomwaAugust 31, 2009

    Du antony we ninoma nimekukubali maana timu unayoiandaa inakuja kwa kasi ya ajabu(new mti pesa) mashabiki wakae mkao wa kupokea big up mkubwa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...