Home
Unlabelled
dk. Sheimn atua geneva kwa mkutano wa mabadiliko ya hali ya hewa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kila la heri makamu Dr. shein
ReplyDeleteSafari hii haihusiani kabisa kuwakilishwa na Makamu wa Rais.
ReplyDeletehuu ni upotevu wa fedha za wananchi.
Hii ni kazi za Wizara ya Mazingira.wao ndio wataalamu wa field hiyo na ndio wanaofahamu kitakachoelezwa hapo!
viongozi wa Afrika wangepigwa marufuku na wananchi wao kushiriki mikutano kama hii na ya nchi zenye viwanda duniani.Maana hakuna jipya linalotokea zaidi ya Umaskini kuongezeka na mauaji ya kikatiri.Kina
ReplyDeleteTehe teh tee!
ReplyDeleteBosi wake keshamfundisha uVASCO nae maskini!
Mweeh!
Wadau samahani mimi nina swali kuhusu huyu mheshimiwa Shein,
ReplyDeleteYeye ni makamu wa rais sasa mbona sijawahi hata siku moja kuona nyuma yake kuna bodgad?Inamaanisha yeye hana ulinzi?hata akisafili anaenda kama machinga tuu,usinipige rungu mzee mithupu.
Dr Shein simjui kabisa lakini nafikiri he is so honesty kuliko kawaida.I wish I will meet him before I die,Karume ni msela tu kama sisi
ReplyDeleteWe anonymas hapo juu huko haitaji Bordguard no one knows him so hakuna mwenye time nae
ReplyDelete