Home
Unlabelled
JK afuturisha Ikulu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Asante Mh. Rais JK
ReplyDeleteHivi hizi hela za kufuturisha kila siku zinatoka wapi ? I am hoping they are not using tax payers' money.
ReplyDeletehivi kwarezima na ramadhani vimekutana?
ReplyDeleteMichuzi fungua hapa kuna article nzuri nathani wadau watapenda kusoma histiria ya Tanzania kidogo katika harakati za ukombozi wa Sn Africa
ReplyDeletehttp://multinationalmonitor.org/hyper/issues/1980/02/ratner.html
INNA LILLAHI WAINA ILAIHI RAJIUUUN
ReplyDeleteTanzania's President Nyerere is well known for his willingness to sacrifice foreign aid when he believes principles are at stake.
ReplyDeletewako wapi viongozi siku hizi wenye misimamo hii???? watanzania nani katuloga?????
Kikwete anamwambia Kilaini: Aisee ule waraka katoliki Kiboko. Umetuchanganya ile mbaya mtu mzima.
ReplyDeleteKilaini anajibu: Mkuu mbona uko bomba tuu!! Hakuna jipya pale!!Sisi tunakazia utawala bora tuu mheshimiwa. kidogo kidogo utaeleweka tuvute subira
Prezzo anafutarisha maaskofu? wakati mitaani watu wenye kufunga wanafutari maji?Show off zingine hazifai hata kama ni prezoo.
ReplyDeleteMsemakweli
Gongolambali
kikwete pamoja na kufuturisha ikulu jamaa bado wanadai wanabaguliwa
ReplyDeletetunaomba shehe issa ponda na wenzake waliotunga waraka wapelekewa hii picha watasemaje?
ReplyDeletewaseme nini hao?weshaishiwa kabisaa
ReplyDeleteila huo waraka me ntaupateje?maana umeongelewaaaa,bado wa Ponda pia
Eee mwenyezi tulinde waTz