JK akipeana mikono na Askofu Msaidizi wa Kanisa Katoliki wa jimbo Kuu la Dar es salaam Methodius Kilaini ambaye alishiriki katika futari jana jioni Ikulu jijini Dar ambapo wadau toka sehemu mbalimbali walialikwa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Hivi hizi hela za kufuturisha kila siku zinatoka wapi ? I am hoping they are not using tax payers' money.

    ReplyDelete
  2. hivi kwarezima na ramadhani vimekutana?

    ReplyDelete
  3. Michuzi fungua hapa kuna article nzuri nathani wadau watapenda kusoma histiria ya Tanzania kidogo katika harakati za ukombozi wa Sn Africa

    http://multinationalmonitor.org/hyper/issues/1980/02/ratner.html

    ReplyDelete
  4. mzee wa bunjuAugust 31, 2009

    INNA LILLAHI WAINA ILAIHI RAJIUUUN

    ReplyDelete
  5. Tanzania's President Nyerere is well known for his willingness to sacrifice foreign aid when he believes principles are at stake.

    wako wapi viongozi siku hizi wenye misimamo hii???? watanzania nani katuloga?????

    ReplyDelete
  6. Kikwete anamwambia Kilaini: Aisee ule waraka katoliki Kiboko. Umetuchanganya ile mbaya mtu mzima.

    Kilaini anajibu: Mkuu mbona uko bomba tuu!! Hakuna jipya pale!!Sisi tunakazia utawala bora tuu mheshimiwa. kidogo kidogo utaeleweka tuvute subira

    ReplyDelete
  7. Prezzo anafutarisha maaskofu? wakati mitaani watu wenye kufunga wanafutari maji?Show off zingine hazifai hata kama ni prezoo.

    Msemakweli
    Gongolambali

    ReplyDelete
  8. kikwete pamoja na kufuturisha ikulu jamaa bado wanadai wanabaguliwa

    ReplyDelete
  9. tunaomba shehe issa ponda na wenzake waliotunga waraka wapelekewa hii picha watasemaje?

    ReplyDelete
  10. waseme nini hao?weshaishiwa kabisaa

    ila huo waraka me ntaupateje?maana umeongelewaaaa,bado wa Ponda pia

    Eee mwenyezi tulinde waTz

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...