Nyama Choma na Muziki
FREE ENTRY
FREE ENTRY
COME ONE, COME ALL
Come for a session of Nyama choma & a selection of muziki from East Africa, R&B,Mayenu, Old Skul (Zilipendwa) etc.
When: Every Friday,Saturday.
From: 4:00pm- 03:00am
Sunday: 4:00pm- 23:00pm
Wapi: Bedford Park (Pub )
Come for a session of Nyama choma & a selection of muziki from East Africa, R&B,Mayenu, Old Skul (Zilipendwa) etc.
When: Every Friday,Saturday.
From: 4:00pm- 03:00am
Sunday: 4:00pm- 23:00pm
Wapi: Bedford Park (Pub )
Anuani: 223 STREATHAM HIGH ROAD,
LONDON,
SW16 6EN.
SW16 6EN.
Muziki Asili Yake Wapi?
FOR MORE INFORMATION CONTACT:
EMMA: 07904 111 799
MONSA: 07930 533 808
LINUS : 07852 173 524
IS THAT SOUTH EAST, OR SOUTH WEST AS YOUR POST CODE SHOWS SW. USIWAPOTEZE WATU, DON'T CONFUSE PEOPLE BE CLEAR.
ReplyDeleteNAONA MDAU MAMBO YA POSTCODE YAMEMCHANGANYA LAKINI HIYO NI SOUTH WEST KWA UFAHAMU WANGU NI KARIBU NA STREATHAM OVERGROUND STATION.
ReplyDeleteHii overgroung station ni station ya aina gani?
ReplyDeleteINGIA google tafuta streetview alaafu gonga SWI6 6EN tumia browser kuzunguka utaiona Bedford park pub.mimi niko bongo lakini naiona poa kabisa-jamani tutumie technology tusiwe wavivu
ReplyDeletewewe anony uliyeko bongo sasa unaitafuta ili iweje? au ni katika kutupa habari kuwa unajua kutumia google streetview?? hao ma-anony hapo juu sio kwamba hawajui kutafuta bali walikua wanamsahihisha aliyepost advert.soma vizuri comments kabla hujapost yako.
ReplyDeleteas for the pub, we are coming to streatham baby...tired of east london's pubs..
If that is not the right adress, then correct it. Not everyone have sat nav.
ReplyDeleteTumia google street view utaiona click hapa
ReplyDeletehttp://maps.google.co.uk/maps?utm_campaign=en_GB&utm_medium=lp&utm_source=en_GB-lp-emea-gb-gns-svn