

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hongera sana Lulu unastahili taji. Pia huyo wa nguo ya Red angetakiwa kuwa wa pili mzuri kweli Lakini vyovyote kila mtu anaupeo wake wa macho.
ReplyDelete..Mitihani ya Taifa toka Baraza la Mitihani Tanzania huchomolewa na kupewa watahiniwa kwa pesa hongo kidogo tu ili wafauru.
ReplyDeleteJe, haya mambo ya Ma-miss yako "Fair" ki kweli kweli kumtoa mshindi?????
duh naona Masha anameamua kujibinafsisha kwa huyo mshindi na kuamua kumpa mgongo huyo mwingine. angali picha vzr utagundua hilo
ReplyDeleteMh. jamani mi sijaelewa hapa? kwani Nasreen si ndio Miss TZ 2008/2009? na huyu alikua 2007/2008? ss kama kweli Miss kinondoni 2008/2009 yuko wapi?
ReplyDeleteHebu nambieni.
haya ndiyo huwa wachangiaji tuna yazungumzia,viongozi wakubwa wa serikali ktk nchi zilizo endelea sio rahisi kumkuta katika mashindano ya level hii. lakini nchini kwetu haya ni mambo ya kwaida yaani minuso inayoambatana na mambo yasiyo ya kipaumbele ktk jamii,na wakienda bungeni wanakwenda kujadili mambo ya ajabu ajabu,eti kuvaa wigi n.k wakati kuna mambo ya msingi ambayo mwananchi anapaswa kusaidiwa kwayo. nina mengi ya kuongea lakini hapa sio mahali pake. anyway kama alikuwepo weekend kwa raha zake binabsi sina tatizo nae. lakini kama kweli ni sehemu ya kufanya kazi kiofisi, nasikitika.
ReplyDeleteJAMANI RICHA SI ALIACHIA TAJI LAKE LAST YEAR NA ALIKUWA MISS 2007/2008.MICHUZI VIPI TENA?
ReplyDeleteMasha Acha Kuuza Sura Cheo Chako Kikubwa Sana Hakina Hadhi Ya Kua Mgeni Rasmi Wa Hii Kitu . AIBU MOJA AI AIBU
ReplyDeleteHuyu ndio masha lawrence kwa ninyi musiomujua!
ReplyDeleteNCHI HII BWANA INA MAMBO,SIJUI KWA NINI NILIZALIWA TANZANIA
ReplyDeleteWAKATI MAJAMBAZI WANAVAMIA BENKI TENA WAKIWA NA MABOMU MCHANA KWEUPE,WAZIRI ANAEHUSIKA NA WIZARA HIYO BWANA MASHA ANAACHA KUINGIA DORIA KAMA ALIVYOKUWA ANAFANYA LYATONGA,ANAENDA KUWA MGENI WA HESHIMA MASHINDANO YA UREMBO,TUTAFIKA KWELI!!!!!!!!!
TANZANIA TANZANIA,NAKUPENDA ILA BASI TU,VIONGOZI NDO WANAFANYA NIKUCHUKIE
NI HAYO TU
Watu mna matatizo sana, hivi mtu ukiwa kiongozi wa nchi kutakiwi kushiriki katika shughuli za kijamii. Yani wengine mnaona kosa kwa Waziri kuhudhuria dhifa hiyo, ambayo ni ya masaa machache sana. Sio rahisi kwa binadamu yoyote kila muda awe anafanya kazi tu. Acheni chuki binafsi na mtakufa nacho kijiba cha roho.....hahahhaha ovyo
ReplyDeleteWee anony unayejuta kuzaliwa Tanzania, sheria inakuruhusu kuukana uraia wa nchi yako na kuchukua uraia wa nchi unayotaka.....and I wish yu ol the best
ReplyDelete