Kama upo Kazini au Nyumbani tembelea
kwa ngoma mbali mbali kali na nzito toka Tanzania ili uburudishe na ukonge roho yako kwa idadi ya miziki zaidi ya 1000+

Kama ni kijana, Umri wa Kati, mzee na upo Tanzania au nje ya Tanzania MK Music Galaxy ni chaguo lenu wote, Kuna miziki kama Bongo Flava, Bongo Dance, Taarab, Zilipendwa na Nyimbo za Injili.

Karibu kusikiliza ngoma kali za Tanzania na uburudike roho yako. MK Music Galaxy hatufuti Miziki ili kuongeza mingine, MK Music Galaxy tunaongeza Miziki kila siku na kuutangaza Mziki huu wa Kitanzania.

Kwa wanamziki chipukizi (underground) na wale wakongwe mnaweza kutuma kazi zenu hapa na kuweza kujitangaza na kuutangaza Mziki huu wa Tanzania.

Kwa test bonyeza hapa kula song hizi Kali. Au Tembelea
MKMG kusikiliza miziki zaidi ya 1000


1:


2:


3:


4:


5:


6:



Ukipata habari hii mtumie Rafiki Yako.
Sambaza habari hii, Tangaza Mziki wa Tanzania.

Daima tupo Pamoja!

MK Music Galaxy
Exploring The Tanzanian Music.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Nimesikia mara kadhaa juu ya hii site but never reaaly botherrd to check it out.

    Leo nimepata muda wa kuiangalia-- Fagilia! Imetulia!

    Being human - siridhiki - if only I could make my play list, save it and then listen to it.....

    Nyau

    ReplyDelete
  2. woah! babkubwa kwa saaaanaaaaaaa tu, luvd all the music great entertainment.
    mzee wa pwani.

    ReplyDelete
  3. nimesikiliza nyimbo zote hizo sita,nyimbo namba sita is so beautiful,imenigusa sana,rest of the songs zimenizidishia stress tu kichwani mwangu!

    ReplyDelete
  4. ...and that's why human behaviour is so complex. every human behaviour and emotions are different. we wont be same, some likes reggae, some like tombolo, some like Gospel.

    ReplyDelete
  5. Mwishimwa Bro Michuzi hapa kwenye hii post ni nzuri nnashukuru sana umenikumbusha sana uswahilini,kwani nnakumbuka wakati MCHIRIKU AU MNANDA ulipokuwa wapigwa basi na nyumba zetu za kupanga si wajua tane milango ni huku na huku !! kila mpangaji nakaa kwenye mlango wa chumba chake kwani siku ya MCHIRIKU Vibaka kibao ukigeuza shingo tu basi ujue USHAIBIWA !!
    Miye nnaomba wimbo na TATU UNAITWAJE ILI NIWEZEKUUSIKILIZA KWENYE MKGOUP WEBSITE.
    Au niweze kuudownload niwenasikiliza nikiwa KAZINI. Ahsante sana kwani nnapata mburudiko wa MOYO.

    Hillary.

    ReplyDelete
  6. Michuzi WIMBO WA TATU HUO MCHIRIKU AU MNANDA unaitwaje ?? au nina kaupiga ili iwe rahisi miye kuutafuta ua kuupata

    Ahsante.
    Hillary

    ReplyDelete
  7. mwimbo wa tatu hapo juu upo ktk upande wa Bongo Dance (http://www.mkmusicgalaxy.com/galaxy.html) ambapo ni mziki no: 1 kwakweli nami umenikumbusha mbali kishenzi. aahhaha enzi hizo za mchiriku na vanga.

    ReplyDelete
  8. ahsante sana Mtalaam kwa kunipa au kwakunifaamish.Ashsante sana.
    Wasalaaam Hillary

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...