Home
Unlabelled
mzee nkya, shujaa wa KAR
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hongera babu Nkya tafadhalini wajukuu/vitukuu mpelekeni babu yetu huyu (Mjeshi wa zamani - KAR) kwa mkuu wa wilaya au kwa mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro aweze kuwekewa kumbukumbu zake sahihi ni tangazo ambalo limetolewa kwenye maadhimisho ya miaka 45 ya JWTZ kuwa wazee wote waliopigana vita vya pili vya dunia 'AMBAO WAKO HAI' majina yao yote yanapatikana katika ofisi zote za wakuu wa wilaya au ofisi za wakuu wa mikoa Tanzania kwa maelekezo zaidi -Tafadhalini sana huenda kuna BINGOOOOOOOO!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteMdau Muddy
kufwenda mbee hongera nnuu
ReplyDeletemdau cadana
Mungu azidi kumuwekana namtakia afya njema
ReplyDeleteNeekya babu!!!!!!!!
ReplyDeleteWewe mangi unashangaa tu kwenye pisha. Mpeleke msee kwa mkuu wa wulaya anawekwe kwenye kumbuku za taifa. Kuna hela inapatikana ati kule. Changamka ati mangi
ReplyDeleteHalafu hakikisha msee anaendelea kupata kamtori na kanyama mara kwa mara.
mpeleke mzee kwa mkuu wa wilaya aandikishwe ili alipwe haki zake.vilevile nilikutana na wazee wengi maeneo ya Machame,Hai,Uswaa wenye issues za pension miaka ya nyuma nao wapatie taarifa tafadhali.
ReplyDeletetunatarajia kusikia hawa wazee wamehojiwa na vyombo vya habari ili tupate hisia zao juu ya historia ya vita na pia tunatarajia kuona kwamba serikali inawaanzishia foundation ambayo itasaidia kutunza historia na kumbukumbu zao katika maktaba na makumbusho ya taifa..hima jamani kabla hawajatangulia mbele za haki tukabaki kutunga hadithi njooooo utamu koleaaaaa mara mimi sikushauriwa hivyo mara ooooh jamani mimi sikuwemo nyakati hizo.....tufanye sasa hivi!
ReplyDelete