For more information visit

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. Kaka.

    Huyu dada kwenye hili Tangazo Nimempenda!

    Naweza kupata namba yake ta simu tafadhali?

    ReplyDelete
  2. Dah huyo dada kwenye picha naye atakuwepo siku ya presentation?? kwa usawa huo lazima nihudhurie..she'z hottt

    ReplyDelete
  3. huyu atakuwa professor mtarajiwa

    ReplyDelete
  4. mawazo finyu rafiki!!!

    ReplyDelete
  5. ka prof. kachanga kabichi bichi

    ReplyDelete
  6. HAPPY B/DAY KAKA MICHUZI.MNYAAZI MUNGU AENDELEE KUKUFANYIA WEPESI KATIKA SHUGHULI ZAKO ZA KILA SIKU.
    MDAU-UKEREWE....

    ReplyDelete
  7. Pips in here always make my day."Kaprof. Kachanga kabichi bichi" ahahahahahahahahaha!

    ReplyDelete
  8. hilo ndilo tatizo la wabongo. mkiona kasura kanavutia tu bac hata hiyo presentation mtaisikiliza kweli?au mnakwenda kumwangalia huyo binti ndio maana hamuendelei.kazi yenu kushobokea vitu vya kijingaaa! mhh. alichonacho huyu dada kuwazidi dada zetu au wake zetu nini? kama figure tunazo hapa bongo na kama sura nchi yetu inaongoza kwa wadada wazuri. acheni ujinga

    ReplyDelete
  9. Asante Kaka nimeona maelezo.

    Sasa mule kwenye Ratiba kuna kitu kinaitwa "Lunch Break" swali langu naomba uniulizie kwao kama hapo kwenye Mapumziko ya Lanchi brek ni kwamba watatupatia hiyo Lanchi ya Chakula cha Mchana ndani ya hiyo hiyo Ada ya fee ya Tzs. 50,000/= tutakayolipa au wao wanatupa tu hayo mapumziko kisha tunaingia mitaani kujitafutia Lanchi ya Chakula cha mchana kwa gharama zetu wenyewe?

    Tafadhali wanijibu

    ReplyDelete
  10. Watu wengine kwa UKWARE??? Maelezo yameelekeza wazi kuwa huyo Prof hayuko si mwenye hiyo picha, bado unakazana ka prof. kabichi... Jamani tuwe wastaarabu.

    ReplyDelete
  11. Kwa kweli mimi huwa nasema kila siku ukimwi utatumaliza,,Sasa kama huyu demu !! nivigumu hata kuvaa mpila,,,duh!!

    ReplyDelete
  12. kaka paja paja paja hilo!!! taratibu kaka. dah huu sasa uchokozi huu jamani mwishowe tumkosee heshima bure dada wa watu. dah Pajazzzzzz!!! michu huyu umemtoa wapi tena?? mbona mtoto katulia hivi??
    michuzi uchokozi huo mbona wa makusudi makusudi huo!!!.
    yani hilo pajazzzzz hapa mie hata sabuni leo sihitaji, make kila napolitupia macho najikuta nalegeza zipu make mshipa unauma sasa kaka!!! aaaagh hapa nshachafua kufuri langu tayari.
    anaitwa nani, na anaishi wapi, mwisho je keshaolewa??
    mdau wa pajazzzzz

    ReplyDelete
  13. Watanzania bwana...! Aisee nilikutana ana kwa ana na Prof. sikuamini ila sababu kubwa ni kwamba niliagiza kitabu chake cha Africans and Americans Embracing Cultural Differences.... he napiga simu si anapokea Prof. Bahati ilioje na kakisainia, najiona mwenye bahati mno.

    ReplyDelete
  14. Malaikaaaa nakupenda malaikaaaaa.....
    kwa mtindo huu hii kozi lazima nijiunge

    ReplyDelete
  15. we anon wa Fri Au 28, 08:08:00 PM kwanza kajifunze kiswahili nani kakwambia unaitwa MPILA??? NI MPIRA yaani RRRRRRRRRRRRR

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...