Jimmy Nganyange is interested in acting and modeling or promotions in any business arena.
Currently he resides in the USA is a Tanzanian by birth. His experience in this field includes the following:
(1)Tuxedo Show
(2) Informercial (HEALTH BOOK)
(3) Commercial (AIDS)
He took his training in acting from Star Maker Models.
Contact:
Jimmy Nganyange





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 22 mpaka sasa

  1. he mbona anaonekana kama vile...hee sorry no comments

    ReplyDelete
  2. he is a tanzanian 'by birth' ... hii ina maana si mtanzania halisi.

    ReplyDelete
  3. Hee naniii huyu wala hujakosea si unacheck mambo fulani yalivyoo! Kazi kwako...........

    ReplyDelete
  4. Eeehe Mmeku! Kumbe umesomea kazi hiyo karibu nyumbani ingawaje ni masiku sasa!

    ReplyDelete
  5. Jimmy I didn't know you wanted/are a model. Follow your dreams Man...sky is the limit. I remember you way back in Mason City, IA.

    Its your Buddy/Brother from MN

    ReplyDelete
  6. Hongera Sana kijana.Mimi ni toka kipindi kileee Iowa.Mason city.

    Kijana hii ni hatua moja babkubwa.Itabiti nimtafute Wizzy weee

    mimi ni mchizi wako wa ku pass-the-cavasier...Boston

    ReplyDelete
  7. nenda gym kwanza....

    ReplyDelete
  8. wow! i know this boy jamani amekua sana hongera sana jimmy

    ReplyDelete
  9. Duh he looks so model kama ndo alivyo.
    ila kama ni zile picha zetu za harusi za photo point shopaz plaza zinavyokupya rangi,usoft na kuji-michael-jackson anakohitaj mteja wao itakua ni danganya toto.Masoko huko u.s vp?.ok kina hasanal na kanumba kaz kwenu

    ReplyDelete
  10. Hana mvuto kabisa ,anaonekana legelege ,tofauti hata na Models wa kike wa Ulaya na US ambao hawaonekani ni malegelege,

    Body sio zuri linaonekana na mafuta, uso haujajishape vizuri anaonekana na fukuza unene kwa nguvu zote na hiyo sura yake kama ya Kichagga .

    KUna male model mmoja nadhani ananafasi kubwa zaidi sina uhakika jina lake ,ila nadhani anaitwa IMANI LUGALA , huyu jamaa nadhani ana faa sana .picha zake zina mvuto na ana body la kupendeza sana na sura iliyo jishape vizuri zaidi .

    ReplyDelete
  11. Kwa kweli ni mtanashati na yupo so fit. Lakini mimi naona huu ujumbe upo mahali ambapo siyo palengwa. Angetoa advert hii kwenye websites ambazo hao maagency wa models wanaweza kumuona au si kuna mawebsites ya agencies jamani? Huku nani atampa kazi? Maana wabongo wengine hapa watamwingiza mjini tu na wengine wataomba ndoa

    ReplyDelete
  12. Ain't he cute!!!

    ReplyDelete
  13. stop hate on my boy, yoo jones keep doing good job i'm with you bro! 100%.... its you boy from Laurel,Md H.Wood

    ReplyDelete
  14. Are you serious? stop playing with peoples minds man,mwili umelainika hivyo,unamodel nini.ushauri wa bure:
    -Ingia Gym kaza msuli mwili uwe wa kiume [for now please keep your shirt on]
    -Huko US uliko kuna modelling agencies za kumwaga,wao ndio wanatakiwa wakuadvertise sio hapa Bloguni.....anyway wish you the best,ni hayo tu!

    ReplyDelete
  15. Ukisikia kujiuza ndo huku.May kuna maagent hapa.Peleka sura yako itakako uzika unless watafuta wachumba kijanja hapa.

    ReplyDelete
  16. Good Luck Mjuba endelea kurepresent kama Hasheem vile! All the best.
    Mdau, Boston, US.

    ReplyDelete
  17. We mlugulu fani hii lini?
    Haya bwana, hongera sana wenzako huwa wanaogopa kufwata ndoto zao.
    Peggy ndio kakushauri au Wizzy?

    one million,two millions, three millions,four ....after few yea,20 millions more......we are now looking at one smart Tanzanian boy!
    Its' ya boy-Holla

    ReplyDelete
  18. Wandugu tembea uone...Models wanahitajika wa sura nyingi kila mteja anatoa specification zake...so nyie nani kusema ende gym?Wacha kaka wa wtu ajitafutie soko.Well done boy!

    ReplyDelete
  19. let the boy give a try,mbona mnamjudge mtu hivyo,ndio maana hatuendelei wabongo,quick to judge any progress,mngetumia huo muda kuwakosea viongozi wa ccm na mashirika ambao wanaiba pesa za kusaidia watu...jimmy some day someone will see your photos homeboy we all try our dreams..keep it up..peace...jahmalik

    ReplyDelete
  20. Michuzi umekua model agency siku hizi au huyu jamaa swaumu kali?

    Tanzanian by birth...ouch....and American by breed siyo....LOL

    He's too soft for me...pretty, innocent, baby face....you need some muscles too?

    You up there ....I think you need some new glasses ....he is not anywhere near possess some similarity to be like mchagga ulegee kabisa.

    ReplyDelete
  21. hahahahaaa
    jamani kuna wadau umu...hahahaaa

    mchaga tena??hahahaa

    ReplyDelete
  22. Ndio mchaga unabisha??

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...