
Millenium Challenge Account-Tanzania (MCA-T) and TANROADS personnel conducting an official site tour of the entire 68 km length of the Tanga-Horohoro road with bidders. Officials from the MCA-T and the Tanzania Roads Authority (TANROADS), together with regional authorities, recently, held a public bid conference in Tanga with representatives of several firms which are competing to win the contract to rehabilitate and improve the road from Tanga to Horohoro. Photo courtesy of the American Embassy.
MAY ALMIGHT GOD HELP HUO MCHAKATO ILI THE BEST COMPETATIVE BIDER AWE WA KAZI NA SIO WA RUSHWA AMINA
ReplyDeleteikijengwa hiyo, Dar Mombasa itakuwa kama mzaha. wenzetu kuanzia lunga lunga mpaka Mombasa ni lami tupu....sisi kwetu vumbi.
ReplyDeleteHii barabara ilitakiwa ijengwe siku nyingi manake kiukweli Horohoro ni border yenye biashara kubwa sana na ni one of the busiest border in our country. Kama wazee wa Bandari(DSM) wataendeleza urasimu na ubabaishaji wao basi barabara hii ikiisha watanyooka wenyewe manake watajikuta idadi ya importers wanaotumia bandari yao inapungua kupita kiasi kila siku. Hapo ndio tutawajua wenye vitambi vya rushwa na wenye vitambi vya mshahara!
ReplyDelete