Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. hureeeeeee nini tena hiki jamani.....? OBESITY.......

    ReplyDelete
  2. Michuzi, tumuombee huyu M-tanzania mwenzetu.

    http://www.chicagobreakingnews.com/2009/09/ibrahim-kibayasi-mt-prospect-police-charges-murder-aggravated-battery-rolling-meadows-lutheran-gener.html

    http://dailyherald.com/story/?id=320214

    Inasikitisha sana na anahitaji sana sala zetu kwa sasa.

    ReplyDelete
  3. Commenter number 2:

    Kwanini aombewe? Mzamiaji kaua mtoto mchanga huko marekani halafu unataka umuonee huruma? Huko sio kijijini where you can get away with murder. You do the crime, you do the time.
    Maybe we should pray that prisoners will take it easy on his ass...NOT!

    ReplyDelete
  4. Duh! swaumu kweli ilikuwa kali

    ReplyDelete
  5. we nyangumi unaedai tumuombee huyu muuaji wa kukusudia una akili timamu kweli? jitu limeua mwanaye ulimzaa wa nini? nyie mnaona raha tu kupachika watu mimba kulea hamtaki yani limeachwa na mtoto ikawa tabu yani kuna minyang'au mingine ikishatundika mwanamke mimba inadhani ishamaliza kazi hata kumpa mtoto maziwa inaona kazi blood nyau ndo mjue kazi ya kule ilivyo ngumu na sio kumuachia kila kitu mama tuu kimeniuma sana mtoto wa miezi 5 kweli mbona hawasumbui? wakishiba wako poa kweli mungu akupige radi ufungwe na ukimaliza kifungo urudishwe kwenu au ule laifu kabisa ili iwe fundisho kwa mijitu jinsia yako nyinyi kenge ndo mnasababisha wenzenu hawapati viza kwa ajili ya upuuzi wenu mara muibe mara muue mara utapeli yani mnaboa sana nyinyi wenye uchafuu kama huu
    mdau canada

    ReplyDelete
  6. Waoneni mlivyo na roho za kunguni. What he did ni kitu ambacho watanzania wengi mno wanakifanya kila siku. He did not kill his baby and we all know it was an accident. Mijitu humu roho mbaya tu. Leo kwake, kesho kwenu nyie wenye roho za mapaka shume. Kwani mkimuombea mtapungukiwa nini? Tena nyie ndio mnahitaji sala kuliko yeye waone kwanza.

    ReplyDelete
  7. hatumuombei kamwe wewe ndo unapaswa kuombewa ili usiwe na roho ya kihitler kama huyo mwenzako hao mapolisi hawako wrong wanainvestigate hizo ishu za mauaji na vifaa vya kisasa kupita huo ubongo wako na america sio bongo unaua unaachiliwa huru eh mola nakuomba sana muuaji huyu afungwe life
    mdau north america

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...