AN INSULT TO AFRICANS
OR JUST BUSINESS AS USUAL?
For the past two weeks or so, we have witnessed an uproar in the American media regarding the visit of African Union Chairman, Colonel Mouammar Gadhafi.
This visit was specifically intended for the meeting of the United Nations General Assembly. Hotels refused to give him accomodation, realtors refused to find him a house to rent for the duration of the UN meeting, town mayors threatened to take legal action against anyone who would dare to give him shelter, these are some of the issues that have been coming up recently.
And yesterday, he made a speech at the United Nations. I was actually surprised that the whole speech was aired live on various network channels. He raised various concerns, some regarding present issues like Iraq and Afghanistan, some historical like the assassination of Patrice Lumumba, JFK and the Vietnam War.
My main problem is how America is incresingly becoming a hostile nation to foreigners, be it students, tourists, investors and it raises a question if this nation is still capable of hosting a community of nations. America has changed dramatically, especially in the last five years.
It's like Americans are going through a period of emotional rollercoaster. One minute they rejoice over the election of the first African-American President, the next minute they feel like these are the most uncertain times in their nation's history (if anyone is honest, they will tell you there is racial undertones in their concerns).
I sincerely can't see America surviving these times because she made too many mistakes in the past and the way she approaches current problems like so-called terrorism and immigration issues doesn't help her much either. Their arrogance and attitude of never admitting their mistakes will make it very difficult to face the increasingly changing, awakening world.
I know Fidel Castro had the same problem in the early 1960's when he came for the UN meeting, until Malcolm X and other Harlem-based black organisations offered him accomodation, but this is different. Mr. Ghadafi is not just representing the people of his country but he also came representing the whole of the African continent.
If ordinary Americans didn't care about that, at least you would expect the US authorities and the media to know alittle bit better, even though I'm aware that they don't really respect the AU that much.
African people should feel insulted because of what happened this week. My conversation with few Tanzanians in the past doesn't give me much hope though. Sometimes some people even say they wish colonialists had stayed alittle bit longer.
Some people if given a chance today they would have chosen Oscar Kambona or Chief Fundikira over Mwalimu. It's a damn shame. Nothing against those gentlemen but are we overlooking the foundation that Mwalimu built for us? Look at Kenya, they climbed a 200-feet ladder only to find themselves on the wrong side of the wall, is that what we wanted?
A Roman philosopher Cicero once said 'Not knowing what happened before you were born is to always remain a child'. American media want us to ignore and forget about what happened to Patrice Lumumba, Samora Machel and other illegal wars and assassinations.
Like Ghadafi said, once you forget about why and how those things happened there is a chance they will happen again, which is what happened to Iraq, Afghanistan, Somalia, Sudan. Today, the CIA can say there are Al-Qaeda operatives in Pemba and they can order a drone dropped, or they can infiltrate internal politics to instigate revolutions.
I wonder which side are you all going to be on? My feelings aren't very positive about that question. It's time we as African people should stand up and demand respect for us and our leaders.
If a head of state is treated like that what makes you think you are guaranteed decency and protection in 'their' world'? Let us understand our history thoroughly. Alot of bad things have happened to us, it's amazing we are still even around.
The African Renaissance that is on our destiny need to start on an individual level in knowledge and undertanding of who we are and what we have endured as a people. We don't want to always remain children, do we?
BY MDAU.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 63 mpaka sasa

  1. Good oratory speech Mdau! U missed one word there,"lockerbie"
    cheers
    kuphui

    ReplyDelete
  2. Si semi kama ni sawa kumnyima Ghadaffi mahalala pa kulala, lakini jamaa alichoongea asilimia 95 ni pumba tupu. hawezi kusema kama nchi inatawaliwa kidikteta basi nchi nyengine zisiingilie kwasababu hayo ni mambo ya ndani wakati anatumia majeshi kunyanyasa wananchi wake. jamaa alikuwa anajitetea kwa vile alichukua madaraka kinguvu na sasa anataka kumrithisha mtoto wake. huyu ni dikteta mwenye fikra za kizamani lakini anataka kuwepo katika wakati wa sasa. simuungi mkono hata kidogo, yeye pamoja na madikteta wenzake kina Mugabe. Wanatupa historia za miaka ya 47 kuhalalisha matendo yao ya leo, tumeshachoka na porojo za mwaka 47, tunataka yaliyopo sasa. miaka 50 ya uhuru bado mnatupa historia mbovu badala ya kutueleza mmefanyia nini nchi mpaka mjihalalishie utawala wa kimabavu.

    ReplyDelete
  3. I am in the states and i support what New Yorker did. In America kuna usemi usemao Not in MY BACK YARD. That is right, Gadafi alikuwa anasupport walioitungua ndege ya Wamarekani. Kuna mama, baba, kaka, dada and many people died on that ndege. Sasa leo unakuja hapa kujaza junk eti wamarekani ni ignorant. You the ignorant sababu you're pushing staff based on you're emotional and not facts. Leo hii Idd Amin aje Tanzania unadhani people will support that?

    Concern Obama and America the reality stays. Obama is doing to many things at once during the worse economic system of our time. That is the proble.......

    Kushabikia sijui immigration bll sijui nini, hayo ni matatizo yako kama huna pepa....

    Mchumi wa texas

    ReplyDelete
  4. jonh mashaka:

    hachaga kulalamika sana, wewe ndo unayemshambuliaga kanali ghadaffi. sasa mimi pia nina swali kwako?

    Je hela $350,000 ulizotoa kwa ajili ya kampeni ukonga ilikuwa na maana gani?

    Je landruiser prado 4 ulizonunua umemuachia nani na kwa ajili gani kwa maana tumeshapata habari kwamba sasa hivi umeenda china kujifunza namna ya kufanaya kempeni.

    mwache ghadaffia livyo ndiye mtetezi wa waislamu kwenye barala la africa

    hacha kutumia anonymous kuandika makala yako

    ReplyDelete
  5. "It's time we as African people should stand up and demand respect for us and our leaders". Why are u blame them? The problem is our leaders themselves, always they are not faithfuly in our natural resources. we are still dependant from developed countries even our minds. How can we develop the way we are, Its time for African leaders to make sure that they distribute our national cake fairlly and equally. After that we can proceed to mobilise our people to fight agaist any types of segregation. But now we can't we are not as one country or continent due to our social classes.

    ReplyDelete
  6. mkuu wa libeneke, na anko nanihii, kwa heshima na taadhima, tunaomba ufungue upya lile makala la MASHAKA JOHN, tafadhali sana LILE LINALOMHUSU GHADAFFI. nadhani wengi watafunguka macho kuhusu ghadaffi. michuzzzzzzzzzzzziiiiiiiiiiiiii
    tafadhaliiiiiiiiiiiiiiiiiii
    saaaaaaaaaaaaaaaaaaaanaaaaaaaaaaaaaaaa
    ufungueeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ile thread tuipitie upya, kwa maana hapa watu hawajaelewa kitu

    ReplyDelete
  7. WEWE JAMAA MJINGA SANA KWANINI UMETUMIA MFANO WA CIA WAKASEMA KAMA KUNA ALKAIDA OPERATIVE HUKO PEMA. ULIKUWA NA MAANA GANI KUTOLEA MFANO HUO. WALE WA PEMBA WANAFANYIWA UDHALIM NA SERIKALI YA MUUNGANO PAMOJA NA CHAMA CHA KIKATILI CHA CCM, WAO WANADAI HAKI YAO NA IKO SIKU ZANZIBAR ITAKOMBOKA KWENYE MIKONO YA WADHALIM. WENU MPEMBA FYOKO.

    ReplyDelete
  8. Mdau umeongea kweli sana, naona vibaraka wa wamarekani lazima wakuponde ila tunawaelewa, wako bize wanatafuta passport za US hivo huwezi kusema 'nchi' yao ina makosa. Kama ulivyosema, ingawa jamaa ana mapungufu yake kama rais, ila ni lazima UN au US wamchukulie kwa cheo chake cha Mwenyekiti wa AU! Je waziri wa scotland aliemwachia mtuhumiwa wa lockerbie angekua ndo rais wa EU nae wangemtenda hivi!
    Wazee wetu walitawaliwa ila walipinga na kupigana, ila sisi tunajipeleka na kuwakaribisha mabepari watutawale. Africa 4 ever!

    ReplyDelete
  9. Very good comments with wide perspective. History matters but we have to move on, open leadership na make the world to be a safe place.
    US.

    ReplyDelete
  10. HUYU ALIITAYE MCHUMI WA TEXAS ANA TATIZ LA UBAGUZI NA KICHWA CHAE KIMEJAA KASUMBA ZA KIMAREKANI>
    HAZUNGUMZI FACT< SABABU HAPA UK ASILIMIA 97 ya wale jamaa ambao jamaa zao waliuawa katika tuko la kutunguliwa ndege ya Lockebie hawakubali kuwa walibya walihusika. Wachunguzi wa matukio wameonesha kuwa tukio lile huenda likawa ni la kulipiza kisasi la Wairan, kwani nao ndege yao ilitungukliwa na askai wa marekani. Sijui ni wangapi wanaweza kuchambua hayo. Ni msiba mkubwa kuwa wabongo wengi na hata waafrika wengine wanaishi kwa kula kinachopikwa na marekani bila kujiuliza kama kina ladha au ni salama kuliwa. Nakusudia kusema kuwa kwa wengi wetu Marekani ikisema kila mmoja anakiamini bila hata kuchunguz. Hapa UK kuna tabia moja, watu ni critical ile mbaya, na kama huniamini muulize Tony Blair ni nini kimemwondoa madarakani. Ni wachache mambumbumbu kulinganisha na huko Mrekani ambako Bush na Obama wakisema tu tv zinachukua na kuwalisha watu, maskini watu wanaishia kujazwa kasumba na uongo.
    Ni ushahidi mchache sana usio wa kuaminika unaoonesha kuwa walibya wamehusika na tukio la Lockebie. Ila si siri kwamba mwafrika, hasa mwenye chembe chembe za Uislamu, ana wakati mgumu sana anaposafiri kuingia Marekani.
    Kwa nini? Sababu ni yepesi tu kwamba siasa za nje za mabavu za kimarekani zimewachosha watu nao wameamua kureact.
    As long as Marekai inaendelea n umabavu wake, dunia itaendelea kushuhudia unyanyasaji wa si wageni tu bali hata wamarekani wenyew.
    na wewe ujiitae mchumi, elewa kuwa nawe huko salama. Siku moja nawe unaweza kukumbwa na dhorub za matokeo ya matendo y Serikali unayoitetea, kwa namna yoyote ile.
    Mndengereko, Ukerewe.

    ReplyDelete
  11. This is according to my perspectives.

    International issues are extremely complex in terms of their interpretations.

    There are absolutist(dogmatic) and relativity(pragmatic)ie according to context, views to express moral ethics and reasoning as to what is right and justice and fair.

    The pragmatic approach of Mr Obama attempts to find best fit solutions for the interest of parties concerned(win win).His UN speech depicts the change of US foreign strategy in its direction and perception.He, as well chaired the security council for the first time by the US president.

    I think it is the first time for a Libya leader to stand on the UN podium to speak and express his several views on issues.Although it was rambling speech,it addresses issues concesely.especially on unfairness.Remember,Libya has been granted temporary seat on the Security council too.He gave up his nuclear programme six years ago and he is no longer a threat but IRAN with the revelation of a second nukes enriching plant is.I am waiting for president Obama speech on this which is due shortly at G20 meeting in pittsburg.

    From issues on your article,you need to recognise complexities of contemporary issues such as the release of convicted Lockebie bomber,it is a compassionate release by Scottish goverment.Did UK premier play a part?Read about hash condemnation of this awful decision from America.

    Moreover,think of strategic impacts of Libya due to its enormous oil and gas reserves and other unidentified minerals.Someone needs to correlate facts and envisage powerful influence interm of strategic competativeness (BP and Russians,Chinesse are in Libya for this.Think of Political,economic,environmental factors.

    Furthermore,there is need to differentiate issues and find best fit solution of democracy,dictatorship(authoritarian),occupations,halocoust(sp),imperialism,nuclear detarent and for peaceful purposes,Human rights,health issues(swine flu,HIV preventative drug etc)Financial crisis leading to global recession.Ongoing issues of regulations at G20 as we are emering from global recession and so forth


    Therefore,we need not to remain as children but take issues at hand in a more plausible way.Think of Goverment,Governance,AID,Corruption,the fight against diseases,leaders initiatives to ensure socio economic progress,etc

    There are deep feelings of inequalities as THE HUMAN HAS CAPITALIST CHARACTERS in his GENES.eg Survival of the fittest,economic, military might,Technological supremacy,might infrustucture,Financial globalisation.

    It took western states 200 years from subsistence agriculture to derivatives markets(SWAPS,OPTION,FUTURES)Heard of them?.We are a young nation and agriculture is currently pitched predominantly to consign abject poverty in museum.

    You,as a Tanzanian,need to read and interpret the above complexities(several more not included) and think of how long,it is going to take us from our status quo to prosperity.

    Mdau ( John ) UK

    ReplyDelete
  12. So "mdau" you call that was a speech?? First he spent almost 2hrs to speak nonsense. How can a person support terrorists and regard them as heroes?? He is crazy!

    ReplyDelete
  13. Mdau wa Fri Sep 25, 12:45:00 PM.
    kaongea ukweli, some leaders are just straight up stupid. Namfananisha Gadaffi na IDDI AMIN.
    The guy is DUMB....

    ReplyDelete
  14. by.way.of.deception.thou.shalt.wage.warSeptember 25, 2009

    MDAU very well written with substance.

    Americans are scared to death when it comes to the ARABS and MUSLIMS.

    on top of that Gaddaf made a deal with the scotish gov to release almagrah on humanitarian grounds something they did not like.

    If you compare the death that occured on mikong river during vetcong war and the american hero they cherished for killings is where you see the other side of this great nation.

    ReplyDelete
  15. as AU chairman i think Gadafi deserve some dignity please!.

    ReplyDelete
  16. pumba zinazoandikwa humu, ndo maana kumbe siku hizi bongo watu wanakufa kwa kiingereza na mazishi pia kwa kiingereza.

    ReplyDelete
  17. i hate american leaders whenever they come to our countries. they take over all security roles to the extent of issuing special ids to our securities, bodyguards and government leaders. how can american know tanzania than tanzanian?

    ReplyDelete
  18. >>mwache ghadaffia livyo ndiye mtetezi wa waislamu kwenye barala la africa<<
    We mdau unayemponda Mashaka naomba nikuulize, mambo ya dini yametoka wapi tena?mbona nyie wenzetu kila kitu mnaingiza dini ndani? Na mimi nikisema Bush ni mtetezi wa Wakristo utanielewa?acheni upuuzi wenu ntie watu kama wewe ndio wanaleta mgongano na mifarakano ndani ya nchi. Dini usichanganye na siasa. Cha ajabu mdau alikuwa anamtetea Ghadafi kwamba sio sawa alivyokuwa treated huko US. Sasa wewe unakurupuka na kuanza kujipinga mwenyewe...inaonesha kiasi gani ulivyokuwa brain washed na dini yako hata kufikiria huwezi tena...Waambie ndugu zako wa Zanzibar walioko Somalia warudi nyumbani waache ujinga al qaeda watupu hao...

    ReplyDelete
  19. we respect those who respects themselves and their people.

    NASIKIA WAKOREA KUSINI WAMETANGAZA KUNUNUA BONGE LA ARDHI BONGO BAADA YA ZIARA YA PINDA LKN VIONGOZI WETU WANAKANUSHA HABARI.

    kaka nipo chini ya miguu yako niepukane na ukapunist ini zisi kommenti

    ReplyDelete
  20. Aisha Senkoro, H-TownSeptember 25, 2009

    Kama gadaffi ni mtetezi wa waislamu, basi John Mashaka Rais wetu 2015 ndiye mtetezi wa wakristo. Msilete mambo ya udini hapa mbuzi nyie
    mashaka ndie mume mtalajiwa kwa hiyo toeni pumba zenu hapa mashaka ndiye jiniasi na baba watoto wangu nikishakuwa mrs. Mashaka

    ReplyDelete
  21. Ghadaffi is a terrorist. Ghadafffi ni ghaidi

    ReplyDelete
  22. Mimi naomba hotuba ya Rais Gaddafi niisome nijue aliongea nini kwanza kabla sichangia.

    ReplyDelete
  23. Mchumi wa TEXAS nenda kwa rais wako wa 2015. Nabii Yohanna Mashaka akufundishe kiingereza kwa maana haujui kitu. Na usirhubutu kuandika atiko kwa maana kula unachoandika kuna harufu chafu vile. Kichwa ni Kama kuna uozO vile

    ReplyDelete
  24. hi, Gadaffi kwanza ni Mgonjwa wa akili pia ni bomu linalochemka. Huyu unayemtetea wakti Idd Amini anaua watu Uganda na Tanzania yeye alimuunga mkono na pia alituma Mjeshi wakti Tanzania inajribu kuondoa Idd Amini na majeshi yake katika Mipaka ya nchi yetu.
    Safari yake hapa New York kama walivyo viongozi wengi toka bara la Africa ilikuwa aibu sana. Kumtambulisha kuwa huyu ndiye Mwenyekiti wa Bara letu-zaidi unaona watu viongozi toka Kenya 5th Avenue "Saks" wakifanya shopping wakati wanaomba msaada wa kupelekea maji watu wanao kufa kwa ukame kwao, na pia wengine kuozea kwenye slamsa! Aiubu tupu. Gadafi ni Dikteta tu

    ReplyDelete
  25. Michu, kweli tunaomba urudie ile makala ya ndugu yetu mashaka kuhusu gadafi.

    ReplyDelete
  26. Love or loathe him, but you cannot ignore some of his words. We probably all take it for granted, but I struggle to understand the rationale of 5 nations determing the destiny of 190 other nations. Further, despite the UN charter seking to avert armed conflicts we have see, since its establishment, many serious wars mainly instigated by at least one of the permanent members of the (in"security") council!

    So, long live Muammar Gadhaffi. At least you have the audacity to raise you voice when we are all silenced by fear, surbodination or inferiority.

    ReplyDelete
  27. Pablo Maasai.September 25, 2009

    huyu mzee gadafi nae sijui nimuanzie wapi. kuna mambo mengine pale alisema ukweli. Lakini kutumia dk 100 wakati umepewa dk 15 tu kutoa hoja zako kwa kweli nafikiri hiyo ni kuonyesha jinsi ulivyo mbabe kwa wengine.bila shaka dk 15 zingemtosha kusema ukweli wote aliokuwa anataka auseme kuhusu umoja wa mataifa na si dk 100 za kuanza kuponda, na kutoa hasira zake kwa viongozi wa baraza la umoja wa mataifa.Hiyo haisaidii hata kidogo, and plus hakuna mtu atakayetilia maanani hoja zake hata kama zilikuwa na ukweli ndani yake asilimia 99.9.

    ReplyDelete
  28. Ah wadanganyika, bado tunadanganyika. J Mashaka ni mwanasiasa mwenye ndoto za kisiasa. mtu mwenye moyo wa kutoa huwa hajitangazi na huwa hatafuti vyombo vya habari. kuhusu Ghadafi, ni sawa na kumfunga mshukiwa bila kudhihirisha kosa lake. siasa za kimataifa ni wizi mtupu. wanasiasa wote lao moja, kutafuta maslahi ya matumbo yao. haijalishi wapi na nani ataumia katika harakati zao, na wananchi siku zote kwao ni vichaa wasio na akili. Obama, mpeni muda lakini ni wale wale kama JK ahadi kibao lakini ............. maisha bora bado tunasubiri.

    ReplyDelete
  29. Of course it's hard for Americans to accept Gaddafi as a guest. Remember the bombing of the Pan Am jetliner over Lockerbie Scotland. And to make matters worse, the culprit was given a heroes welcome when he recently returned to Libya. The pain of Lockerbie is still with many Americans and they see Gaddafi as a reminder.

    Whether the snub is an insult to Africans as a whole, I really can't say, because most American's think Libya is in Arabia and Gaddafi is an Arab!

    ReplyDelete
  30. Kabla ndege ya Lockerbie kutunguliwa, ndege ya Iran iliyokuwa na abiria ilitunguliwa (inasemekana na USA)Hebu unganisha dots halafu utapata jibu!

    ReplyDelete
  31. Gadaffi is a loon and a thug. He wanted to sleep in a Tent. You don't trash the hand that feeds you. We Taxpayer pay 500 million a year for that stupid ass. He needs to stop.

    ReplyDelete
  32. ... KOREA kusini kununua land bongo sio mbaya kama kununua huku kunamaanisha "kurent" its much better than to leave land without developing it... for mo news -> Bonyeza hapa

    ReplyDelete
  33. GADAFI KAONGEA MAMBO YA MAANA SANA KAMA MLIFUATILIA SPEECH YAKE!!MIMI NIMEIRECODI KAMA KUMBUKUMBU KWA WATU WATAKAO ANZAKUBWABWAJA NA KUTAKA KUMPONDA.
    MOJA YA MAMBO ALIYOONGEA NDIYO MAMBO AMBAYO MARAISI ZAIDI YA SITA WALIYOKUJA KUONGEA MFANO SWALA LA SECURITY CONCEL LILIRUDIWA NA RAISI WA UFARANSA,CHINA,RUSSIA,SOUTH AFRICA,IRANI N.K
    TATIZO KUBWA LA GHADAFI ANAPIGANIA HAKI ZA WAAFRICA AMBAO ASILI YAO NI WATUMWA NA VIBARAKA YANI WANAFKI KWELIKWELI YANI WANAUME ZAO WA AMERICA WAKIONGEA TU!!WAKE HAWANA LA KUPINGA.
    KUHUSU SWALA LA DEMOCRASIA HATA HUKO AMERICA HAKUNA DEMOCRASIA,KAMA HAO WAAMERICA WENYEWE HAWANA HAKI YA KUPATA MATIBABU ITAKUWA WEWE MKIMBIZI WA KITANZANIA ULIYEHUKO?
    HACHENI UTUMWA WA KIMAWAZO

    ReplyDelete
  34. GADAFI KAONGEA MAMBO YA MAANA SANA KAMA MLIFUATILIA SPEECH YAKE!!MIMI NIMEIRECODI KAMA KUMBUKUMBU KWA WATU WATAKAO ANZAKUBWABWAJA NA KUTAKA KUMPONDA.
    MOJA YA MAMBO ALIYOONGEA NDIYO MAMBO AMBAYO MARAISI ZAIDI YA SITA WALIYOKUJA KUONGEA MFANO SWALA LA SECURITY CONCEL LILIRUDIWA NA RAISI WA UFARANSA,CHINA,RUSSIA,SOUTH AFRICA,IRANI N.K
    TATIZO KUBWA LA GHADAFI ANAPIGANIA HAKI ZA WAAFRICA AMBAO ASILI YAO NI WATUMWA NA VIBARAKA YANI WANAFKI KWELIKWELI YANI WANAUME ZAO WA AMERICA WAKIONGEA TU!!WAKE HAWANA LA KUPINGA.
    KUHUSU SWALA LA DEMOCRASIA HATA HUKO AMERICA HAKUNA DEMOCRASIA,KAMA HAO WAAMERICA WENYEWE HAWANA HAKI YA KUPATA MATIBABU ITAKUWA WEWE MKIMBIZI WA KITANZANIA ULIYEHUKO?
    HACHENI UTUMWA WA KIMAWAZO

    ReplyDelete
  35. an eloquent orator, keep up your writting prowess my brother.
    mdau wa shinyanga

    ReplyDelete
  36. JAMANI KUHUSU SWALA LA DEMOCRASIA GHADAFI ALINUKUU MANENO YA OBAMA AKISEMA DEMOCRASIA YA NCHI HAWEZI LETWA NJE YA NCHI NA NCHI NYENGINE!!ILA ITALETWA NA WATU WAKE WENYEWE!!SASA KAMA NI HIVYO KWANINI NCHI NYENGINE ZIINGILIE?MAANA HATA MARECANI HAKUNA DEMOCRASIA MAJIMBO MACHACHE NDIYO YANAYOWACHAGULIA RAISI WAAMERICA WALIO WENGI YANI KUNAMAJIMBO UKISHINDA TU WEWE UMESHASHINDA BILA KUJALI MAJIMBO MENGINE WALA WINGI WA KURA.ILA KWETU WANATAKA KUTUPANDIKIZIA MAPAPETI KAMA WAKINA MASHAKA,ANGALIA MKWALA WA AMERICA WALIOUPIGIA BAADHI YA VIONGOZI KENYA WANAOPINGA RUSHWA ETIWATAWAZUIA KUSAFIRI NJE YA NCHI YAO SASA HUU NI UKOLONI MPYA UNAKUJA,LEO MMARECANI ATATAKA KUJA KUCHOTA MALI ZETU EAST AFRICA TUKIKATAA ATATAKA KUJA KUPANDIKIZA PROPAGANDA ZAKE AMA KUPANDIKIZA WANAFIKI.
    TUACHE KUPAYUKA KWA INTEREST PIA NA MPONGEZA GHADAFI KWA KUTAKA AFICA TULIPWE FIDIA KWA KUTAWALIWA NA WAZUNGU FIDIA YA 7.7 TR DOLLARS

    ReplyDelete
  37. Michuzi
    Mie naungana na wadau wa hapo hawali, napenda ubandike upya yale makala ya Joni Mashaka ambayo yalimchambua kanali ghadaffi. Nadhani wengi humu hawaelewi au hawamwelewi huyu Ghadaffi vizuri
    Kwa wanaopenda maswal ya udini nadhani nimeona mnaanza kuingiza udini wenu hapa lakini tukubaliane kwamba ghadaffi ni aibu kubwa kwa bara la afrika pamoja na mwenzie Mugabe. Michuzi tupe yale makala ya Mashaka tena mkuu. ili ni jamvi la wanajamii kwa hiyo usitunyime uhondo

    ReplyDelete
  38. Qadaffi deserves no respect. He is an embarasment to the African people. He took power by the gun and he will go by the gun. That food has been responsible for many conflicts in Africa and then he now talks about brotherhood and untiy, such nonsense coming from a dictator like him who will do anything to hand power to his son and take away rights from the Libyan people. God bless Africa.

    ReplyDelete
  39. USA as guest for UN vistors should respect and acknowledge all people same no matter where they come from or their political views. Americans should understand not everybody who have different political views hate them. Mr Gaddafi is leader of people of Libya and the chairman of African Unity so they should respect him because of that. If they worry about dictatorship, what about their best friends the Saudis and Kuwaits? I cant recall any elections recently!! I admire president Obama for his effort to change the American image around the world, as I believe if mr Bush was still in power someone like Gaddafi wouldn't dare to put his foot in USA soil, although he would only want to attend the UN Summit.

    ReplyDelete
  40. GET THE FACTS RIGHT. Naona kuna vitu vingine tunaongea tu bila kuwa na ukweli au kujua sababu.

    HALUKATALIWA KUKAA KWENYE HOTELI BALI HATAKI KUKAA HOTELINI NA HAKUTAKA KUKAA KWENYE APPARTMENT YA UBALOZI WAO (KWA KUTOKUPENDA ELEVATOR) ...

    KUMBUKA GADAFI HAKWENDA USA AMEKWENDA UN. SASA UN INA MAENEO YAO AMBAYO HAO DELEGATES NDIO WANATAKIWA KUKAA TU...

    KAMA SIO RAFIKI WA USA WAO HAWAJALI KUWA NI KIONGOZI WA AFRICA AU LA...

    ReplyDelete
  41. huyu mwandishi ni joni mashaka, asituzingue hapa. huyu ni yeye, na siyo yye peke yake ndo mwenye akili tanzania. kuna wasomi wengi waliotulia tuli tu, mbona mtu mmoja mumuimbe utazaninia ndo mungu wa watanzania nchini marekani. ni mashaka na hasheem, mashaka hasheem, mashaka hasheem?? kama mnamtaka huyo mashaka nendeni akawaoe, habari ndo hiyo

    ReplyDelete
  42. PETER NALITOLEASeptember 26, 2009

    MIMI NASEMA KWAMBA KAMA MCHUMI WA CHUO KIKUU CHA UNIVESITY YA MOLOGOLO KWAMBA GADAFI NI GHAIDI WA KIISLAMU MWENYE ITIKADI KALI NA SISI HAPA AFLIKA HATUMPENDI NA HATA MCHUMI WETU WA MUZUMBE MTAKATIFU YOHANA MASHAKA HAMPENDI. NA KAMA RAIS MTARAJIWA 2015 HAMPENDI MTU BASI HAWEZI KUKUBALIKA. SI UNAONAGA MASHAKA ANAVYOPANDISHA CHATI GLOBU YA JAMII KWA HIYO GADAFI NA KUBORNGA KWAKE KOTE MUNAMUITA JASIRI BASI WOTE NI MBUZI KUSEMA KWELI. MIMI SIYO MBUZI KWA SABABU NI CLEAVER TOO MUCH BECAUSE I READ FROM MUZUMBE UNIVESITY COLLEGE OF MOLOGOLO WITH PROPHET YOHANNA MASHAKA AND MR. STEVEN KANUMBA OF MOVIE OF TANZANIA AND WEMA SEPETU OF MS. TANZANIA 2006

    ReplyDelete
  43. Tatizo wengine mnaongea bila kufikiria bora kuandika. we unaemwita Ghadafi gaidi ugaidi wake nn? mnaosema ni dumb an stupid mkumbuke alichaguliwa/teuliwa na Umoja ulio undwa na viongozi wa nchi zenu which makes them dumb and stupid too. ss kama rais/kiongozi wa nchi yako supid and dumb wewe ulie mpigia kura je?
    Nani ana uthibithisho kwamba Libya ndo walilipua ile ndege? naungana na mdau wa uk msipende kujazwa maneno mchambue. wengine mnandika comments hapa cjui mko usingizini.

    ReplyDelete
  44. Tatizo wengine mnaongea bila kufikiria bora kuandika. we unaemwita Ghadafi gaidi ugaidi wake nn? mnaosema ni dumb an stupid mkumbuke alichaguliwa/teuliwa na Umoja ulio undwa na viongozi wa nchi zenu which makes them dumb and stupid too. ss kama rais/kiongozi wa nchi yako supid and dumb wewe ulie mpigia kura je?
    Nani ana uthibithisho kwamba Libya ndo walilipua ile ndege? naungana na mdau wa uk msipende kujazwa maneno mchambue. wengine mnandika comments hapa cjui mko usingizini.

    ReplyDelete
  45. HUYU MASHAKA ANAAKILI KAMA KITOTO CHINI YA MIAKA MITANO!!MARA KIINGIE NA KUCHANGIA MAONI KWA STAILY TOFAUTI KIKIJIFANYA KUWA NI MCHANGIAJI TOFAUTI PIA NI MDINI KWELIKWELI,HAJUI KUWA MITANDAO HII INASOMWA NA WATU MBALIMBALI NDIO KINAZIDI KUJIALIBIA KWA KUWEKA AIBU ZAKE HADHARANI.
    INAONESHA KWANZA WATU WANAKURUPUKA KUCHANGIA MADA KWA USHABIKI ILA HAWAJUI CHOCHOTE KWA KUTOFUATILIA MAMBO.
    KWANZA KABISA GADAFI HAKUZUIWA BALI YEYE MWENYEWE NDIO ALIYEKUWA HATAKI KUKAA HOTEL.
    PILI KUHUSU UGAIDI HAKUNA GAIDI MKUBWA DUNIA HII KAMA AO WAZNGU NA WAISRAELI,MFANO WAMAREKANI NA WAISRAELI NDIO WANAONGOZA KWA KUUA NA KUCHOCHEA MIGOGORO DUNIANI KILA KWENYE BALAA KTK HII DUNIA WAO LAZIMA WAHUSIKE ANGALIA MAUAJI YOTE AFRICA WAO NDIO WAHUSIKA WAKUU NASEHEMU NYENGINE DUNIANI.

    TATU KITENDO CHA KUTOTAKA MAENDELEO YA TECHNOLOGIA YA NCHI NYENGINE HUO NI UGAIDI TOSHA KAMA ALIVYOSEMA GADAFI.
    AMERICA YENYEWE KILA KUKICHA INAZITOA SERIKALI ZA WATU KWA MITUTU NA KUUA MAMILIONI YA WATOTO NA KINA MAMA JE HUU SI UGAIDI?ACHENI KUSHABIKIA MADA KAMA WANAWAKE WA BAA

    ReplyDelete
  46. ile ndege ya wairani iliyokuwa na abiria ilitunguliwa na wamerekani kwa bahati mbaya tu na si vinginevyo sasa kwa vile americana wana damu ya kunguni iran hawakukubali kabisaa walijua tu iko namna wakaongea na anko wao ghadafi naye akafanya kweli kwa lockerbie
    miss michuzi

    ReplyDelete
  47. "For a long time. Africans have been denied their economic rights under international trade regimes. Economic rights are human rights too. If Africans were not cheated of this, Africa would be a better place to live."

    Mdau, thank you so much for the views. Kwa hakika, those still claim that "Colonialists should have stayed - colonise our minds - a little longer" need not look any where else beyond ZIMBABWE.

    As for Oscar Kambona or Chief Fundikira. Eeeeeh! It's like a bride or groom who keeps on dreaming about former lovers that they never married and believing that they would have been far much better than their current spouse(s).

    With all due respect to our East African neighbours, does the names Milton Obote and Jomo Kenyatta ring a bell in the minds of those who are still unthankful for what Mwalimu did, or rather the solid foundations that he helped build for the republic?

    Mwalimu (hate him or love) will always be remembered and viewed faily by histry for decades after many of us have exited the planet earth. Guess wwhat? Some of us will not be even footnotes by 2049 or worse in 2079. Let's always learn to give credit where it's due.

    As for 'instigated revolutions'and messy political infilitration, Chile is a very painful example and above all, our next door neighbour, the DRC is another sad example.

    Outside forces don't care about the people of the land, all they care about is their own immediate commercial and political interests. They do not care whether 100 Tanzanian infants die every day or 200 Tanzanian school children die every term (semester) from malaria and other deases.

    BTW, please, try and listen to Ghadafi's twenty minutes interview on Al Jazeera and you will understand where he's coming and what he stands beyond what the western press has demonized to be.

    And I agree with his suggestion that "it's high time the United Nation's Hdqtrs was moved to a central location, away from North America" for obvious reasons.

    Some are free to shout and refer to Ghadafi as a terrorist, in the token, they should also try figure out how many innocent lives have been lost and continue to persih in countries such as Iraq, Afghanistan, and who knows what country will be next in the five years from now?

    Terrorism is still terrorism, by any other name.

    ReplyDelete
  48. unajua mtumwa siku zote atabaki kuwa mtumwa kwa kutaka kumuimbia nyimbo nzuri bwana wake anaemmiliki na kumpinga na kumpiga vita anaetaka kujikomboa kutoka utumwani kama hao vibaraka wa marekani yani wanaonesha jinsi gani huko walipo wasivyo na thamani.
    Hongera sana Gadafi kwa kupigania kuwapinga mareakani na magaidi wenzie wanaoua mamilioni ya watu ktk dunia hii.
    hata hao vibaraka wao niwatu wasiojua dunia inakwendaje umaskini wa ndugu na wazee wao ni kwaajili ya hao magaidi wa kimarekani wasiotaka kuona watu weusi wakipata haki zao za msingi mmojawapo wakitupandikizia wake zao(vibaraka) na kutuletea matatizo ya vita,kutupandikizia maradhi na kutuletea chanjo na vyakula vyenye sumu ili watuangamize.
    Huko kwenyewe marekani maskini hana haki ya kutibiwa hospitali kwa ushahidi zaidi angalia watu walivyoandamana na kumkashifu Obama alipotaka kufanya health reform ili mtu mweusi ambaye ndiye maskini marekani nae apate insurence aweze kutibiwa hospitali.

    Pia Obama ndiye raisi wa kwanza tokea kuanzishwa taifa la marekani kuzomewa na kutukanwa akiwa anasoma speech,hii inaonesha ni jinsi gani mtu mweusi alivyokuwa hana thamani mbele ya taifa la marekani,imagine kama raisi hathaminiwi sembuse nyinyi vikaragosi watumwa wa kifikra?

    kama statistic zinaonesha asilimia 15 ya population ya marekani hawana haki ya kutibiwa hospitali na hawana makazi,je nyinyi vikaragosi mna hali gani?

    acheni kumshabikia Gaidi mkubwa wa dunia marekani na dhalimu mkubwa wadunia anaendesha operesheni ya kufanyanya binadamu wengine wataabike duniani.

    ReplyDelete
  49. Tatizo kubwa la Mashaka hajaelimika!!kama anavyodai kuwa kasoma alisoma si kwaajili ya kujiondoa ktk dimbwi la umaskini tu na sio kuelimika!!elimu aliyokuwa nayo haimsaidii kumwongezea busara na hekima na uwezo mpana wa kufikiri.

    ReplyDelete
  50. hivi nyinyi mnaosema John Mashaka rais wetu wa 2015 nafikili hamjui siasa za Tanzania, meka nje ya nchi muda mrefu rudini kwanza mje msome siasa za Tanzania Ndio mtajua John Mashaka hana nafasi ya Kuwa rais wa 2015 na miaka mingine ijayo mpaka na yenye ataporudi na kukaa Tanzania, kwanini watu tunakuwa wagumu na kuchunguza mambo na kusoma pamoja na kufuatilia

    ReplyDelete
  51. OHH!!SASA HAPA SUALA LA UDINI LIMEKUJAJE WKT WATU MNAONGELEA KUMJADILI GADAFI?INAONYESHA NI JINSI GANI WATU WANAVYOITETEA AMERIKA KWA AJILI YA UDINI TU!!HUU NI UFINYU WA KIMAWAZO.
    KAPACITE ZENU NI NDOGO KUFIKIRI,ANGALIA MARADHI NA MAUAJI BALA ZIMA LA AFRICA,ASIA,MAREKANI KWENYEWE,LATINI AMERICA,ULAYA NA AUSTRALIA YOTE HAYA MMAREKANI NI RESPONSIBLE,SASA BADO WATU MNAMMETETEA TU KWA AJILI YA UDINI WENU ILA MKUMBUKE ANAPOENDESHA OPERESHENI YAKE HAJALI WEWE NI WADINI GANI ILA ANACHOTIZAMA MASLAHI YA CAPITALIST MWEUPE TU,WEWE UTABAKI KUWA NYENZO TU YA KUMNUFAISHA.

    MASHAKA KUMBUKA UNAPOKWENDA NI PABAYA USIANZISHE VITA NA WAISLAMU UKAJENGA CHUKI WAKUCHUKIE UTAKUWA UNAKWENDA PABAYA KWANI STATISTIC ZA KWELI ZINAONESHA WAISLAMU NI WENGI TZ. ACHA HIZO ZA PROPAGANDA,SO HAYO MALENGO ULIYONAYO HAYATOFANIKIWA KTK NJIA HIYO

    ReplyDelete
  52. Ukitaka kujua kama Ghadafi ni kiongozi mzuri au hapana, angalia kiwango cha maisha ya watu wa Libya.

    Nimechagua nchi tatu, Tanzania, Uingereza na Libya ili tuangalie ubovu wa Ghadafi ulipo.

    Uingereza:
    Life expectancy = 79 years
    GDP per capita = $36,500
    HIV = 0.2%
    Death rate = 1%


    Tanzania:
    Life expectancy =52 years
    GDP per capita = $ 1300
    HIV = 7%
    Death rate =1.3%


    Libya:
    Life expectancy = 77 years
    GDP per capita = $14000
    HIV =o.3%
    Death rate = 0.3%

    Wakati mwingine tuwe tunaangalia ukweli (facts) kuliko maoni (opinions). Ukiangalia hizo takwimu hapo juu, unaweza ukaona kwamba Libya chini ya Ghadafi wanaishi maisha ambayo hayano tofauti na watu wa Uingereza.

    Ukifananisha kiwango cha maisha ya watanzania na demokrasia yetu, na maisha ya wa Libya na udikteta wa Ghadafi; sidhani kama tuna uhalali wa kuukataa uongozi wa Ghadafi kwa nchi yake.

    Najua kuna watu watasema watasema "oooh they have oil"; we have a lot more than just oil.

    ReplyDelete
  53. Eti anajiiita Mchumi wa TexaS!! Wanugu tu Wanakunyenyepaa sembuse hao unao washobokea.We utabakia kuwa mtumwa kwa kila kitu hadi KIFIKRA.... shame on you!!

    ReplyDelete
  54. American tz and the rest of the world are dumb and they will remain dumb,they don't dont what real and what its happening now unless Oprah said so..shame on you fella.thats why most of fellas do drugs instead of furnishings theirs studies ,and remember why they want to study in America in a 1st place .America is fucked and no one can help it.obama can make it ok but not all good live with that Americans

    ReplyDelete
  55. GADAFI IS THE REAL HERO!!ANAHITAJI PONGEZI KWA KUWA MPIGANAJI WA HAKI SIKU ZOTE HATA HAYO MAPINDUZI ALIYOYAFANYA ILIKUWA NI KUWAONDOA VIBARA NA KUWALETEA WALIBYA MAENDELEO!!LEO HII LICHA YA VIKWAZO VYOTE LIBYA ILIVYOWEKEWA NA WAUWAJI WAKUBWA DUNIANI MAREKANI NA WASHIRIKA WAKE LKN LIBYA NI MMOJA YA NCHI CHACHE AFRIKA MWANAINCHI ANAINJOY LIFE KWA KUWA NA MAISHA YALIYO STANDARD.

    MBONA HAMTAKI KUONGEA INCHI NGAPI AFRIKA AMA DUNIANI VIONGOZI WAKE WAMEINGIA MADARAKANI KWA VITA AMA KWA KUDANGANYA MATOKEO YANI KUIBA KULA?WAKISAIDIWA NA HAO WAMAREKANI ILI WAJE KUCHUMA MALI?
    MAANA UKIONA KIONGOZI ANAPENDWA NA WAZUNGU UJUE ANAMUSHKELI WAO HUCHUKIA KILA KIONGOZI ALIYEKUWA ANASIMAMIA MAZURI KWA WATU WAKE

    ReplyDelete
  56. Personally when i saw the demonstrations against Gadhafi one word came to mind, "Hypocrasy".
    Americans want the world to believe that they hold the standards of morality very high. But their government's policies and actions speak for themselves. Some of the most horific crimes in recent history has been perpetrated by the US.At the heights of Apartheid in South Africa, they called that evil reqime "a friend". Killed Lumumba and overthrew Nkrumah. They aided some of Africa's most notorious dictators,remember Mobutu. How can they dare call Gadhafi evil? If gadhafi is evil,I wonder what name should we call them?

    ReplyDelete
  57. Jamani vipi?Watanzania vipi?Mimi simpendi Gadhafi.Kama mnakumbuka yeye ndiye alimpatia silaha Iddy amini dada.Mjomba wangu alikufa kwenye ile vita ya Tz na Uganda.

    Kitu kingine,Ghadafi hawezi kuzungumza vile mambo ya Zamani,wakati yeye pia Zamani ulikuwa ditector.HE IS BAD MASSANGER FOR AFRICA..BAD ..BAD.!!

    Akija bongo inabidi tufanye hivyo hivyo,hamna mahali pa kukaa.

    Hapa USA hotel nyingi za binafsi na zina haki ya kukataa mtu bila kuulizwa.I Love that ...!!

    ReplyDelete
  58. Wadau hapa nafikiri wamesahau kuwa hata Tz maskini hawana haki kama ilivyo marekani.Lakini tofauti iko kuwa hapa USA haki inapatikana kwa wengi wao.Tanzani hamna na mifano mengi mnayo.

    Kuhusu Gadhafi,yes America walitumia mabavu na wanakosoana wenyewe, ndiyo maana Bush and republican wameshindwa this time na Obama kachukua.Iraq war was mistake and deserved to be in crime against humanity category.

    Lakini crime against humanity,Inchi ngapi did that?

    Mimi simpendi Gadhafi na America ni better leader in the world.Kama mnataka wachina au wajerumani kuwa world leader subiri.Wabaguzi hakuna,niulize mimi niliye safiri na kufanya nao kazi.

    America bado ni inchi inaweza kuongoza dunia kwa mambo mengi.

    Maoni yangu,i may be wrong..!!

    ReplyDelete
  59. JAMANI KAMA MNAMCHUKIA GADAFI HIZO NI CHUKI ZENU BINAFSI,HAMWEZI KUTUSHAWISHI MAANA HAKUNA BINADAMU ATAKAE PENDWA NA WOTE.
    KUHUSU HIYO VITA YA UGANDA MCHUKIE BABU YAKO NYERERE MAANA TULIPIGANA KWA INTEREST ZAKE BINAFSI!!BILA YA YEYE TUSINGEPIGANA NA UGANDA.

    WAZUNGU WALIKUWA WAKIMTUMIA NYERERE NA TANZANIA KUHUJUMU SERIKALI ZA WATU!!SERIKALI YOYOTE AMBAYO ITAKUWA INAPINGA MASLAHI YAO!!UKUMBUKE IDDY AMINI ALIKUWA HAPATANI NA U.K NA U.S.A NA NDIYO MAANA WALIITUMIA TANZANIA KUMWONDOSHA MADARAKANI!!!ROBO TATU YA MAENDELEO YA UGANDA MPAKA LEO NI YALE YALIYOLETWA NA IDDY AMINI!!MUSEVENI NI KIBARAKA WA AMERIKA NA TANZANIA TUMEMWEKA WENYEWE!!KAMBI YAKE ILIKUWA TABORA MPAKA LEO IPO ANACHOJUA YEYE NI VITA TU.
    MNAKUMBUKA NCHI NYINGI BAADA YA KUPATA UHURU VIONGOZI WAKE WALIUWAWA?HII KUTOKANA NA MAREKANI ILIZISAIDIA NCHI NYINGI KUPATA UHURU HALAFU BAADAE NCHI ILIYOPINGA KUTAWALIWA VIONGOZI WAKE WOTE WALIUWAWA MFANO WAPIGANIA UHURU NA WANAMAPINDUZI WAKUBWA WALIUWAWA KWA KIWANGO KIKUBWA MFANO THOMAS SANKARA,LUMUMBA,KWAME NKURUMA,STIVE BIKO,CHEGE VARA,ABDUL NASA,SAMORA MACHELI N.K HII NI MIFANO TU YA WAPIGANIA UHURU NA HAKI ZA WATU WEUSI NA AFRIKA KWA UJUMLA!!JE BADO MNATETEA MAGAIDI WA KIAMERIKA?

    HAPO BADO HATUJATOKA NJE YA BARA LA AFRICA KAMA ALIVYOSEMA GADAFI!!
    LENGO LA GADAFI HALIKUWA KUKUMBUSHA PAST BALI ALIKUWA ANASISITIZA ISIJE KUTOKEA TENA YANI ILIKUWA NI PRECAUTION AMEONESHA UJINIAZI WAKE MAANA HATA KAMA OBAMA HATO MPAPONGEZI HADHARANI ROHO YAKE INAMSUTA KWANI GADAFI ATAKUWA AMEMSAIDIA HATA YEYE!!MAANA WAZUNGU WAMESHAANZA KWENDA NA SILAHA KWENYE MIKUTANO YAKE.
    HAKUNA LOLOTE NYINYI MNAOISHI HUKO AMERIKA HAMNA HAKI YOYOTE!!IKIWA KAMA MWAMERIKA MWEUSI ANANYANYASIKA ITAKUWA NYINYI MSIO NA KWENU?
    KWANZA KILA SIKU WANAONYESHA KTK TV ZAO NAMNA WANAVYOWAPIGA VITA WAHAMIAJI NA KUWANYANYASA YANI MTABAKI KUWA IMIGRANT TU HAMNA HAKI ZOZOTE YANI KITAKACHO WASAIDIA NI KUUZA UNGA ILI MPATE AFUENI YA MAISHA.(DUNIA IMEKUWA KIJIJI JAMANI MSIJARIBU KUDANGANYA WATU MKAZANI HAWAJUI KITU.

    GADAFI HAKUZUIWA KUKAA HOTELI BALI ALITAKA TU KUONESHA JEURI KWA KUTENGENEZA IMAGE DUNIANI!!LAZIMA MFATILIE MAMBO JAMANI MAANA VITUO VYOTE VYA TELEVISION VIKUBWA VILIKUWA VIONAONYESHA LIVE MSISAHAU KWAMBA DUNIA IMEKUWA KIJIJI(GLOBALISATION)

    ReplyDelete
  60. SIJASOMA PUMBA ZOTE, LAKINI GADAFFI NA RAIS WA IRAN WALIONGEA PUMBA TUPU, PIA GADAFFI HAKUNYIMWA MAHALA PA KULALA HIYO SI KWELI, KILICHOTOKEA NI KWAMBA GADAFFI HUWA HAPENDI KULALA NDANI YA MAHOTELI MARA NYINGI SEHEMU NYINGI AENDEZO HUENDA NA TENT/MATURUBAI YAKE ANAPENDA KULALA NJE NA KWENYE MATURUBAI YAKE KWA SABABU MBILI MOJA - NI KWA AJILI YA USALAMA WAKE, MBILI ANASEMA ANADUMISHA UTAMADUNI WA LIBYA WA KULALA KWENYE TENTS/MATURUBAI, ALSO GADAFFI IS MORE IN LOVE WITH AFRICANISM RATHER THAN ISLAM, NI DIKITETA KATAWALA FOR 40 YEARS NOW HOW ON EARTH MTU UTAWALA KIASI HICHO NA SASA ANAMTAYARISHA TAIRA WAKE, MTOTO WAKE AMBAYE HANA WADHIFA WOWOTE SERIKALINI LAKINI ANAFANYA SHUGHULI NYINGI ZA SERIKALI NA ANA SAY KULIKO HATA MAWAZIRI WOTE. NI UPUUZI MTUPU NA PUMBA ZA KITAIRA

    ReplyDelete
  61. Nchi nyingi ukiangalia zilizoendelea kwanza zilitoka katika Udikteta na vita. Na viongozi wa Tanzania wasipoangalia wataipeleka hii nchi katika vita vya wenyewe kwa wenyewe sababu ya corruption imezidi mno. Mitaa hamna Dar watu wanajijengea hovyo. Mfano Mtoni kwa Azizi Ali kuna sehemu hazipitiki hata kwa gari ambulance. Siku moja watu watachoka na kuanzisha system ya udikteta ili mmambo yafanyike. Angalia Saudi Arabia watu wamenyoka ukifanya upumbavu tu unakatwa kichwa au mkono. Marekani kwenyewe hata ukiwa tajiri namna gani ukifanya kosa tu unaenda jela hamna cha msalie mtume. Na udikteta wa gadaffi kwa namna nyingine umeleta maendeleo kwa watu wake. Sheria mkononi!

    ReplyDelete
  62. BIG UP GADAFI UNASTAHIRI KUITWA HERO!!VIONGOZI WETU WA NCHI MASKINI WALIENDA KUTALII NA KUABUDU TU!!HUZIFURAHIA SAFARI ZA NJE YA NCHI SAAANA.

    GADAFI KAONESHA A REAL MAN HOW SURPOSE TO BE!!GADAFI NI MWANAUME KAIFANYA AFRICA KWA MARA YA KWANZA INGURUME INGAWA WAZUNGU HAWAPENDI.

    KWANZA TUJUE SIFA KUU ZA GADAFI MOJAWAPO NI MISIMAMO NA MAWAZO MAZURI!!NI MTU WA KUPENDA MAENDELEO NA NDIO MAANA WAZUNGU WANAMCHUKIA.

    JAMANI HATA TANZANIA KUNA UDIKTETA MAANA CCM IMEKAA MADARAKANI TOKEA UHURU.
    NYERERE KATAWALA NCHI MPAKA ILIPOMSHINDA BAADA YA KUDANDIA VITA KADHAA KWA MBELE BAADAE AKATUAMBIA NANG'ATUKA NA KUTUACHIA NCHI YENYE NJAA MASKINI HELA ZETU ZOTE KATUMIA KUJIJENGEA JINA!!MPAKA ALIPOFARIKI BADO ALIKUWA ANATUCHAGULIA VIONGOZI JE HUU SIO UDIKTETA?

    ReplyDelete
  63. HEKO GADDAFI HOTUBA INALEWEKA NA IMEFIKISHA SALAMU KWA WAKOROFI ILI WAJIREKEBISHE.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...