
Mama Shadya Karume akikaribishwa hoteli ya Bwawani na Mkuu wa Vodacom Foundation Mwamvita Makamba (mwenye baibui) na afisa Habari wake Mwami kwenye iftar maalumu kwa watoto Zenji wikiendi hii

vijana toka kile pembe ya Unguja walihudhuria

Mgeni rasmi Mama Shadya Karume akihutubia kabla ya futari ambapo aliwasifu sana Vodacom kwa juhudi zake za kusaidia jamii katika nyanja mbalimbali

Mkuu wa Vodacom Foundation Mwamvita Makamba akiongea

Mama Shadya Karume akioneshwa baadhi ya misaada kwa ajili ya vijana wa Zenji iliyoletwa na Vodacom Foundation wakati wa futari hiyo

Mama Shadya akikabidhi misada hiyo kwa wahusika

Si vyakula tu hata vifaa vya skuli vilikabidhiwa

baadaye Mama Shadya Karume alijumuika katika futari hiyo

vijana wakijipatia futari

wasichana wakifuturu

Uji lazima uanze kwanza...

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo wa Zanzibar Mh. Mahmoud Thabit Kombo akifutari na maofisa wa Vodacom kwenye iftar hiyo. Picha zote na Othman Mapara
Kaka nanihii!
ReplyDeletesalam. pamoja na kwamba huu ni mwezi mtukufu lakini sasa hii vodacom foundation inakuwa zaidi sasa. tupe mambo ya uchumi sasa. nasikia huko mwanza bei ya mafuta ni sh 1700/=. "Futari" baadae sasa!
Anon wa kwanza nenda darasani kasome maana ya mdhamini, hutarudia kuandika hivyo tena
ReplyDeleteBro acha kuharibu majina ya watu,anaitwa Mwanamvua Mlangwa,sio Mwami,Mwami ndio nini?au uzungu? Bana tuu comment ila ujifunze siku nyingine
ReplyDeleteMWAMVITA NA TABIA YAKE YA KUTOJIBU E-MAIL UNLESS UNA SURNAME ZA AKINA MWINYI NA MKAPA AU KIKWETE
ReplyDeleteKAMA HAWEZI KUJIBU E-MAIL SI ANGEOUTSOURCE HIYO SHUGHULI KWA WAPAMBE WAKE WAMJIBIE AU NDIO MBWEMBWE ZA VODACOM
ASHANCHEFUA TAYARI NA SIE WENGINE TUKO VERY SENSITIVE TUNAHISI KAMA VILE TUNAKUWA IGNORED KWA SABABU SI WATOTO WA WAKUBWA
JINA LAKE HALISI NI MWAMVUA MLANGWA, TOKA TEMEKE
ReplyDeletehivi kwenye mikusanyiko kama hii inaruhusiwa wanawake na wanaume kukaa pamoja?
ReplyDeleteDuh MashalAh bi Mwamvua anapendeza jamani...tulisomaga wote pale Chang'ombe enzi za mwl Msaki na Matemu. With that baibui, and that compassionate heart...Im done!. I'm like whaaat!! she's soo fine. Is she married yet?? if not I'm coming to get you girl! LOL
ReplyDeleteF it
ReplyDeletei have a confession
I have a HUGE crush on MWAMVITA
i cant hold myself anylonger
daymn!
mwamvua ameshaolewa na mzungu
ReplyDeletendio maana navoid kusoma hii blog maana najua kila baada ya siku mbili mwamvita huyoooo na mimi niko kwenye swaum sasa strategy yangu ni usiku tuuu baada ya kufturu ndio naisoma otherwise mchana kutakuwa hakuna funga kabisaaa
ReplyDeleteal muhhim, mimi nilikuwa naomba nipate e-mail yake who knows labda aweza nijibu mie huyu mtoto wa Kisambaaa...hivi wasambaa wanajua kupiga maana sie wengine wabovu wabovu kwa home cooked food
hiyo kuolewa na mdhungu wala haintishi, inawezekana zungu lenyewe likawa gala hivyo sie tutakuwa kuna stand by just incase
mwamvita e-mail yangu ni hii:
magomeni@gmail.com
tuwasiliane bibie