JK akigawa zawadi kwa waliohudhuria iftar ikulu leo
Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam Sheikh Salum (koti jeusi) Uhad akiwa na Maulid Kitenge (pili kulia) Risasi Mwaulanga (shoto) na Ridhiwan Kikwete mara baada ya iftari iliyoandaliwa leo ikulu jijini dar.

Toka shoto ni Mjumbe wa NEC mkoa Ramadhan Madabida, Maulid Kitenga, Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa Dar Haji Sunday Manara na mdau baada ya iftari hiyo leo.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Haji naona umechana kinoma duh! Kweli Siasa bongo ni mwajiri mkuu. Vipi Sakina yupo wapi siku hizi?

    ReplyDelete
  2. Haji hiyo kofia mbona umeivaa upande, au ushakuwa mukaka manake watu pwani hamkawii!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...