keki maalumu ya kuadhimisha miaka 40 ya ndoa ya Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba na Mama Evelyn Warioba iliyoafanyika jioni hii nyumbani kwao ostabei jijini Dar. Jaji Warioba na mkewe wamejaaliwa watotot watano, wanaume watatu na wasichana wawili na wana wajukuu saba
Jaji Wariona na mai waifu wake Mama Evelyn Warioba wakikata keki huku wakiwa wamezungukwa na waliokuwa wapambe kwenye kumeremeta kwao miaka 40 ilopita.
Baba amlisha mama
Mama amlisha baba
Picha ya pamoja ya waliohudhuria sherehe hii ya kifamilia





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 19 mpaka sasa

  1. Ongera sasa mzee wetu mpinga ufisadi, Mungu akuzidishie maisha mema, marefu na yenye raha ndani ya ndoa

    ReplyDelete
  2. Oyaa Makanga, msalimie mama naona bado yuko vile vile safi sana,i will see you when i come to Dar.
    dgambo-former bahari beach resident

    ReplyDelete
  3. congrats uncle and auntie from PVM(USA)

    ReplyDelete
  4. Mheshimiwa,
    rekebisha ilo kosa la wakioba,noma...najua umeteleza.

    ReplyDelete
  5. Nawatakia heri kwa kutimiza miaka40 ya ndoa ni mingi sana,Mungu awazidishie,
    Jina ni Joseph Sinde Warioba na sio lilivyoandikwa,
    -Pia mh. bila ubisha anaonyesha kuwa sio Fisadi,maana katika picha hakuna sura ya kifisadi kabisa,wote wanaonekana ni watu wa kawaida sana, Big up J.Sinde Warioba.
    mdau wa Lusungo Ipinda Kyela.-Mbeya.

    ReplyDelete
  6. Nilikuwa nasikia ukiolewa Musoma lazima upigwe mpk jicho linyofoke, hapa nimemuangalia sana mama Warioba kwa miaka 40 yote hiyo hajapata chongo ina maana alikuwa. HONGERA SANA MAMA KWA MIAKA 40 YA NDOA.

    ReplyDelete
  7. michu swaumu kali? ni warioba sio wakioba

    ReplyDelete
  8. michu michu michuzi tafadhali hebu rudia tena kichwa cha habari hapo juu na usahihishe spelling za bwana wetu mheshimiwa sawa..ramadham kareem take care

    kutoka kwa muosha kinywa New york

    ReplyDelete
  9. Hebu mjaribu kutazama spelling mnapoandika kitu!tazama mlivyoandika jina la Warioba?

    ReplyDelete
  10. HONGERA KWA KUTUONYESHA MFANO, LAKINI SISI WANAUME WA SIKU HIZI HATUTULII KAMA PANYA BADALA YAKE TUNAKIMBIZANA USIKU NA MCHANA KUTAFUTA MASHIMO TUJIFICHE.

    ReplyDelete
  11. Mzee warioba wala hana makuu kasherehe kake na familia aaaah poa kabisa, angalia sasa sherehe za viongozi wetu wa sasa yaani za kifahari kweli tofauti kabisa na hali ya mtanzania wa manzese. lakini hii ya warioba inafanana kabisa na hali za watanzania wakawaida unaweza kabisa kufikiria huyu labda ni jamaa wa manzese kumbe ni mtu ambaye alishawahi kuwa jaji na vile vile waziri mkuu...... very simple.

    ReplyDelete
  12. Mwenyezi Mungu awajalie na awazidishie yalioyo kheri katika maisha yenu, Mama naona yupo bomba kabisa.

    ReplyDelete
  13. HONGERA SANA MZEE WARIOBA, NI MFANO WA KUIGWA KWETU SISI WATU WA MUSOMA TUNAOSEMEKANA KWAMBA BILA KUPIGWA NA MUME NO LOVE. LAKINI HAYO NI MAMBO YA ZAMANI KWA SASA HAYAPO. PONGEZI NYINGINE ZIMFIKIE BOSS WANGU WA ZAMANI, BALOZI MSTAAFU OPANGA KAMA SIKOSEI NDO ALIKUWA MSIMAMIZI WA NDOA YA MHE. WARIOBA.

    Mdau - Beijing

    ReplyDelete
  14. Nampongeza saana Jaji Sinde na First lady wake................Kaka Michu waona hiyo keki unalishwa kwanza na first lady au first ladies sio na kadamnasi na mwenye haki anafichwa...Ujima kaka huo.
    Na hizi holidays kila siku peke yako je wewe vipiiiiiiiiiiiiiiiiii
    Mzawa

    ReplyDelete
  15. Hongera Mzee Warioba, Gotta Irie nakuona na mamaa, mfano mzuri huo, swali kwa Mzee How did they make it work all these years?

    ReplyDelete
  16. hongera mheshimiwa waziri mkuu mstafu jaji joseph sinde warioba kwa kutimiza miaka 40 ya ndoa,wewe unakaribia mzee wangu pia ambaye ametimiza miaka 47 ya ndoa!
    jamani nina swali la kizushi,hivi inatokeaje kwamba viongozi wote waliopo na waliowahi kuwa madarakani karibia wote wameoa uchagani?kuna siri gani ya watoto wa kichaga?hebu nipeni wadau!hehehehe! kwa sababu sio kwamba ni vipusa sana,hiyo haitoshi maana sio wote vipusa!! lazima kuna ujanja fulani wanao zaidi,tuelezane jamani!

    ReplyDelete
  17. Flavia MwombelaSeptember 07, 2009

    Congratulations auntie and uncle...may God continue to bless your union and your family!

    ReplyDelete
  18. Way to go hongereni na mzidi kupendana

    ReplyDelete
  19. Joseph na Evelyn...HONGERA!

    Nawaona O na Vero pamoja na D (Twin)!

    Salamu kutoka kwa Mtu ni Afya...siku hizi Born Again Pagan!

    (CHEKENI)!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...