Mara tu baada ya shughuli ya kumuaga rasmi kwa kutumikia idara ya mahakama kwa miaka 35, Jaji Mstaafu Mh. Stella Longway aliongea na wanahabari juu ya haya na yale
Home
Unlabelled
Jaji Stell Longway aongea baada ya kustaafu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
mama Longway, kwanza nakupongeza kwa mchango wako katika mambo ya judiciary bongo. katika mchongo wako bado kuna doa ambalo linahitaji maelezo ya kina, hasa kesi za uhujumu uchumi na jinsi zilivyoendeshwa kipindi cha Mwalimu Nyerere. Wengi wenu kama mahakimu au majaji mliongozwa na woga na kushidwa kulina muhimili wa sheria. Haki ya mtuhumiwa ni kuona sheria inafuata mkondo wake bila ya kuingiliwa na serikali lakini hilo halikuwepo katika utendaji wenu wa kazi. Nadhani wakati huu ukiwa unajiaandaa na maisha ya kustaafu ni vyema ukilielezea hili jambo kwa kina kwani haya ni baadhi ya mapungufu ya mahakama zetu kwani hayajaanza leo au jana.
ReplyDeleteMama Stella,
ReplyDeleteNijuavyo mimi kuhusu jina lako kuwa uliamua kulibadili kidogo ili lionekane la kizungu kutoka " LONGWE" na kuwa "Longway". Hongera sana