Malkia wa mipasho Khadija Omar Kopa ametua Houston, Texas, tayari kwa shoo yake ya kwanza ughaibuni kesho jumamosi Septemba 26 katika ukumbi wa Safari Club jijini Houston. Habari ndiyo hiyo...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Hii imeshakuwa mtindo, Wanamuziki wote wanataka kuja kula dola mtoni, bongo njaa kali? buku tatu kiingilio=$2, njooni msafishe macho!msing'ang'anie huku kama ali kiba alivyokuwa analia kurudi home

    ReplyDelete
  2. raji boy, ndani ya down town houston....sema mkubwa inno ...nitaimisi show hiyo..ukumbi wangu huo...jagajaga

    ReplyDelete
  3. Hivi mijitu mingine kazi yao ni kuwa negative about everything? Mbona JZ, Beoncy, the late michael jackson walipokuja bongo hamkusema kitu??? Karibu mama Khadija kopa, i hope utafika Washington DC! Please let us know tutakuja kukusuport. Waache hawa waoshavinywa wasio na mbele wala nyuma ndiyo maana mungu kawanyima vipaji vyote wajuawao wao ni lugha chafu na watu kama hawa midomo yao hunuka kama maneno wanayoyasema. Waacheni wenye pesa zao watembee dunia hii tambarare kama huna kaa kimya na siyo kuchafua huu mtandao. Wanamuziki wote hutembelea nchi zingine na kuonyesha kipaji walichonacho na kumbuka there main goal is to entertain na kuonyesha utamaduni wao kwa watu wengine au kiswahili ni kuburudisha na Artists! Huku nje watu wengine hawana utamaduni na wanapoona vitu kama hivyi they really appreciate it. Njoo mama tunengue sisi tumekumiss sana.
    Mdau wa MARYLAND!

    ReplyDelete
  4. inamaana wanamziki wa kwetu wanafaata wateja wa box kwani hawajuwi lisesheni?
    haya tena bi hadija do huyo fanyeni kweli mkamuone asije akarudi bongo kabla hajarudisha nauri yake la sivyo anawaiba huyo kama hamumujuwi

    ReplyDelete
  5. wewe bingwa wa mabox unajifanya umeukata sana huko na mabox yako eee? njoo uone maisha anayoishi Kopa ufananishe na yako shenzi wewe, ndo nyie mkija huku mnaona aibu kuangalia watu kwa jinsi walivyo waacha nyuma kimaendeleo, shenzi kabisa wewe 25 05.07 nyoko zako.mdau Dar.

    ReplyDelete
  6. VISA ZAO NI UNDER CULTURAL EXCHANGE SO VERY SIMPLY TO GET ONE, NO FUZZ ABOUT THAT

    ReplyDelete
  7. SO KAMA VISA RAIS KUPATA SO WHAT?nyie hiyo marekani meifanya nchi yenu sio na kopa hastaili kufika huko?hata uishi miaka 100 huko your still ana african from tanzania hata uoe au uolewe na mzungu wewe ni mtanzania tu mweusi tii,kujifanyafanya tu,kwa taarifa yako wabongo wanakuja kutembea tu siku hizi sio kuzamia kama wewe bwege unaeukana na uraia wako kisa uzungu,hivi hujui kama wazungu nao ni washamba na wanatamani kuja kufanya ziara nchi za kiafrica? tuulize tukueleze sio kumuonea wivu ali kiba au khadija kopa

    ReplyDelete
  8. JAMAA ANA HASIRA HUYO KWANI NANI KAMUONEA WIVU MTU HAPA,MTU YEYOTE ANAWEZA KWENDA MAHALA POPOTE DUNIANI ILIMRADI AFUATE MASHARTI YA NCHI HUSIKA, HAKUNA MTU ANAZUWILIWA KWENDA POPOTE KAMA UNA SABABU YA KWENDA NA UWEZO UNAO, MBONA JAMANI HAMELEWI HAKUNA MTU ANAMZUWIA MTU KWENDA POPOTE DUNIANI NA WALA HAKUNA MTU ANAMUONEA WIVU MTU YOYOTE KUFANYA LOLOTE ALITAKALO, AMA HIZO NDO ZENU WATANZANIA WENZETU? KUSEMA VISA ZA WANAMUZIKI ZINAANGUKIA CATEGORY GANI SI WIVU, KINACHOTAKIWA NI KUWA MKWELI TU KAMA WEWE NI MWANAMUZIKI KWELI NA UNAJULIKANA HAPO TANZANIA NA UNAMWALIKO U.S.A. NA PESA UNAZO, MAHALI PA KUFIKIA PAPO, UNA TIKETI YA NDEGE RETURN, UNA PASSPORT, A RESPECTABLE MEMBER OF THE PUBLIC HAKUNA ATAKAYE KUNYIMA VISA, HATA WALE WANAOENDA KUTALII, KAMA NI MTU UNA KAZI YAKO, AU BIASHARA YAKO NA UWEZO WA PESA UPO UNAWEZA KWENDA HOLIDAY U.S.A. HUU NI WAKATI WA UWAZI NA UKWELI HAYA YOTE UNAWEZA KUYAPATA UBALOZINI UKIENDA KUULIZIA WALA SI KITU CHA AJABU KWENDA AMERIKA AU ULAYA. SO NO BODY IS JEALOUS ABOUT ANYTHING, THAT WAS YOUR AN ILL INFORMED INTERPRETATION, BAD MOOD, MALEVOLENT, HOSTILE, JEELING, AND SOCIAL IMPROPER. YOU KNOW WHAT SOMETIMES SOME PEOPLE ARE PRETTY VERY MUCH INTELEGENT AND WELL READ BUT NOT EDUCATED THAT IS WHY THEY KEEP SPITTING VENOM WITH THEIR OBNOXIOUS FEELING. WACHA USHAMBA TULIZA MZUKA HUO.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...