Mh Balozi Kigoma kuko bomba Mh Balozi wa nanii.
Cheki picha za beautiful Lake Tanganyika Hotel.

machweo
lake tanganyika




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. Wadau kwa ufupi ni kwamba Lake Tanganyika is the deepest lake in the world.(Ni ziwa lenye kina kirefu kuliko yote ulimwenguni)Tanzania tuna vitu vingi sana ni muda wa kuvitangaza..i realy felt bad nilikua naangalia big brother last week yule mkenya mwenye rasta alietoka (Teddy)akaulizwa Mt.Kilimanjaro ipo wapi???akajibu ipo mpakani mwa kenya na Tanzania...Yani niliumia hadi basi...kwa nini hawa wakenya wanazidi kutufanya wajinga???lets wake up Tanzania and fight for what is ours.hawa wenzetu wamezoea kuzozana kwa vitu vidogo dogo...angalia juzi juzi walikua wanagombania 1 acre island na Uganda...tukiungana nao si tutakoma???

    ReplyDelete
  2. Naambiwa na wadau waliokwisha tembelea mikoa mingi kuwa , ukiondoa Dar, arusha na Zanzibar kule ufwekeni hakuna mkoa mwingine wenye hoteli bomba kama hiyo.

    ReplyDelete
  3. Wizara ya miundo mbinu iharakishe hiyo trunk Road ya TABORA KIGOMA tHEN mwanza kigoma. Kuna potential sana katika mkoa huo basi tuu.

    ReplyDelete
  4. Hapo kwetu!!! ah,,mdau umenikumbusha nyumbani kabisaa,Sijui nakakate visa?Aisee ipo siku nitakua hapo ziwani tena.Ukweli wenyewe hakuna dagaa tamu duniani kote kama za hapo ndani ya Tanganyika,,.mgebuka pengine hupati mtamu kama wa humo yah,,Tanzania tunavyakujivunia kabisaa.

    ReplyDelete
  5. Unajua mkoa wa Kigoma ungekuwa uko chini ya utawala kama vile wa Rwanda mngeushangaa baada ya miaka mitano tuu, kama vile Zanzibar wanavyoishangaa Muscat Oman, kwani ubora wote ule umetokana na uongozi na utajiri wa zanzibar enzi za sultan Sayyed.

    ReplyDelete
  6. Wapi hapa Sunset Beach USA? eti wabeba Box ndio mnajuwa......

    ReplyDelete
  7. DUH!Bongo kweli tamabarare basi tuu. Mandhari ya Kigoma safi hivyo kumbe?!!. Baada ya kubeba sana mabox huku ulaya , December lazima nikapumzike na kimwana mmmoja kwenye hayo mandhari ya Lake Tanganyika

    ReplyDelete
  8. Mdau wa kwanza ndio mlima kilimanjaro upo chini Tanzania na ni haki vile vile kusema upo katikati ya nchi za Tanzania na kenya. Jiographia Darasa la tatu. Wakenya wanautumia GEOGRAPHICAL ADVANTAGE kiutalii.

    ReplyDelete
  9. Kabla hamjakurupuka na kuwalaumu majirani wa Tz mjiulize ziwa victoria,ziwa Tanganyika,ziwa nyasa mto ruvuma vipo wapi?
    Wengine mtasema hata bahari ya hindi ni ya Tanzania.

    ReplyDelete
  10. HEE!! HIVI KUMBE MKOA WA KIGOMA NI SEHEMU YA TANZANIA? NILIDHANI NI NO MAN'S LAND. UTADHANI NDIO KWANZA DEC.1961. POLENI SANA WAKINA KARUMANZIRA.

    ReplyDelete
  11. Wee mbigiri kichwa chako kimejaa mbigiri tu

    ReplyDelete
  12. Taswira nzuri sana. Umenikumbusha mbali...usafiri wa gogo enzi hizo likikatiza huku linapiga kelele LWICHE! LWICHE! LWICHE! katika maeneo ya Kazuramimba.

    ReplyDelete
  13. Labda akili yangu imejaa mbigiri.Lakini ukweli ni kuwa muwe mnaangalia/kusoma Ramani ya Tanzania na kuelewa mipaka ya nchi yenu kabla hamjakurupuka na midomo iliyojaa cavities.

    ReplyDelete
  14. Du! umenikumbusha mbaali kweli mkuu, mahali hapo zamani palikuwa pakijulikana kama RAILWAY HOTEL a.k.a SOWETO yaani wajanja wote wa mjini ulikuwa unawakuta hapo miaka hiyo kulikuwa na disco kali sana enzi hizo kila weekend, baadaye ikabadilishwa jina chini ya uongozi mpya pakawa panaitwa LAKE TANGANYIKA HOTEL wakati huo najengo yalikuwa yale yale ya zamani sasa ikauzwa kwa mtu binafsi aka imwaga chini yote na kupandisha hayo majengo mapya mnayo yaona sasa, Margaret Mzindakaya upoo hapo??????

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...