

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Inalilahi- Wainalilahi Rajiuni.
ReplyDeleteYani kama ndoto vile....it is so sad.
Mwenyezi Mungu mwema ailaze roho ya Marehemu mahala pema na patulivu peponi.
RIP Meddy.
Jamani wale watoto wameachwa yatima?? Mpaka mchozi umenitoka. Huyu si ndiye aliyekuwa mume wa Amina Chifupa? Tunawaombea familia Allaha awape tahfifu katika wakati huu mgumu wa kifiwa na ndugu yetu. Duuuh this is bad news
ReplyDeleteSimanzi inakuwa kubwa mno inapofikia wazazi wanatangulia kwa mola na kuacha mtoto duniani.... Allah Akbar... Rest in Peace brother (dRU)
ReplyDeleteKwa kweli inasikitisha. Nawaonea huruma watoto walioachwa yatima. Mola ailaze roho yake mahala pema peponi. AMIN.
ReplyDeleteAISEE MICHU HUYO BWANA BISHANGA ALINIKERA SANA KUACHANA NA FANI YA MAIGIZO MM NAAMINI THE GUY WAS BIG TALENT..YAANI ANAJUA HABAHATISHI.TUNDIKA HABARI ZAKE HAPA TUNAHITAJI VICHWA KAMA HIVI KUVIRUDISHA KWENYE "GAME" KAMA KWELI TUMEDHAMIRIA KULISONGESHA HOLLYWOODAA TUKAPAMBANE NA KINA KATT WILLIAMS HUKO NA KINA CRISS ROCK.RUDI KUNDINI BISHANGA WA BASHAIGA KUTOKA NYUMBANI KANYIGWE,NYANGÒRO..TUSHACHOKA KUONA FANI IKIENDELEA KUVAMIWA NA WABAKAJI WA FANI,WASANII WAMEKUWA WANAJALI KUSIFIWA ZAIDI KULIKO KUTUBURUDISHA BWANA "THIS IS NOT FAIR"TUMEPOTEZA WASANII SASA TUMEBAKIWA NA "WAUZA SURA" NA "WAPENDA SIFA"TUSIPOWASIFIA WANATULILIA WATANZANIA WENZAO HATUWAPENDI.:USHAURI.."WASANII LAZIMA MTAMBUE KUWA NYIE KAZI YENU SIO SIE TUWAPENDE BALI NYIE KAZI YENU NI KUTUBURUDISHA NA KUTUFURAHISHA SISI.KUWAPENDA NYIE NI BONUS TU SI LAZIMA.
ReplyDeletechoki,Amigolas na mzee wa mchikichini katapila matumbo hayo duu, mwezi wa toba huu walao muonyeshe mnajinyima!!!
ReplyDelete