MACHUPA NA KALI ONGALA KTIKA MPAMBANO ktk mechi ya ligi iliyochezwa hivi karibuni Kali timu ni GIF SUNDSVALL na Machupa VASALUNDS IF ambapo Gig Sundsvall ya Kali ilishinda kwa bao 2 kwa 0.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. VIPI MICHUZI!!!!!!!!!!sasa hii mechi imechezwa south africa au wapi?mbeba box yuko busy sana inabidi umtafunie ili akuelewe

    ReplyDelete
  2. Hivi wadau naomba kuuliza hawa jamaa kally na machupa wanacheza soka la kulipwa au? Na kama ni hivi mbona hawawi recognised kama wachezaji wa bongo wanaocheza soka la kulipwa ughaibuni? Na maximo je anawatupia macho?

    ReplyDelete
  3. Najua Kali ni raia wa UK. Kutokana na ufisadi kuwa ndio sera ya maendeleo Bongo, Sidhani kama itachukua muda mrefu hawa akina Machupa, Gabriel, Ngasa na wengine lukuki kuukana uraia wa fisadiland!!

    ReplyDelete
  4. Ninavyofahamu mie Kali yuko Sweden na yeye ni mzaliwa na kalelewa Bongo,lakini ni raia wa UK. Kuhusu Machupa sio CV yake.

    ReplyDelete
  5. UKWELI SOKA YA BONGO HAIWEZI KUKUA SABABU NI NYINGI SANA KUZIELEZEA MFANO KWANZA HAWA WACHEZAJI WANACHEZA KTK LIGI KUBWA KULE SWEDEN HIVYO WANAUZOEFU WA KUTOSHA KUIFANYA TFF PAMOJA NA MAXIMO KUWATUPIA MACHO KWA KARIBU PIA HAWA NI CHANGAMOTO KWA WACHEZAJI WENGINE KUPATA KUJITUMA KUWAFIKIA WAO SINA MAANA WALIOPO NYUMBANI HAWAJUI ISIPOKUWA KUNA MAWAZO UTALAAMU NK,KWANI HAO WAKINA KALI NA MACHUPA NA WENGINEO WANAOCHEZA ULAYA WAMEPATA UZOEFU MKUBWA KIMATAIFA NA NDIO MAANA WAKAPATA NAFASI KUCHEZA ULAYA KWA HIYO HAKUNA UBABAISHAJI.NIJUAVYO MIMI SWEDEN IKO JUU KIMPIRA IMEFUZU KARIRIBU KILA MASHINDANO INATOA WACHEZAJI WAZURI TU DUNIANI HIYO TU INADHIHIRISHA KIASI GANI HAO WACHEZAJI WETU WALIVYO NA UWEZO. NCHI ZZINGINE ZINATOA MPAKA URAI KWA KWA WATU WENYE VIPAJI KUTETEA TAIFA AMBALO SIO LAO. LAKINI NI SISI TU WATANZANIA TUNASHINDWA HATA KUTUMIA HAO WACHACHE TULIONAO KWA VISINGIZIO VYA KIASIASA UBABISHAJI WA VIONGOZI N.K.USIO NA KICHWA WALA MIGUU. SASA HIVI MAXIMO ANA KAMA MIAKA SITA KAMA SIKOSEI BADO TUPO VILE VILE MPAKA TUKISHITUKA MIAKA ITAKUWA INAMEKATA NA HADITHI YA BABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE YA KUWA SISI NI KICHWA CHA KUJIFUNDISHIA KUNYOA INAENDELEA AMKENI DUNIANI HAPA WAKATI WA UBABAISHAJI UMEKWISHA WAITENI HAO NA WATETEE TAIFA

    ReplyDelete
  6. NDUGU YANGU HAO NI WABONGO NA WANAJULIKANA HIVYO LAKINI KALI ANA PASI YA UK LAKINI HAIMZUII KUCHEZA TAIFA STARS NA ALIISHA ITWA ZIKAINGIZWA SIASA NA MAMBO KIBAO. UARABUNI WANANUA WATU WENYE VIPAJI KAMA WANARIADHA N.K, SISI VIPAJI TUNAVYO LAKINI TUNAVITUPA KAMA HIVI.TFF HAINA HATA HABARI NAO WALA HATA SIDHANI WANAJUA WANACHEZA VILABU GANI NI AIBU SANAA

    ReplyDelete
  7. MIMI NADHANI WAKATI UMEFIKA KWA TELEVISION ZA HAPA NYUMBANI KUTAFUTA MIKANDA YA MECHI ZA HAWA JAMAA TUWAONE. VIPINDI KAMA TAMASHA LA MICHEZO CHA ITV WANATAKIWA WABADILIKE WONYESHE VITU KAMA MECHI ZA HAWA JAMAA NA KUACHA MAMBO YA KUONYESHA MECHI ZA IPP NA CLOUDS VETERANI KAMA WANAVYOFANYA, HAZINA MAANA YEYOTE KWETU.

    ReplyDelete
  8. Kwa taarifa tu mdau hapo juu; Athumani Machupa alishajilipua siku nyingi sasa ana uraia wa Sweden na jina lake anaitwa Mohamed Rajab. Na Kalimangonga Ongala yeye ni raia wa Uingereza, ambako ndiko alikozaliwa, mama yake ni raia wa huko na baba yake Dk. Remmy Ongala nadhan unamjua zaidi

    ReplyDelete
  9. Kali ana uraia wa UK. Aliambiwa ili achezee Taifa Stars inabidi aukane uraia wa UK ili aombe wa Tz. Hakutaka kujilipua. Habari ya Machupa ni tofauti, Maximo alimjaribu hakuridhika.
    Naunga mkono suala la kuonyesha mechi za wabongo wenzetu ughaibuni. ITV fanyieni kazi hii.

    ReplyDelete
  10. ANAYE SEMA MACHUPA KAJILIPUA MBONA UNARUSHA SANA? ANGALIA KTK MAJINA YA WACHEZAJI WA VASALUNDS IF WANA SITE YAO wwww.vasalundsif.se angalia majina ya wachezaji wa timu hiyo na uraia wao msimu huu utaona jina la MOHAMMED RAJABU NA IMEANDIKWA KABISA RAIA WA TANZANIA NA BENDERA YETU IPO PALE SASA KAJILIPUA MTU WA WAPI? MUWE MNASOMA HIZO SITE MTAPATA HABARI NYINGI WEWE MTU AKIKWAMBIA ANACHEZA ULAYA BASI HIZO TIMU ZINA SITE ULAYA SIO BONGO AMBAKO TIMU HAZINA SITE NA HATA KAMA ZINA SITE BASI HATA KUZI UPDATE KASHESHE HADITHI INAWEZA IKAWA YA MWAKA JANA, CHUNGULIENI KABLA YA KUTOA UTUMBO. HUYO MAXIMO HAKURIDHIKA NA MACHUPA MBONA HUKO SWEDEN KAKUBALIKA TUSEME SWEDEN MAKOCHA WABOVU AU HAWANA MACHO? MAXIMO NDIYE ANAYE JUA UKOCHA?, HATA KALLI ONGALA PAMOJA YA KUWA NI RAIA WA UK PIA AMEANDIKWA NI RAIA WA TANZANIA

    ReplyDelete
  11. ulaya ukijilipua huchezi mpira hizo hadithi fundishaneni huko

    ReplyDelete
  12. tatizo huyu machupa timu anayochezea huwa inachezea kichapo kila mechi!!! mwishowe watamuona hana mpango. anatakiwa kupiga mabao ingawa teamwork inatakiwa

    ReplyDelete
  13. hatuna la kusema, mtake msitake hawa wako safi haijalishi timu inashuka daraja wanacheza mpira katika mazingira mazuri na pia wanauzoefu mkubwa sana kimataifa hiyo peke yake ni CV kubwa sana.hivyo tuache malumbano ambayo ndiyo yanachangia sana kuuwa soka la Bongo mbali na ubabaishaji. mtasema kila kitu lakini ukweli uko pale pale anacheza ulaya na kakubalika Je Watanzania ni vipi? hamjamuona Tuna kocha ambaye anaweza kwenda huko Sweden Kuwaangalia mbona nchi zingine zinafanya hivyo kwa nini sisi tushindwe kama tuna nia ya kweli kuendeleza soka ambalo naamini ndio njia kubwa sana ya kuitangaza Tanzania tunashi

    ReplyDelete
  14. nI KWELI MACHUPA KABADILI JINA NA URAIA, KWA UHAKIKA ZAIDI FUNGUA KIUNGANISHO HIKI http://www.soccerway.com/players/muhammed-rajad/77371/

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...