
Original Products ONLY!
From USA
Kwa Wanaume na Wanawake
Perfume, Deodorants, Aftershave, Vipodozi nk.
Pia tuna Age fighting Products.
Wasiliana na Rose: 0754270702
au
0784521171
Tutembelee Sinza Mapambano au Mikocheni.
LOCATION
#1: Shekilango Rd; SINZA MAPAMBANO "MADUKA YA BLUE", ubavuni mwa LILY'S BAR na tunatazamana na
ukumbi mdogo wa UTOJI LOCATION
#2: MIKOCHENI KARIBU NA KWA MWALIMU- JUED BUSINESS CENTER
Direction:
Kutokea Rose Garden,
Kutokea Rose Garden,
ukifika TALK of the TOWN jengo linalofuata
linaloangaliana na Saleeka Apartments.
Pembeni ya ARISE BEAUTY SUPPLY kuna ATM ya CRDB.
Ukienda mbele kidogo unafika kwa Msasani Mwalimu.
Pembeni ya ARISE BEAUTY SUPPLY kuna ATM ya CRDB.
Ukienda mbele kidogo unafika kwa Msasani Mwalimu.
ama
wabongo bwana kila cha marekani au ulaya ndo wanakiona bora nishai sana mimi niko huku lakin watu huku wanaogopa kutumia michubuo ya kemikali eeeeh!! mtawapa watu pesa zetu bure na kuwatajirisha,piga liwa,safisha makwapa yako kwa ndimu na majivu poa wenzenu wanatafuta hivi vitu vya natural nyinyi leo mnawakumbatia hawa wajanja ohoo shauri yenu..
ReplyDeletemama aries sina ubaya na wewe fanya vitu vyako ila maneno yangu waosha vinywa wenzangu tafakarini
mdau wa new york
Nahitaji full set ya perfum, shaving cream na after shave za kiume, Mama arise umetuletea kutoka amerika
ReplyDeleteMithupu umeanza mambo ya konozzzz tena ulikuwa umepumzika kwa muda naona sasa umeaanza tena inabidi utuletee picha ya mama nahii ukiwa umempiga konozzzz za nguvu hapo ndo tutaridhika!
ReplyDeleteBig up mzee wa libeneke, hapo mmetoka chicha kinoma na maiwaifu wa wenyewe, Bw. Issa unapendezea sana ukipiga picha na vitu vyeupe, lakini angalia bwana tupo kwenye Ramadhani. Sasa imefika wakati watu wa nje waanze kufanya biashara ya technologia badala ya vipodozi. watu waje hapa watuambie tukitaka kutengeneza ndege tufanye hivi na vile, au tukitaka kutengeneza gari tufanye hivi na vile, silaha sawa lakini tutawachonganisha nani ili tuuze? Nafikiri imefika wakati sasa tuache kutengeneza Taifa la warembo bali la watu ambao wataikomboa nchi yao kiuchumi. From Michael Laiser
ReplyDeleteNhichuzi leo ndio nimekuona vizuri. Kaka umri unakutupa nkono sana. Uzee huo kwa kasi ya ajabu. Mi china maneno mengi.
ReplyDeleteila watuandikie na bei ya bidhaa kwenye website yao pia.
ReplyDeleteArsenal oye
wanaume ni kama panya wanakimbia wanakimbia wakitatafuta mashimo wajifiche.
Age fighting products????? Why 'fight' with age?
ReplyDeleteBradha Miposi kweli umezeeka.Halafu unamkbatia huyo demu kama wako!!Mimi naona wivu sana sana.
ReplyDeleteCha maana akupe lotions anazouza huyo mama na mie nitamlipa!!
anon hapo juu: Wed Sep 09, 03:36:00 AM
ReplyDeletenakubaliana na wewe. Zamani kulikuwa na sabuni inaitwa "jaribu" ebwana eeeh. hii kitu ilikuwa inatoa fanta-pepsi za kutosha. Juu fanta chini pepsi nadhani unanielewa.
P.E.D
tutafurahi ukituwekea bei za bidhaa kwenye website
ReplyDelete