Mdau mmoja aliyefuga kucha kwa miaka 30 na kuvunja record ya dunia ya world Guiness book lakini majuzi kwenye car crash alipoteza kucha hizo. hebu zione kucha zake kabla ya kukatika.ipo kwenye link hapo chini.
http://www.youtube.com/watch?v=WM3hmXR7wFE
http://www.youtube.com/watch?v=WM3hmXR7wFE
mmh! uchafu mtupu, mtu utafugaje mikucha kama zimwi. loh
ReplyDelete