The Minister for Foreign Affairs and International Cooperation, Mr Bernard Membe, poses with the first and second winners of the SADC Essay Competition (secondary school category), Allen Kamnde, a student from St Franciscan Maua Seminary (right) and Mary Hingira from Machame Girls Secondary School in his office in Dar es Salaam. The two were awarded with certificates and cash prizes. (Photo by Assah Mwambene)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 27 mpaka sasa

  1. Kama watoto wake Membe mwenyewe! Naona wamefanana vile...

    ReplyDelete
  2. Well done guys, keep it up!!!

    ReplyDelete
  3. Machame Girls oyee...

    ReplyDelete
  4. jamani ni watoto wa KICHAGA hao wametutoa Watanzania kimasomaso.

    Wachaga kwa akili wewe wacha tu, ndiyo maana wamejaa TRA,BOT, UDSM, na ofisi nyingine nzuri nzuri

    ReplyDelete
  5. Just by their looks you can tell they are very brilliant students. Congratulations and you make your parents proud....

    And for the other who didn't win don't give up.

    ReplyDelete
  6. ...comment zozote zinazoashiria ukabila hata kama ni kwa sifa nzuri (au mbaya) la kabila hilo zisiwekwe kwenye blog ya wanajamii kwasababu watu wana hisia na mitazamo tofauti kwa kabila hili... lets be proud of being Tanzanians not just from being part of a certain tribe...

    ReplyDelete
  7. Machame girls juu zaidi! So proud kusoma shule hiyo ya secondary.

    ReplyDelete
  8. Wacheni ukabila nyie washamba. Akili anatoa Mungu sio binadamu. Kwa taarifa yenu, hawa watoto sio wachagga hata kidogo. Wanasoma huko Moshi tuu. Look at their sir names. Of course shule za moshi nyingi zipo standard

    ReplyDelete
  9. 84% ya uchumi wa bongo inategemea wachaga. UNABISHA?

    ReplyDelete
  10. MEMBE NAFIKIRI NDIYE RAIS AJAE MAANA JAMAA NAONA ANAUZIKA KABISA NA NIMEANGALIA SIASA ZA BONGO SIJAONA KABISA AMBAE ANAWEZA KUSHIKA USHUKANI BAADA YA JK MAANA UKIANGALIA BARAZA ZIMA LA JK NAONA JAMAA NDIO MWANADIPLOMASIA MZURI WAACHE MADOGO WAMPE BARAKA ZA KUINGIA IKULU

    ReplyDelete
  11. jamani wachaga kila sehemu wao ndio kimbelembele tu maana wizara ya fedha ndio walijichotea pesa na mpaka sasa wako mahakamani
    TRA wapo ndio maana kuna ufisadi mkubwa sana mpaka leo ukienda MLIMANI wapo wanaroo ngumu sana mapro wa pale
    ndio maana nyerere alisema ukitaka nchi ifirisike na turudi nyuma hatua 100 tumpe mchagga nchi hii

    ReplyDelete
  12. Hongera Mary..proud of you little sis..guys stop ukabila..Mary is Tanzanian..Mum(RIP) is Chagga and Dad is Nyiramba..

    ReplyDelete
  13. big up madogo,am personally impressed to see more tanzanians grab the awards.i was the first tanzanian to reach top 3 in 2003 and so it's a great pleasure to see more and more tanzanians do the same like now they are two.

    ReplyDelete
  14. safi sanaaaa ndo tunataka,sio mitoto midekooo akili kumtwe zero..

    Mwenyezi atujaalie tena uwakilishi za juu kama izi denti

    kitu cha kujivunia sana hongereni,asa binti songa mbele

    ReplyDelete
  15. Sibishi, kweli kabisa 84% ya uchumi wa TZ wategemea Wachaga. Si wavivu wako makini sana kusaka mahela ndio maana. Wenye kukataa wakatae lakini ukweli ndio huo.

    ReplyDelete
  16. Hakika shule za Moshi zimetulia. Si tuu kwa elimu ila pia nidhamu. Nazipa hongera, nawapa Walimu wa shule hizo hongera. Nawaombea wawe na wito huo huo.

    Nahisi serikali ingefanya mashindano ya taaluma nzuri/ubora wa shule kila mkoa basi nahisi ingeshika mkoa wa Kilimanjaro. KLM BIG UP>>>>>>>>>>>

    ReplyDelete
  17. Kuongelea mambo ya ukabila sio vizuri. Lakini haya mambo yanazunguzwa sana hapa Bongo.

    Nakumbuka kuna wakati kulikuwa na habari kwenye vyombo vya habari kuwa JK alienda Kigoma anakawambia wananchi wa kule wafanye bidii la sivyo Wachaga watakuchukua kila kitu. Na alikuwa na mshauri wake wa uchumi sijui Dr nani yule. Dr yeye kwa sababu anatoka huko Kigoma alibidi autubie wananchi kwa lugha ya kienyeji ili kuwahimiza wananchi wanafanye bidii katika shughuli za kijamii hasa elimu

    Ni vyema kama kabila fulani likitumika kama mfano wa kuigwa kwa mazuri yanayofanyika. But we need to be very careful here because these examples can be can interpreted, given meaning and responded wrongly by wananchi. As resuts, this can cause hatred and chaos in society.

    ReplyDelete
  18. kwa kweli watoto wanajua wanafanya nini shuleni, hawajaenda kuuza sura kabisaaa.

    ReplyDelete
  19. assah mwambene naona mfumo dume umekutawala. iweje uanze kumtambulisha wa upande wa kulia au mwenzetu mwarabu?

    ReplyDelete
  20. uwongo mbaya huyo demu ni mkali ile mbaya,ana sura nzuri sana

    ReplyDelete
  21. HAWAJAJAZANA KWENYE HIZO SEHEMU ULIZOZISEMA ATI KWA SABABU YA AKILI, NI KWA SABABU YA HISTORIA NA TRIBLISM AND NEPOTISM/UKABILA NA UNDUGU, USINIAMBIA KWAMBA MAKABILA MENGINE HAYANA AKILI!!! OMBA KAZI TRA HATA KAMA CV YAKO INA MAPEMBE KAMA MCHANGA MWINGINE KAOMBA NAFASI HIYO HUPEWI.

    ReplyDelete
  22. Pia wachaga ni wabaguzi kupita kiasi, hapa ninapoishi wao hata kwenye jumuhia za watanzania wamejiondoa (kwamadai wao ni bora) mpaka mhusika awe ni mchaga mwenzao ndio wanajitokeza

    Mdau
    U S A

    ReplyDelete
  23. Wachaga wapo kila mahali kwa wingi kwasababu walianza kuhangaika tangu zamani. ndiyo maana karibu kila sehemu hata ulaya na marekani wanaweza kuunda jumuiya yao ya wachaga.
    halafu Wachaga wanajituma katika kila shughuli wanayofanya ndiyo maana wanafanikiwa.
    karibu taasisi zote nyeti nchi hii zimewahi kuongozwa na Wachaga kwa sababu miaka yote wamezingatia elimu.

    ReplyDelete
  24. acha hizo ati ni wabaguzi kila mtu ana kiubaguzi chake kimtindo punguza jelazzzzzz hata wewe una ubaguzi na watu flaniflani majungu tuuuu
    mdau usa

    ReplyDelete
  25. Jamani watoto wa Membe hao hamuoni wamefanana? Ndio maana wana akili

    ReplyDelete
  26. Ngoja niwapeni siri.

    Siyo kwamba wachaga wana akili sana, hapana.

    Wachagga wanawivu sana wa maendeleo.

    Kama babazenu watakumbuka, mkoa ule ulivamiwa sana na wazungu (mashamba) Kibo Estate, LerongoFarm (Bwana John) Mwanza Farm, Molomo (Bwana Size Kififu Estate (bw. Senga) kuna Boloti, Kifaru, Namwai, TPC huko Kiboshi Marangu nk nk.

    Hawa jamaa, walipenda sana kuiga chanzo cha maendeleo ya wazungu.

    Kama anang'ombe naye alipenda ng'ombe wake afanane na wa yule mzungu.

    Nakumbuka kati ya wazungu (Makabaila) hawa alimshauri mzazi mmoja kama anaweza ampeleke mtoto wake Uingereza akasome 1966.

    Sasa msiseme tu wana akili ni pamoja na wivu mzuri wa mashindano ya kusomesha kujenga nk

    Uchawi kule hivi sasa umepungua sana kama siyo kwisha kabisa.

    Wadau, msiwe na chuki sana, jifunzeni kuiga yale yaliyo mazuri mtafanikiwa tu.

    Yupo bwana mmoja yeye ni mmeru, amelowea Kilimanjaro amesoma na kwa sasa anaishi kikazi Dar. Alipokuja nyumba akajenga nyumba ya vyumba viwili tu, wenzake aliyowaacha kule nyumbani (kijijini) wakajiuliza hivi huko Dar anakoishi ndiyo anakuja anajenga hili banda la kuku!!

    Tizameni hapa, huyu siyo mchaga ni(mmeru) lakini wachaga hawakumbagua wamemjumuisha kama mwezao walichoangalia ni maendeleo yake siyo ukabila.

    Yupo bw mmoja alikuwa na uwezo, mwanae mdogo alikuwa hana afya nzuri kwa sababu ya kuwa mvivu wa kula,mzazi wake alimnunulia baiskeli, alipotoka nayo tu, watoto wa majirani walimpiga makqwenzi na kuchzea baiskeli yake, aliyenyang'anywa akaanza kulia na kukimbilia ndani kumwambia mama yake.

    Mama yule alikuwa na akili sana, hakutoka nje na kwenda kuwafurusha watoto wa majirani zake, alimwita mwanae na kumwambia "....unaona sasa wanakupiga na kukunyang'anya baiskeli yako kwa sababu huna nguvu kama wao. Ukitaka kuwa na nguvu na uwashinde kula chakula ushibe..... utakuwa na nguvu na utaweza kupambana na hao wanao kunyang'anya baiskeli yako"

    Unafahamu hata mimi huwa najaribu kufikiria hili suala la ubaguzi wa kidini.

    Ukichunguza vizuri yapo mazingira ya dini ambayo yananyong'onyesha ELIMU DUNIa. na mazingira mengine YANAKOMAZA ELIMU dunia.

    Tusipende kumtafuta mchawi kabala yakuangalia HAYA MAPOKEO (DINI)

    Nimeita mapokeo kwa sababu hakuna MKRISTO wa TANZANIA anaweza kusimama na kusema yeye anaifahamu sana dini ya kikristo pia hakuna MUISLAMU wa TANZANIA anayeweza kusimama na kusema yeye unaifahamu sana dini ya Kiislamu

    WAJERUMANI NA WAARABU WATASEMAJE!

    haya ni MAPOKEO TU wanaoshika mabango hasa ya CHUKI NI NJAA TU

    tafakari.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...