
Timu za Wabongo waishio Minnesota na Houston zitakuwa na mechi ya soccer ya kirafiki itakayochezewa Minnesota kesho Jumamosi.
Akiongea na Glob ya Jamii toka Minnesota Godfrey Oswald timu kepteni amesema wachezaji wangu wapo fiti na tayari kwa mpambano huo, japo hatuwajui vizuri Houston nasikia ni timu nzuri na sio ya kuizarau kwa hiyo tumejiandaa vyema kuwakabiri.
Haruna Mwasha kepteni timu Houston amethibitisha kuwepo kwa mechi hiyo ambayo wao wanasema itakua ni moja ya mechi za matayarisho na mpambano wao Stars United F.C. utakaochezwa Houston kwenye sherehe za Thanksgiving november mwaka huu,timu tutaingia Minnesota (leo) Ijumaa sept 11.
Mechi hii sasa imekua gumzo hasa kwa washibiki pande zote kutambiana na kila timu kudai kuibuka kidedea na kuna habari Houston itakusafiri na mashabiki lukuki,mechi itachezewa mji unaoitwa New Brighton,Minnesota,
Driftwood Park,
2705
5th street
Hawa Minessota, sura zao na maumbo yao kama WAPOPO vile.Bila shaka patakuwa na udanganyifu wa uraia na umri hapa.
ReplyDeleteyani wanaonekana ni wagumu kweli mnabeba zege??? au mwala cement nyinyi houston kazi mnayo hizi mtu zinaoneka ni ngumu kweli
ReplyDelete