mdau pernille wa libeneke la http://pernille.typepad.com leo mchana alijikuta amekwama kwenye bonge la foleni sehemu za mkata, kiasi cha kilomita 7o hivi toka segera katika njia ya kuelekea tanga na arusha, baada ya wananchi wa hapo kufunga barabara kushinikiza mwenyekiti wao aondolewa madarakani kwa tuhuma za ufisadi. inasemekana mwenyekiti huyo alizuia mfanyabiashara mmoja wa maji ya kunywa na kumruhusu mwingine ambapo wa kwanza alikuwa anauza kwa shilingo 300/- na huyu wa mwenyekiti alikuwa akidai sh. 500. wakazuia barabara ili kufikisha ujumbe.
polisi walipofika ilibidi wafyatue risasi hewani kuutawanya umati wa watu ambao waliweza kuzuia barabara kwa zaidi ya masaa mawili. hatimaye muafaka ukafikkiwa na mweney kuuza maji bei chee akaruhusiwa kuendelea na biashara, na hatma ya mwenyekiti bado haijulikani



safi sana stand up for your rights
ReplyDeleteNamna hii maendeleo yatakuja! Hongereni sana wananchi kwa kudai haki zenu bila woga. Lakini wajameni, maji sh. 300 Kijijini?!!
ReplyDeleteWe have been independent for 45+yrs and still water and electricity is a problem ............. what a shame.
ReplyDeleteThis shows that the villagers are well organised, so why dont they go a step further.
ReplyDeleteThere are plenty of able bodied men who am sure can dig a well and then collect money and buy a well-head hand pump, and that will solve their problems Aluta Continua
wakatabahu
any revolution start in small pace and then get bigger and bigger. siku moja watanzania tutajiuliza kwanini tulichelewa kutatua matatizo yetu kwa kushinikiza. kama umelala serikali will never wake you up. mapinduzi yanaanzia kijijini ni ajabu.
ReplyDeleteHII NI VIZURI SANA. KUNA WAZEE WA VIJIJI PALE ARUSHA SEHEMU ZA OLOSIVA SAKINA AMBAO WAMEKUA WAKITUMIA MAJI WALIYO PATA KWA MISAADA YA NJE KUPITIA SERIKALI KAMA VITEGA UCHUMI VYAO. UKITAKA KUYAPATA HAYO MAJI NYUMBANI KWAKO LAZIMA UTOE HONGO KUBWA. UFISADI MTUPU. I HOPE SERIKALI ITACHUNGUZA HILI JAMBO. WENGINE TUNAOGOPA KUTOA HII SIRI ILI TUSINYIMWE MAJI. KUNA WATU WASIO JIWEZA WANATESEKA SANA KWA KUKOSA HATA MAJI YA KUNYWA. MJI WA ARUSHA UNAHITAJI KUKUA KWAHIYO WANGECHUKUA SEHEMU KAMA HIZO. ITAKUAJE HAWA WAKUU WA ARUMERU WANAKATAA KUTOA SEHEMU KAMA HIZO WAKATI SERIKALI NDIYO YENYE KU OWN THE LAND.
ReplyDeleteKuchimba kisima ni 3,000,000TSH .chenye uwezo wa kuhudumia wanakijiji wote,Lakini serikali inanunua gari la Mbunge kwa 40million TSH ,wakati atukioni wanachokifanya.
ReplyDeleteKumbe uhuni waweza kusaidia MARA NYINGINE!
ReplyDeletewatanania wengi wanateseka kwa kukosa maji. serikali ina takiwa kulishuhulia hili jambo kwa bidii kubwa. hapa mjini arusha maji ni shida sana. michuzi hiyo habari hapo kuhusu maji sehemu za sakina tafadhali ipeleke kwenye magazeti ya arusha.
ReplyDelete