Michuzi samahani sana, na ashakum si matusi,
Story ninayokupa ni yaukweli kabisa ambayo amenisimulia huyu dada ambae nilitambulishwa kwake weekend hii. Huyu dada anafanya kazi kampuni fulani hapa Dar es salaam anamiaka 26 hivi. Sasa hapo kazini kwao kuna dada mwingine ana miaka ya thelathini na ushee hivi anamtaka kimapenzi tena kwa udi na uvumba kiasi kwamba amekuwa kero kwake anamnyima raha ukizingatia wanafanya wote kazi na wapo ofisi moja kabisa viti vinatazamana.
Ofisini ikitokea ameongea na mwanaume anamgombeza kwa nini anaongea na wanaume wangine hajui anamuumiza roho,akizoeana na mwanaume kosa kabisa,anamletea zawadi za hapa na pale lakini yeye huzikataa akitoka lunch lazima amletee kifurushi cha chakula,anampigia simu kila saa kumchombweza kwa maneno ya mahaba,lakini dada anasema ameshamwambia hamtaki.
Dada anasema kuwa kwa jinsi anavyomtongoza mpaka akimuona anamuonea aibu utafikiri anatongozwa na mwanaume.Sasa juzi jumamosi wakati nakutanishwa nae ndio anasema ijumaa alimwambia huku ana huzuni kubwa kuwa kama kweli hamtaki awe mpenzi wake basi anaomba wakutane faragha angalau ampe kiss(denda),na akamuahidi kuwa baada ya denda hilo kama kweli hatahisi chochote tofauti kama kumpenda au msisimko wa mwili basi atamuacha aende na atakubali kumkosa japo roho itamuuma.
Sasa bidada anasema amechoka kiukweli hana raha ya ofisi kuwaambia mabosi wake hataki kumkosesha kazi mwenzake kwa jambo kama hilo na pia si kila bosi anaweza litilia maanani jambo hilo ila hamuelewi akimwambia hamtaki amemganda kama ruba..........
tuliongea sana kiukweli lakini mimi na wewe na wadau wa
blogu ya jamii hembu tuvae viatu vya huyu dada, J afenyeje??
nyie fanyeni kazi wachaneni na ujinga
ReplyDeletekama hataki kumripoti kwa mabosi,basi naye pia anapenda.....atoe denda tu aone utamu wake!
ReplyDeleteSema Michuzi, hii kali kweli kweli, kwanza kama yote anayosema dada huyo kwako kama ni kweli ya dhati basi kwanza anahitaji pongezi ya kumhifadhi mwenzake maana angetoka na kusema kweli mwenzake asingekuwa na pakuweka sura na sidhani kama aibu ambyo angeipata kazini ingemfanya aiche tabia yake hiyo ya kusagana.
ReplyDeleteNi wazi huyo dada amemtamani mwenzake na anataka kusagana naye, ila mwenzake hawezi, kama ikiwezekana:
1) Ampe onyo kali akionyesha kuwa hana utani na hataki ushezi wa aina yoyote
2)Kama vipi pia anaweza hama kazi na kutkuwa na masiliano yeyote na huyo dada
3)Anaweza kuoangalia kama kupata kazi nyingine ni ishu, basi katika onyo amwambie mwezake kuwa akijaribu kumtaka kwa njia yeyote atapeleka habari kwa uongozi wa juu bila ya kumwonea huruma sababu amemvulia kwa muda na hana huruma naye tena.
4) mwisho kama bado hali ni mbaya, anaendelea sumbuliwa, basi asiwe na wasi kumpeleka kwa mabosi wake ila awe na ushaidi kama wa SMS, Recorded Conversations, ili vimsaidie kuonyesha ukweli wake naye aweze kukaa kwa amani.
Jamani duniani kweli kuna mambo ilasishangai kwani hawa ni wanawake wenye matamanio na wanawake wenzao yaani wasagaji ama Lesbians kwa kwetu ni kinyume na maadili ila kama wadau wengi mjuavyo nchi nyingine wanaoana kabisa kama marekani, kwa madiba (S.A), kwa bibi (U.K), kwetu si sawa ingawa mambo haya yapo, Mdau Delhi.
Pole sana dada kwa kukutana na mtu mwenye tabia kama hiyo.Ninachofikiri mimi kuna namna ya mazoea ya kawaida kama ndugu mliyonayo,hivyo anatumia mwanya huo kupenyeza nia ovu aliyonayo.Kama hutaki kumharibia kazi ,mbadilikie na uwasiliane naye kikazi tu,usimpe nafasi yeyote ya kukuzoea ,usiwe na mahusiano naye yeyote nje na masuara ya kazi,kama ana akili timamu atabadilika,tumewaona wengi wenye tabia hizo,ukimbadilikia kabisa hata kama akisema kitu gani huchangii wala hucheki na unakuwa na mambo yako tu,ataachana na wewe.
ReplyDeleteMwambie asilaze damu hayo ndio mambo ya kisasa,mbona kaka zake wanasuka na kuvaa hereni hajastuka?
ReplyDeleteHII KALI!
ReplyDeletemajita, we mshauri atoe busu...halafu we piga na tutumie picha. utakuwa umecheza kama komandoo kipensi!
ni hayo tu. natanguliza shukrani.
KAKA MICHUZI AHSANTE KWA KUTOMTUPILIA BAHARINI HUYU MTUMA POST. HAYA MAMBO YAPO SANA HASA HUKU UGHAIBUNI NDO YA KAWAIDA KABISA. MIMI MWENYEWE LIMENIKUTA JANA TU NIMEKUTANA NA MZEE AKANIKARIBISHA KWAKE KISHA TULIPOKUWA NDANI AKAANZA KUNITAKA NIMPE KITU NA BOKSI TENA SEBULENI, NIKAMWAMBIA MIMI BILA KONDOMU SIWEZI PIA NATAKA ANIPE POUND 200 YEYE AKASEMA ATANIPA POUND 100. NIKAMWAMBIA HAYA LAKINI KONDOMU WAPI? ALIPOKWENDA KUFUATA KONDOMU CHUMBANI MI NIKAFUNGUA MLANGO NIKATOKA NDUKI.
ReplyDeleteHuyo dada akiendelea kumsumbua amrushe hewani tumjue maana naona kwa vile siri yake haijajulikana ndio analeta za kuleta.
ReplyDeleteAende huko mitaani kama Ohio atawapa wengi tu.
WE dada acha ushamba. sasa kwani ukimkubali utapata hasara gani hapo??. kwani ukiwa naye kwenye sita kwa sita utahisi kitu kikizama kunako uke?? huyo si mwanamke mwenzako hana kichomeko so hakuna kitachozama ndani ya. akitaka kuzamisha ma-fingazz mwambie 'stooop ishia hapohapo tena ukome dadaeee'. akitaka kucheza na nyonyozz na pajazzz mwache kwani hivyo havitakupunguzia chochote zaidi ya kukupa raha na kukupeleka peponi kwa muda!! mwambie afanye atakacho kuanzia nyonyozz hadi pajazzz ila Eva asiguswe kwani Eva ni wa Adamu tu.
ReplyDeletethat's the best advice i so far can give ya.
Mkosa kazi, ATL US.
HABARI KAKA MICHUZI, NIMESIKITISHWA SANA NA HABARI HII. NINGEPENDA KUMSHAURI HUYO DADA YAFUATAYO:
ReplyDelete1. AMWOMBE SANA MUNGU WAKE AMWONDOLEE HUYO IBILISI ASIENDELEE KUMSUMBUA.HILI NI MUHIMU SANA!
2. AMWELEZE HUYO MWENZIE UKWELI KWAMBA HAPENDI HATAKI KUJIUSISHA NA HUO UPUUZI,NA AMPE ONYO LA MWISHO.
3. AKIZIDI KUSUMBULIWA AMRIPOTI KWENYE UONGOZI ILI HATUA ZA KISHERIA ZICHUKULIWE. HATALAUMIWA ENDAPO HUYO MCHAFUZI ATATIMULIWA MANA MUNGU HUSIMAMA NA MWENYE HAKI DAIMA!!!!!!!
4. ASIWE NA MAZOEA KABISA NA HUYO DADA KWA NAMNA YEYOTE ILE.
MUHIMU NI KUMSHIRIKISHA MUNGU JUU YA HILI AMUEPUSHE NA MAPEPO WACHAFU KAMA HAWA. ASANTE MDAU.
Swali hili ni rahisi. Kimsingi huyo dada anadhalilishwa kijinsia kwa 'unwelcome advances'. Anachotakiwa kufanya ni kumpiga kibuyu kama ambavyo anawapiga vibuyu wanaume. Kama huyo mwanamke akipigwa kibuyu akawa mbishi basi afahamishwe tu kwamba hatua inayofuata baada ya hiyo ni kufikishwa kwa wakuu wa kazi au hata polisi maana vitendo vyake vinavuruga amani.
ReplyDeleteNakubaliana namdau mmoja, AWEKE VITHIBITISHO, ili likitokea la kutokea basi awe kwenye safe side, text, voice msgs azihifadhi.Pia ikibidi atafute mtu akae pembeni(Alabai) awasikilize kama shahidi wewe unaweza kufanya hiyo kazi maana tayari unajua.
ReplyDeleteHalafu amwambie asipoacha atamsemea kwa uongozi wa juu.
.
Pole sana dada. Watu wa namna hiyo wapo ila ajitahidi kutokumpa mwanya wa kumzoea na pia asithubutu kukutana nae faragha. Akithubutu tu amekwenda na Maji.
ReplyDeleteKinachotakiwa kufanya ni kutochanganya kazi na mapenzi kwa nini asingoje wakimaliza kazi aongee naye vizuri maana jamaa anapumulia kama vigofu vya polisi zamani vilikuwa avina subira kwenye dili tu vipo hata kama ya halali.
ReplyDeleteAMWAMBIE UKWELI MBELE ZA KILA MTU HAPO OFISINI KWANI ITASAIDIA,TENA KWA KUPAYUKA KUWA HATAKI UHUSIANO NAE HATA URAFIKI.ILA MAELEZO YAKO NA WEWE HAYAKO POA UNAJICHANGANYA SANA,JE WAMEKUWA NA UHUSIANO WA KIRAFIKI KWA MUDA GANI?????????????
ReplyDeleteLa ajabu lipi? Kama hairuhusiwi kudate makazini basi ana hoja lakini kama inaruhuziwa basi asimame na miguu yake miwili kama hataki awe serious ...miaka 26 mpaka leo hujui kumwonyesha mtu kuwa humtaki kweli. Mbona wanaume nao ni ving'ang'anizi tu kila siku. Si ajabu yeye ndio anamtease huyo dada wa watu kila siku...sitaki nataka.
ReplyDeleteUnashangaa utashangaa sanaaaana tu...Kanisa la Kiinjili la Kiluteri hapa Marekani (dhehebu langu) ni juzi tu wamekubali magay na malesibian waruhusiwe kuwa wachungaji/watumishi wa kanisa as long wanakua wanaishi na mtu mmoja tu (a committed term relationship....) patamu hapo
ReplyDeletehuyo kesha mpenda asitupotezee muda wanaume mbona unajua kuwatimua unashindwa na huyo na ushauri alishapewa kwa dina kaja na huku tena. mpe dada maana nshaona unatamani!
ReplyDeletedadq pole sana na mtihani huo ni mtihani na ukifanya masihara utafeli na ukifeli umekwsha wewe ni mtu mzima na kili zako unajua zuri na baya, kama unahisi unataka kufikichwa na mwanamke mwenzio pole sana bora hio kazi mpe adam kwani mwisho wa yoote atakupa kitu original sio mapira au mafingers kucha zitakuumiza mpenzi mwisho wa yote utaishia michubuko, jikaze kike dawa yake huyo kama kweli humtaki ni achana utani nae na jaribu kumtilia nyodo mzarau kama ni sim huna ulazima wa kupokea ikiwa ni zawadi jaribu kuziepuka maana hawa watu wa aina hio wakitaka lao wanaweza kukuingizia kitu kwenye kazawadi halafu weneywe unajikuta umeingia usimpe nafasi ya mazoea kwako utakosa raha mwa mwanaume wa kweli sio matoy na fingers
ReplyDeleteSasa kwani ukitongozwa ndio umekuwa bubu, hata mwanamke akimtongoza mwanamke mwenzie kwani tatizo liko wapi, kama hamtaki si aseme tu sasa yanauhusiano gani na kumshtaki kwa bosi, wabongo bwana! Sasa bosi ndio amfukuze kazi kisa anatongoza mwenzie acheni ujinga bwana, kama sheria ya hapo kazini kwao inakataza kutongoza sawa, kama hakuna sheria kama hiyo huyo dada mtongozaji hana kosa kabisa, hajapewa jibu ndio maana bado anaendelea kumtongoza, mbona hizo zawadi anachukua na hizo lunch, ndio utandawazi huo wacha atongoze bwana tena wanajua kupenda hao acha tu.
ReplyDeletekuna maswali engine ni ya ajabu kuuliza mbele za watu!hebu jifikirie nadhani wewe muuliza swali na mtaka ushauri kama sikosei ni mwanaume unyeuliza kwa niaba ya huyo dada.sasa unataka watu wakikushauri kwamba ndiyo nenda mwambie wakasagane basi nayeye AKASAGANE au wakishauri YEYE ATAKATAA?MAJIBU MENGINE MNAYO WENYEWE na yapo wazi kabisa walahuhitaji kuuliza cha kufanya. mathalani wewe mwanaume mwenzio aja anakutaka kimapenzi utakuja kuuliza hapa ktk blog eti sasa ufanyenyeje?je tukikushauri nenda kampe makalio yako utakwenda kumpa?
ReplyDeletewakati mwingine napata hasira na maswali yasiyo na mbele wala nyuma hii inaonyesha kuna watu hawataki kushirikisha ubongo wao kabisa!maana kuna vitu vinahitaji ushauri na visivyo hitaji ushauri.hili swali halina tofauti na wewe kuja kuuliza ktk blog hii kwamba jamani kuna dada amebanwa haja sasa nimshauri aende msalani au akae tu nayo! be serious people!!mimi sikuhizi kuna hata baadhi ya maswali ya watu katika mazungumzo ya kawaida huwa sipotezi muda kuyajibu maana naona ni upuuzi wa kutoshirikisha ubongo,maana sio kwamba huna jibu lake ila unajifanya tu wewe ni zezeta wa kufikiri.ukiuliza swali kama hili niko na wewe nitakutizama tu wala sitakujibu chochote no maater uta ni define vipi naringa au najiona,maana kulijibu is wastage of energy and time.hapa tu nimeamua niweke hii hapa ili baadhi ya wengine wenye upuuzi kama huu pia wawe wanafikiri kabla ya kuupeleka mbele ya mtu mwingine.
nyerere aliwahi kusema quote moja sijui aliitoa wapi inasema, IKIWA MTU ATAKWAMBIA JAMBO LA KIJINGA NAWEWE UKALIKUBALI,BASI WEWE UTAKUWA SI MJINGA TENA BALI MPUMBAVU.
sasa siku zote we reason from the known to the unknowns, nenda umwambie ajiulize maswali yafuatayo:
1.je yeye mtakwa ni alishawahi kusikia neno msagaji/lesbian?
2. je anataka kuwa lesbian
3.je kwake yeye ni normal kwa watu wa jinsia moja kushirikiana kingono?nini mtizamo wake
kisha atajipa jibu kutokana na maswali hayo matatu.
I CAN'T BELIEVE ANAMWOGOPA MWANAMKE MWENZIE. YAANI MIE NINGEMREPORT KWA BOSS NA NINGEMBANDIKA KONA ZOTE ZA JIJI NA KUMUWASHA VIBAO JUU...KWANI HUYO DADA HANA NDUGU? YAANI ANAOGOPA HUYO MWANA MAMA KUFUKUZWA KAZI? AONGEE NA MIMI JINSI NILIVYOMREPORT MTU NA KUMUITIA POLISI JUU....HEEEE!
ReplyDelete