

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ulipaswa ufuatilie ili ubaini cnanzo cha yeye kuvua nguo hapo na si kwingineko. Nini mkimemsibu. na Nimaneno gani hayo yasiyo eleweka.
ReplyDeleteAmetelekezwa na bwana mlinzi wa kampuni ya sekurite anayefanya kazi maeneo hayo.
ReplyDeleteanony Sun Sep 06, 01:31:00 PM, kwani wewe ukifuatilia itakuwaje? kwa kuanzia nenda kituo cha polisi cha oysterbay ukaulize kabla ya kwenda kwa kamanda wa polisi wa mkoa.
ReplyDeleteugumu wa maisha huu unaosababishwa na watu wa mungu (akina Nkapa, Lowasa, Sumaye na Kikwete) ndiyo unaowafanya watu wawe hivi.
ReplyDeleteKufulia kubaya,amefulia huyo
ReplyDeletehuyu dada maskini tumeishi nae paris huyu hadithi yake ni ndefu na inasikitisha alirudishwa ndani ya masaa 24 bongo,sasa amekuwa kama aliechanganyikiwa vile akisikia umetoka france sijui anajisikiaje sijui
ReplyDeleteduh au kanyimwa visa huyo!mpeni visa azame kiwanjani manaa njaaa kaali bongo africa
ReplyDeleteHaya nyie mliotaka mambo ya mswati yahamie bongo. Pole mama kwa yaliokusibu, pengine hapo akili isharuka. Ni matatizo tu na ugumu wa maisha.
ReplyDeleteHuyu mama ni Kigagula, namfahamu vyema huwa anafanya shughuli za kuwafanyia mazingaombwe watu ili wapate VISA kilichotokea leo ni kuwa mmoja katika walinzi wa Geti ni ''Ustaadh''na vigagula wakija na vituko vyao huadhirika.Huwa nafanikiwa kufanya mambo haya bila kuonekana!Leo imemgeukia baada ya Ustadh Fadhil wa pale ubalozini kuwepo!!
ReplyDeleteAisee mdau ICT wa Sun Sep 06, 03:15:00 PM hapo juu uliyetoa
ReplyDeletelink ya hilo gazeti la Guardian nimelisoma. Aisee jamaa wametuchafua sana Tanzania Kimataifa na hiyo ishu ya Loliondo. Inabidi afisa Uhusiano wa Wizara ya Maliasili na Utalii ajipange kuthibitisha au kukanusha shutuma hizo zingali zikiwa zamoto moto...Kwani hapa London ishakuwa GUMZO.
KUCHANGANYIKIWA MAISHA MAGUMU, MNAIMBA MAISHA BORA KWA WOTE KUMBE SI KWELI, HAYA NI YA GEORGE O. MWANDISHI WA U.K. WA ZAMANI KIDOGO KWA WALE WASOMI WATAMKUMBUKA ALIANDIKA KITABU KUHUSU ANIMAL FARM, AKASEMA ALL ANIMALS ARE EQUAL, BUT THERE ARE OTHERS WHO ARE MORE THAN EQUAL, AKINA SIMBA KULA WAZENZAKE, NASI NDO HIVYO TENA MAISHA BORA KWA KILA MTU, LAKINI YA WENGINE NI BORA ZAIDI, KWANI KUNA WATU WANAKULA MILO MINNE KWA SIKU, KWA SIAGI, MKATE, ASALI NA MAZIWA WAKATI WENGINE HAWAJUWI HATA NEXT SECOND WATAKULA NINI. NDO YALE YA AKINA OMARY BONGO KUANCHIA NCHI MTOTO WAKE - ALLY BONGO SOON AFTER HE KICKED THE BUCKET - KABILA TO KABILA DRC - UKISHINDWA UCHAGUZI UNANG'ANG'ANIA NA UNATAKA SERIKALI YA USHIRIKA NA CHAMA PINZANI, HII NI KWELI DEMOKRASIA- KENYA NA ZIMBABWE. MAISHA BORA NI KWAO TU SI MKWA WOTE NA WENGI TUTAVUA NGUO MIAKA INAVYOENDA.
ReplyDeleteNatanguliza pole kwa huyu dada, Allah ampunguzie yaliyo mfanya awe na dhiki hii ya kuvua nguo hadharani...Ewe Mola twakulilia ndani ya Mwezi mtukufu huu umpe ponyo la kweli huyu dada na mwanawe na umuondoshee kero na shida zake zote na zisijirudie Amiiin
ReplyDeleteShehe jAMAL Muhiyidiin Al-Qadiriy
ACHENI JAMANI ANENIUMA NI HUYO MTOMTO EE MUNGU TUSAIDIE SADIA AFRICA SIJUI LINI HAKI YA MTOTO ITAJALIWA NAUMIA SANAAA! KAMA UNAUJUA UTAMU WA WA MTOTO UNAWEZA KULIA
ReplyDeleteEewe Mungu wa Rehemu nakuomba umnusuru dada huyo jamani na mtoto wake, Taabu nyingi za TZ zinafanya watu waonekane vichaa lakini kumbe si vichaa ni taabu tu za maisha zimekuwa nyingi jamani!! Njaa nyingi, Jua kali, kazi hazipatikani, hakuna kipato cha aina yoyote ile watanzania wengi wanateseka sanaa jamani. EE mwenyezi Mungu msaidia mama huyu na wamama woote wanaoteseka sio Tanzania tu ila ulimwenguni pote..Amen,!
ReplyDeleteMungu awazidishie na kuwabariki Shehe Jamal Muhiyidiin Al-Quadiriy na Anon wa 07:45 AM - Jamani mwenzako anapotatwa na baya muuombee Mungu amnusuru na sio kumsemea maneno mabaya kwamba kigagula au kafulia, ukiona mtu mzima kavua nguo au analia ujue kuna jambo kubwa sana ambalo hata wewe usipo tegemea ipo siku linaweza kukusibi, hakuna anaefurahia matatizo. Atakae msaidia leo siye atakae kusaidia wewe kesho bali mtu mwingine wa tofauti usiemtegemea,sasa usipojijengea misingi mizuri na Mola wako utapata wapi msaada katika dunia hii. Binadamu tupendani tusaidiane kwa khali na mali ukijaliwa.
ReplyDeleteEeeeh Mungu muweza na muumba wa yote.Muepushe mama huyu na mwanae na matatizo yote haya.
ReplyDeleteMkulima-Kijijini Gezaulole