pole na majukumu ya kuwahabarisha wanajamii.Naomba wadau wasishangae kwani hiyo ni nyumba ya mtu hapahapa jijini Dar Es salaam,ipo wilaya ya Kinondoni, Kata ya Bunju, eneo la Kinondo.Mkuu wa wilaya ya nanihii naomba kuwakilisha.Picha inawezekana si nzuri sana kwa sababu ni camera ya simu ya mkononi.
Best Regards
Mdau Clement Bocco
Ha,ha,ha kwa mjengo huo !! kumbe bongo sawa na London.
ReplyDeleteHiyo ikiserereka wakati uko usingizini au una-make love ni hatari sana, ati.
ReplyDeleteNI MBUNIFU! ALIUPATA WAPI HUO MKWECHE?
ReplyDeleteBritish Leyland(Leyland CD).Hii inanikumbusha miaka ile mabasi ya Relwe.Wanafunzi tunasafiri kwa warrant toka Mwanza mpaka Mtwara.Duh,what are golden memories!
ReplyDeleteMkulima-kijijini Gezaulole
Leyland hii imenipeleka mbali sana. Top gear inabidi tandibiy aishikilie isichopoke..
ReplyDeleteOtherwise first class picture
Blackmpingo
aisee hiyo picha bomba sana. ina ujumbe muhimu, nafikiri ungeiuza online utapata michuzi mshkaji.
ReplyDeleteHiyo ndio Afrika yetu, hakuna presha wala shinikizo la moyo, unaishi popote kwa raha zako. mtu asikudanganye bwana system ya maisha ulaya ni presha ugonjwa wa moyo
Tetenas..
ReplyDeleteAh Michuzi umeniharibia tayari.
ReplyDeleteKwa picha hii sasa vibaka ndiyo watakuja kunitembelea
Ni ubunifu mkubwa kwa kuwa leo unaweza kuamua kuishi upanga, kesho mikocheni, magomeni n.k. na kote unaishi ktk nyumba yako!!!!
ReplyDeletembona poa tu hiyo.Huku mbona zipo mibile homes kibao...Tofauti ya huyo ni uchafu. Akanunue kopo la rangi apage gari lake its not tha hard. Rangi itaondoa that rust looking.
ReplyDelete