Rais wa Indonesia, Susilo Bambang Yudhoyono akisalimiana na Waziri Mkuu Mizengo Pinda kwene ikulu ya Jakarta kabla ya mazungumzo yao, Sptemba 11, 2009. Mheshimiwa Pinda yuko nchini Indonesia kwa ziara ya kikazi.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na ujumbe wake akikagua sikimu ya umwagiaji katika shamba la mpunga la Ciberes, Sukamandi nchini Indonesia akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo. Picha na mdau Hilary Bujiku wa ofisi ya waziri mkuu


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. mnaona wenzetu wanaojitegemea kiakili - hawalazimishwi na mmarekani kwamba vazi rasmi lazima liwe suti na tai. wanajaribu kuonyesha jinsi wanaweza kuwa wabunifu si katika kilimo cha umwagiliaji tu, bali pia katika mavazi. sisi tunaotegemea wafadhili katika kila kitu pia tumeelekezwa na kuamini kuwa hafla haijawa rasmi kama wanaume hawajavaa suti na tai!!

    ReplyDelete
  2. hivi hawa viongozi wetu wanakwenda nchi za wenzetu kutembea na wengi wanakwenda kuangalia project na wanaziona na wanaonekana kama wako interest sana na hizo project maana utaona viongozi wetu wakienda utawakuta mashambani,viwandani,nk hila cha kushangaza ni pale wakirudi bongo mbona hata 1/8 ya walioyaona hawayafanyii kazi au ndio tunaishia kuomba misaada tu na wakija huku hao viongozi wa ughaibuni mbana hawawapeleki kwenye hayo maproject na kuwaambia mzee lile shamba la irrigation ulionionyesha kwako nami ni hili hapa wanawaacha mahotelini tu jamani hii kwakweli inakela sana maana mi naona kama wanatudhalilisha kiaina haya sisi WA BORA LIENDE TU
    mdau hyderabad india

    ReplyDelete
  3. Huu uchizi sasa! Hebu pima Rais Susilo Bambang Yudhoyono aje Tanzania halafu anunue shati la Mwatex au Kiltex aende nalo Ikulu kumsalimia JK! Halafu apigwe picha katinga katika hilo shati!

    Jamani, vipi?

    ReplyDelete
  4. ILINOGA SANA MIAKA HIYO WAKATI MZEE RUKSA ANASHIKA HATAMU KWA HADHI NA TAAZIMA WAKATI WAKE WOTE WANAITWA SITI YAANI SITI MWINYI NA SITI SORHATO. HUYI MZEE RUKSA JAMANI TUMPE UFALME TUWE NA WAZIRI MKUU BILA RAIS.

    ReplyDelete
  5. Hilo shati na kweli ndio zawadi ya waindonesia kwa wabongo...hatupati chochote kingine,ngooo!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...