Home
Unlabelled
vekesheni yaendelea a-taun
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kaka MICHUZI uko juu hiyo laptop yako mhhhh imetulia mambo ya APPLE sio?!!!haya kaka usijisahu na vakesheni ukashindwa kutuletea habari nyepesi nyepesi za kila siku.MDAU-UKEREWE!!!
ReplyDeleteHabari kaka Michuzi...
ReplyDeleteRamadhan imekwisha naona upo kwenye ufisadi wa vekeshen hongera.
Naona umepozi na mambo ya Apple, na tangazo letu la ndovu limerudi siramadhani imekwisha kaka michuzi!!!
Safi sana, tukitangaza misikiti je tungepata Apple?
Amasivyo??
Yaani anko naninyo hizo suti za kibunge za mikono mifupi zinani-bore sana, mnaharibu heshima ya suti
ReplyDeletemkuu wa wilaya tafadhari ukija States usivae hicho kikaunda suit...yaani hakifai ni kama cha miaka ya sitini!
ReplyDeleteHapo umetoka pina na nyerere suti! unanikumbusha baba wa taifa kwa kutinga suti hiyo alikuachia urithi nini bro. mathupu? Angalau hapo mzee wa jamii unatuwakilisha kwenye minuso. Hapo ni wapi that is my home town unanikumbusha mbali mathupu!
ReplyDeleteMdau USA
oya vipi hapo waosha vinywa? mmemwona anko alivyopendeza? leo nahisi midomo itawasha coz you will have nothing to comment on the fulanazzz.if i may ask those who are always conserned with michuzi's T-shirt dont you have something better to comment on,be brave,mithupu just tend to play with your minds so that you keep on talking.sasa kwa akili zenu mtu kama yeye anaweza akawa na hako ka T-shirt mnakokalalamikia tu.think big people.
ReplyDeleteYa Ye Yaaaa!!!!
ReplyDeleteCongratulations Mithupu!!
T shirts kwishney!!!!
Sio tu habari za libeneke, weka matokeo ya mechi za jana tuone! timu chokest!
ReplyDeleteMichuzi vakesheni kila siku?? Wacha bwana au unafuatilia mkutano wa CPA?(Commonwealth Parliamentarian Association). Maana nasikia mji wangu wa Arusha umechafuka kwa uwingi wa wageni. Wabunge 800 na ukiongezea wahudumu kama madereva na akina nyie watumia kalamu na kamera si ndiyo uchumi wa Arusha unakwenda juu. Naomba njimpongeze Mheshimiwa Spika Sita kwa kutuletea mkutano maana kicuhumi kila mdau hapo Arusha ananeemeka ukianzia, wenye taxi, tours, hoteli, mabar kama akina Matongee, wenyeji ambao wanamarafiki miongoni mwa wageni wetu na bila ya kuisahau sekta isiyo rasmi ya machangu doa. Kwa kweli ndani ya juma moja mambo swaafi. Sita oyee!!!
ReplyDeleteNasikia Anko nanihii, upo Arusha Kikazi kwenye Mkutano wa Wabunge wa Jumuiya ya Madola ( CAP )
ReplyDeleteUko kwa bwana Swai
ReplyDeleteNaona baada ya trip ya silcon valley uliporudi tu ukaitupa toshiba laptop yako na ukarudi na apple note book ehhh, ufisadi huo michuzi
ReplyDeleteSuti za design hiyo na rangi hiyo huwa wanavaa wale wakali-lakini-wakimya wenye ofisi pale nyuma ya nanihii...
ReplyDeleteKaka michuzi hivi watu wakiwa kazini vekesheni uenda mara ngapi kwa mwaka?,manake kwako haipiti miezi miwili unaenda vekesheni,uwo si ufisadi kha!
ReplyDeleteunatisha mkuu wa libeneke, upo juu sana. naona umevumbua vazi rasmila minuso, safi sana Kaka Michuzi, sisi wanalibeneke tunakupenda saaaaaaaaaaana.yani mimi binafsi ikipita siku sijaangalia Blog yako, naona kama nimemiss kitu fulani, na sijisikii furaha kabisa.nakutakia kila la heri Mkuu na mafanikio.
ReplyDeleteTanzania itajengwa na wenye moyo, Vakesheni uko karibu na pool halafu umevaa kaunda suti na upo pembeni na laptop!!! Wee upo kazini mzee. Au Technology inakuzingua? Pumzika bwana achana na laptop na Camera kwa muda relax your mind and appreciate beauty, nature,life, and mostly your wife. Kama vakasheni ungekuwa na kibukta halafu kitumbo wazi na umetulia na mamaaa au familia! Nashanga sana una laptop kamera na kaunda suti ya nguvu juu yake. Umetoka pina.KWeli wee ni bonge la ZeKomedian unaleta burudani na utata katika life style yako.MDAU,Martha's Vineyard, Massachusetts.
ReplyDeleteMichu picha zako nyingi mbona za kwenye misosi. Halafu hii picha inaonyesha una usongo sana na huo msosi.
ReplyDeletePiga msosi mzee, si unajua mwili haujengwi kwa matofali
Michuzi upo vekesheni au kazini? Weka sawa...Halafu michuzi kwa mambo ya kupiga mpunga hujambo...manake picha zako nyingi unazotoa ni kwenye kupiga mpunga..!!
ReplyDeleteWatanzania mjifunze lugha ya tafasida kwani matupu kuwa vakesheni hana maana hiyo kusafiri kikazi kwake ni vakesheni kwani anatoka nje ya mji wake kubadilisha mazingira ya kikazi na kukutana na watu tofauti na aliowazoea. Kwahiyo neno vakesheni lisiwasumbue "That is the Figure of Speech" Hamaanishi the real vacation! Tupo hapo watanzania wenzangu!
ReplyDeleteMdau USA
anonymous Wed Sep 30, 06:07:00 PM aka mdau usa, tafsida maana yake ni kupunguza ukali wa neno (mfano kujisaidia badala ya kunya). tafadhali usiwafelishe watahiniwa wa sekondari. lugha ya picha (figure of speech) na tafsida kamwe havishabiani.
ReplyDeleteMICHU UNA APPLE COMPUTER....MAMBO YAKO MSWANO
ReplyDeletesasa unafanya kazi saa ipi iwapo kila wakati uko vakesheni, au uko sehemu sio rechabo, au uko sehemu umeenea na zefulanaz na saa ingine unakula dinna la lanchi.....na nani hii au na maiwaifu...wako. Nimejarobu kugawanya siku yenye masaa 8 nikaona unabaki na dakika tano tu za kufanya kazi...labda ndio maana hatupati habari za kutosha hapa...unataka kufukuzwa kazi nini....Michu....ninaomba kutoa hoja mdogo wangu...na mimi nilipotea kidogo nilienda vakesheni...
ReplyDeleteDu kaka Michu kiboko yaani unakaa poolside jua limewaka huku umevaa kaunda suti kama za usalama wa taifa :-)
ReplyDelete