wajumbe wa semini ya siku moja ya Elimu ya Uraia kwa Mapolisi wakuu wa wilaya zote Tanzania wakimsikiliza kwa makini Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Ndugu Ezekiel Masanja [ hayupo kwenye picha hiyo ] wakati akifungua semina hiyo kwenye ukumbi wa ST. GARSPA, mjini Dodoma leo. semina hiyo iliandaliwa na kituo cha Sheria na Haki za Binadamu. picha na mdau Jonas Marios

AFADHALI HAWA NAO WAPEWE SEMINA ELEKEZI INGAWA SIZIPENDI KWANI WAKITOKA HUKO ONLY 10% WATATEKELEZA MAFUNZO WENGINE YANAISHIA KWENYE MAKABRASHA! IGP SAIDI MWEMA ANAJITAHIDI SANA SAAAAANA LAKINI WANAOMUANGUSHA NI HAO WA CHINI YAKE YAANI HIYO CONCEPT YA POLISI JAMII HAIPANDI KWAO KABISAAAAA!!!
ReplyDeleteKERO KUBWA YA POLISI NI RUSHWA NA UONEZI, THEY EXCESSIVE POWER FOR A MINOR OFFENSES SO AS TO EXTRACT RUSHWA FROM THE ALLEGED OFFENDERS, WA BARABARANI NDO WAONEZI WAKUBWA SANA WANAFANYA UKAGUZI WA GARI KILA SIKU WAKATI KI UTARATIBU INATAKIWA GARI IFANYIWE MAINTANCE KUBWA MARA MOJA NA IKAKAGULIWE NA POLISI, BAADA YA HAPO POLISI WANATAKIWA KUSHUGHULIKA NA GARI BARABARANI KAMA MTU KAPATA AJALI AU KUNA TAARIFA YA UENDESHAJI WA OVYO, KUENDESHA BILA LESENI AU INSURANCE, WAACHE UONEZI, SAID MWEMA WAAMBIA JAMAA ZAKO WAACHE UONEZI WANACHAFUA JINA LA SERIKALI YA KIKWETE, TUNAWEZA KUMNYIMA KURA 2010 NAWE UKAKOSA UGALI WAKO, SI UNATEULIWA NA RAIS!
ReplyDeleteHAPO ZAMANI NANI ALIPENDA KUWA POLISI, NI WACHACHE MNNO NA WALIPEPENDA KWA DAMU LABDA, BAADA YA MUDA KAZI ZIKATOWEKA MPAKA SASA HATA UWE NA DEGREE UNAWEZA UKAUKOSA HUO UPOLISI. FAIDA KUBWA KULIKO ZOTE MAJI ,UMEME, NYUMBA BURE KAMA UTAKUBALI KUKAA KAMBINI. KARAHA ZAKE INACHUKUA MUDA KUPANDA CHEO LABDA UPATE ZALI KAMA YULE TRAFIKI WA KIKE ALIYEMFUNGULIA MLANGO GARI MTUKUFU RAIS DANIEL ARAP MOI.
ReplyDelete