Home
Unlabelled
willy na anna wameremeta
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
bwana na bibi arusi hongerni sana mmependeza sana kubwa kuliko mnafanana sana nawatakia maisha mema
ReplyDeletemdau north america
Wow! Safi kabisa Br. Willy. Nimefurahi sana kujua umeoa. Nawatakia kila la kheri kaka katika maisha yenu. Mdumu katika upendo.
ReplyDeleteMsafiri.M
Calgary, AB
be segito!!
ReplyDeleteMDAU MMOJA HAPO JUU ANASEMA WAMEFANANA. HIVYO NDIVYO HUWA WATU WANAOANA MARA NYINGI UFANANA, JUST FANYA SEMI MINI RESEARCH UTAONA HIVYO, MIMI MARA NYINGI NIMEONA MME NA MKE UFANANA HII NI ZAIDI YA 90% TRUE, HATA KAMA WATAOANA HAWAFANANI LAKINI SIKU SIKIPITA UTAWAONA WAMEGEUKA NA WANAFANANA. HATA MZEE WALIBENEKE, "MICHUZI THE MAESTRO" UKIJALIWA KUMUONA MY WIFE WAKE UTADHITISHA HILI WAMEFANANA PIA. PIA MZEE MICHUZI NILIKUWA NA CHANGAMOTO HII, KWA NINI NA WEWE USIJARIBU KUANZIA CHOMBO CHA HABARI CHA KWAKO, KAMA MENGI, KAMA WENYE VIJIRADIO MBAO WENGINE HAPO BONGO, KAMA SHIGONGO AMBAYE ALIKUWA MLALAHAOI KULIKO HATA WEWE, NIMEMUONA SANA AKISAGA LAMI FOR AGES/KWA MIAKA MINGI TU NA VIJIHADITHI VYAKE VYA ELFU ULELA KWENYE MAGAZETI. PLEASE THINK ABOUT IT, AND THINK BIG OUTSIDE THE BOX, PLEASE YOU CAN START EVEN THE COVERAGE OF DAR ONLY, IT IS NOT SUCH COLLOSAL AMOUNT OF MONEY NEEDED TO OWN A TV CHANNEL OR RADIO OR A NEWSPAPER. I CHUCK THIS MASSIVE CHALLENGING IDEA TO YOU, YOU HAVE GREAT EXPERTISM, YOU CAN DO IT, WHY NOT MAN!
ReplyDeleteOoooh Ninah nimekuona kwa nyumaaaa, nimekumisooo sana..! DataVision, Mbona wengine siwaoni.? Wapi pili?
ReplyDeletehongereni sana mungu awajalie
ReplyDeleteMmependeza sana, nawaombea heri na baraka, furaha na amani Mungu awalinde na kuwatunza siku zote.. Mdumu katika upendo maana kwa upendo kila kitu kinawezekana! karibuni kwenye jumuiya kubwa kuliko zote, jumuiya ya wanandoa!
ReplyDeleteWillie na Anna, salamu nyingi za hongera na kuwaombea baraka kwenye chapter mpya hii ya maisha yenu. Mungu awabariki na awaongoze.
ReplyDeleteMlipendeza sana....
EK
Geneva
asanteni sana wote kwa pongezi zenu.
ReplyDeleteW&A
mgaya na anna hongereni sana long tym maaan kinondoni wawaaaaaaaa big up neighbours!!!!
ReplyDeletemama G.