mdau william mgaya na mai waifu wake anna mponguliana wakitoka kumeremeta kanisa la mtakatifu albano jijini dar jana
willy na anna wakiingia kwenye mnuso wao diamond jubilee
wadau wa DataVision wakiwa na maharusi
maharusi wakitoka kupata taswira photo point ya mjini
maharusi na wapambe wao pamoja na mama willy





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. bwana na bibi arusi hongerni sana mmependeza sana kubwa kuliko mnafanana sana nawatakia maisha mema
    mdau north america

    ReplyDelete
  2. Wow! Safi kabisa Br. Willy. Nimefurahi sana kujua umeoa. Nawatakia kila la kheri kaka katika maisha yenu. Mdumu katika upendo.

    Msafiri.M
    Calgary, AB

    ReplyDelete
  3. be segito!!

    ReplyDelete
  4. MDAU MMOJA HAPO JUU ANASEMA WAMEFANANA. HIVYO NDIVYO HUWA WATU WANAOANA MARA NYINGI UFANANA, JUST FANYA SEMI MINI RESEARCH UTAONA HIVYO, MIMI MARA NYINGI NIMEONA MME NA MKE UFANANA HII NI ZAIDI YA 90% TRUE, HATA KAMA WATAOANA HAWAFANANI LAKINI SIKU SIKIPITA UTAWAONA WAMEGEUKA NA WANAFANANA. HATA MZEE WALIBENEKE, "MICHUZI THE MAESTRO" UKIJALIWA KUMUONA MY WIFE WAKE UTADHITISHA HILI WAMEFANANA PIA. PIA MZEE MICHUZI NILIKUWA NA CHANGAMOTO HII, KWA NINI NA WEWE USIJARIBU KUANZIA CHOMBO CHA HABARI CHA KWAKO, KAMA MENGI, KAMA WENYE VIJIRADIO MBAO WENGINE HAPO BONGO, KAMA SHIGONGO AMBAYE ALIKUWA MLALAHAOI KULIKO HATA WEWE, NIMEMUONA SANA AKISAGA LAMI FOR AGES/KWA MIAKA MINGI TU NA VIJIHADITHI VYAKE VYA ELFU ULELA KWENYE MAGAZETI. PLEASE THINK ABOUT IT, AND THINK BIG OUTSIDE THE BOX, PLEASE YOU CAN START EVEN THE COVERAGE OF DAR ONLY, IT IS NOT SUCH COLLOSAL AMOUNT OF MONEY NEEDED TO OWN A TV CHANNEL OR RADIO OR A NEWSPAPER. I CHUCK THIS MASSIVE CHALLENGING IDEA TO YOU, YOU HAVE GREAT EXPERTISM, YOU CAN DO IT, WHY NOT MAN!

    ReplyDelete
  5. Ooooh Ninah nimekuona kwa nyumaaaa, nimekumisooo sana..! DataVision, Mbona wengine siwaoni.? Wapi pili?

    ReplyDelete
  6. hongereni sana mungu awajalie

    ReplyDelete
  7. Mmependeza sana, nawaombea heri na baraka, furaha na amani Mungu awalinde na kuwatunza siku zote.. Mdumu katika upendo maana kwa upendo kila kitu kinawezekana! karibuni kwenye jumuiya kubwa kuliko zote, jumuiya ya wanandoa!

    ReplyDelete
  8. Willie na Anna, salamu nyingi za hongera na kuwaombea baraka kwenye chapter mpya hii ya maisha yenu. Mungu awabariki na awaongoze.

    Mlipendeza sana....

    EK
    Geneva

    ReplyDelete
  9. asanteni sana wote kwa pongezi zenu.
    W&A

    ReplyDelete
  10. mgaya na anna hongereni sana long tym maaan kinondoni wawaaaaaaaa big up neighbours!!!!
    mama G.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...