huu ndio wimbo ambao umeifanya bendi ya kilimajaro kuitwa wana njenje. usisahau siku hizi kila jumamosi wapo salender bridge club zamani pink coconut ama italian club. na mambo yamekwivya!!
Home
Unlabelled
asili ya jina la njenje
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Weee bwana we Michuzi
ReplyDeleteumenikumbusha mbali saaaana
jamani nimekumbuka nyumbani kweli
home sweet home
Michuzi unatakiwa utuletee mambo kama haya kila wakati, ili kwa wengine tulio mbali tuburudike maana hivi vitu kwetu ni hadimu.
Big up Michuzi !!!!
Mdau
Toronto
Canada
michuzi hayo mambo matamu.yananikumbusha enzi za bahari beach 90's.every sunday home hapakaliki the all family.sasa post ile DUME HILI DUME GANI,UKITAKA KULICHINJA LAZIMA ULIVUTE MANYWELE.
ReplyDeletemichuzi ongea na watu wa kilimanjaro band watutaarishiye album zao za kuanzia mwanzo mpaka sasa, kwani tukiagizia ndugu zetu huko bongo wanasema hazipatikani, wambie wakipiga show wawe nazao pale kwa mkata tiketi at least na sisi tufaidi jamani.kuwe na cd and dvd's pls.
ReplyDelete