mdau augustino chonya na mai waifu wake lulu wakipozi baada ya kumeremeta jioni hii kanisa la mtakatifu petro na baadaye kwenye mnuso royal inn mbezi juu jijini dar. mdau ni afisa uhamiaji uwanja wa ndege wa eapoti ya KIA na bibie anakula nondozzzz bado. usiulize wapi

maharusi na wazazi na wapambe



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. maharusi mmependeza, kila la heri katika maisha!
    Kelvin, Doncaster!

    ReplyDelete
  2. duuu,kuoa raha.

    ReplyDelete
  3. Jide kwenye blogu yake hua anamtindo wa "kupo ofu ze wiki" safi sana hii imetulia - HONGERA ZENU MAHARUSI!

    ReplyDelete
  4. Kaka Augustino,
    Nikutakie mafanikio mema katika maisha yako ya ndoa. Ninaamini utaendelea kuwa mnyenyekevu, mpole na mwenye kusikiliza. Msalimie wife. Kaka natia timu February, naamini nitaibuka kuwapa hi

    Bye
    Finland boy

    ReplyDelete
  5. Augustino,
    You have made it, Congratulations. remember that LIFE is WHAT YOU MAKE. Be Blessed and make sure that you make your marriage a history. With Lulu, I am sure you will manage. Wishing you the best in what you have just started.
    Cheers. Dr Semakafu

    ReplyDelete
  6. Dear Lulu,

    Tunawatakia heri na fanaka kwa maisha mapya ya ndoa yenu; your patience and determination made you just right couples. Best wishes!
    From us,
    Dr John Rwegasha,Agness, Audrey,Carol, and Bill.

    ReplyDelete
  7. Dear Lulu,
    Congratulations on such a great blessing of being married. We wish you all the best that life can offer.

    Your Brother

    Ben Kirato

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...