imesifika kuwa ni bichi bora kuliko zote kusini mwa tanzania kwa maji safi,
samaki watamu na vyungu kibao kwenye fukwe za ziwa nyasa. wadau wameiita bichi ambayo ni vyema uione kabla hujafa
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nimeikubali inabidi watu tufanye vakashion huko na panaonekana papo bomba
ReplyDeleteTanzania nzuri jamani,kila kitu kipo,tena kila KONA ya nji hii,lakini daaaah ndo hivyo tena TUMEKALIWA mwanawane,hatutoki hapa mpaka hii mi FISI MAJI itoke,huu ndio UKWELI.
ReplyDeleteBraza Michu, Hakika Beach hii ni moja ya vivutio vizuri sana katika nchi hii. Nimeishi hapo nikiwa nafanya kazi kwa karibu miaka miwili. Nilishuhudia wananchi wa nchi za Ujerumani na Nordic (Norway, Sweden,etc) wakifanyia mikutano yao ya mwaka hapa. Kuna gazeti moja la Kijerumani nililithubutu kuiita Matema Beach kama the BEST BEACH IN THE WORLD!
ReplyDeleteMATEMA NI MOJA YA FUKWE NZURI SANA ZILIZOKO KANDO YA ZIWA NYASA, LAKINI KAMA KAWAIDA YETU FUKWE HII HAIJAENDELEZWA NA KUIFANYA IWE TOFAUTI SANA NA ZILIZOKO NCHINI MALAWI AMBAZO ZIMEENDELEZWA NA KUFANYA WAZUNUNGU TOKA WAISHIO TANZANIA KUZITEMBELEA ZA MALAWI NA KUIACHA MATEMA. KWANINI TANZANIA INALEGALEGA KWA KILA FANI MIMI SIJUI ILA MUNGU ANALO JIBU.
ReplyDeleteIngieni kwenye YOUTUBE.COM muangalie video za beach zilizoko MALAWI kando ya ziwa hilohilo, hapo ndipo mtaona ni nafasi gani Tanzania ilipo zaidi ya kujisifu na kulalamika.
ReplyDelete