KARIBU UBURUDIKE USIKU MZIMA WA TAREHE 30 OCTOBER KWENYE AFRICAN BOAT PARTY UTEMBELEE ROTTERDAM PAMOJA NA VITONGOJI VYAKE.
USIKU WA BURUDANI HAKUNA KULALA NI BATA KWA KWENDA MBELE, YAANI NI JUU KWA JUU WAHI TICKET YAKO MAPEMA KABLA YA TAREHE 26 OCTOBER MAANA TICKET ZINAKARIBIA KWISHA!!!!!!!!!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. PARTY ITAFANYIKA KWENYE HIYO MELI HAPO AU HIYO MELI IMETUMIKA KUTANGAZIA TU??? KWA MAANA HILO MELI SI MCHEZO MIMI NIPO BAGAMOYO LAKINI NITAJITAHIDI NIWAHI TIKETI ZA HIYO PARTY ILI NIJE KUSHUHUDIA MARAHA LABDA NITAPATA MTOTO WA KIDHUNGU.

    ReplyDelete
  2. umeongerea mitungi tu. swala mikasi vipi?? wengine ndo hobi zetu hizo. tena mikasi melini na kaupepo kale aaaah raha tupu unapiga mpaka ishu inasinyaa

    ReplyDelete
  3. Kaka michuzi hebu tuwekeeni full contacts sisi tuliopo Holland tuweze kushiriki, maana kwa jinsi ilivyotangazwa kama kitu ambacho hakina uhakika, so tuwekeeni contact ili tuweze kuconfirm!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...