Redio na TV zote zilielekeza matangazo yao katika kuadhimisha miaka 10 ya kifo cha Mwalimu. Hii ni mojawapo ya vituo vya redion ikikumbusha wimbo wa maombolezo
Home
Unlabelled
radio na TV zamuenzi mwalimu kutwa nzima
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Mkuu wa nanihi wewe ni mtundu sana,yaani ulipokuwa unapita mitaa ya hapo umenikumbusha mbali sana,halafu ukweli niliangalia clip hii nikasema kama ni wewe nitajua kwa unapoelekea,ulipoanza kupinda kona ya hapo maktaba nikaanza kupata jibu la hisi a yangu kuwa ni wewe unaelekea daily news,hapo wala ulikuwa ujaongea na simu,nimependa shots sasa sijui ulikuwa unapigia simu yako au ile kamera yako?kaka yangu nitakutafuta kwa kupitia mail yako ni mimi mdogo wako ila uko juu sana!
ReplyDeletemh! hiyo nyimbo imekaa kizushi tu "ati umetuondoka wakati twakuhitaji" mbona alipokuwepo miaka yote maji na umeme bado vilikuwa ni bidhaa adimu?? kubwa kuliko ni mpaka leo jumlisha ulanguzi ufisadi wizi ndo kabisaa hali bado ni tete!! taifaaaa lahudhunikaaaa hakunaaa maendeleoooo kwaheri nyerere
ReplyDeleteDah uwimbo umenikumbusha mbali sana kwakweli.
ReplyDeleteVideo hiyo kwakweli hali inasikitisha katika swali zima la usalama barabarani.yaani hamna taa,njia zipo tu kama sio mwenyeji utagongwa na kufa.barabara chafu mno.mfano tu watu wa nje eg USA hatutaweza kuendesha nyumbani tena.inatisha sana huko..usalama F.
tunasikia foreni ni tatizo kubwa, mbona hapo mwanangu michuzi sikuona foreni yoyote magari yana unachaja mbuga tangu morocco hadi unaingia kati tambarare tu , au ilikuwa jumapili asubuhi nini??
ReplyDeleteanyway mimi kwakweli wimbo umenikumbusha mbali, lakini pia hiyooo shooting uliyoifanya imenikuna na kunikumbusha home kinoma. nimekumbuka mishkak kwa muchacho, nimekumbuka kilaji aina ya safari na kili naskia siku hizi kuna bia inaitwa serengeti sikuiacha!! kikubwa zaidi nimekumbuka sana nyama za kienyeji namaanisha totoz za kinyumbani ngozi moto huku mzee tunakamua nyama za kisasa ngozi baridi halafu saa ingine usipozama chumvini unaonekana hujakamilisha zoezi aaargh joto dogo radha inapungua hata kumfunga goli inakuwa inachelewa unajikuta unafunga goli dakika za lala salama! totoz kibongo bwana motoooooo!!!
shooting nzuri sana.
komba enzi zake za kufulia alikuwa anajua sana kuimba cjui sasa hivi ikitokea anatakiwa kuimba itakuaje na kile kitambi sidhani kama ana pumzi
ReplyDelete...that was kind of a nice Dar tour. I could do more with such stuff...make it regular, please...
ReplyDeleteanon wa 2:28PM mbavu zangu zinauma saana kwa kucheka kweli kuna wadau wanachekeshaga humu ndani acha tu ati enzi zake za kufulia ha ha haa uuwwiii
ReplyDeleteMICHUZI, NINA WAZO UNAONAJE UKIWA UNAFANYA KAMA HIVYO YANI KUONESHA BAADHI YA MAZINGIRA YA DAR(DAR CITY TOUR) ILI KUTUKUMBISHIA CC WA2 WA UGHAIBUNI TUKUMBUKE HOME, YAANI HAPO NIMEJIONA KAMA MM VL NASAFIRI KUPITIA ALLY H MWINYI ROAD
ReplyDeleteWimbo huu umenikumbusha sana nyumbani.Nakumbuka alipofariki mwalimu wimbo huu ulinisindikiza kwenda kuomba viza ya Marekani,kurudi nyumbani na kuelekea airport.Ni kumbukumbu nzuri ya kumuenzi mwalimu
ReplyDeletehakyanan..watu kama anonymous 12.19 huwa wananifanya nishindwe kustahamili..lazima niseme..inakuaje watu wanakua na akili finyu kiasi hiko cha kudharau nchi yako na kuifagilia nchi isiyo yako!..hakuna taa wapi na clip zinaonyesha mpigaji amesimama kwenye traffic lights za red cross na moven pick..hakuna wa kukuongoza kivipi kwani huko marekani ndio maaskari wanasimama barabari mpaka jumapili..michuzi si amepiga hio picha on a public holiday!less traffic, unataka matrafiki wakae njiani wakiongoza hewa!..uchafu wapi!..huko marekani ndo kuchafu zaidi..mfano tu nenda new york!..kuchafu, kunanuka!..china town ndio usiseme ndugu zako hao weusio ndo wanachafua kwa kazi za kimachinga!..nenda bronx,brooklyn, manhattan yoote ni uchafu mtupu, kwenye subway ndo usiseme, uvundo wa garbage na watu wanavyokula hovyo hovyo!..marekani ndio hata sio mfano wa usafi labda kwingine..usalama usalama gani unaozungumzia..marekani kuna usalama..cheki local news..kila siku ni abduction,rape,murder,shooting,looting..na mambo ya ajabu ambayo hata afrika hayawezi kutokea kama watu kuwateka watu na kuishi nao kwenye basement za nyumba zao kwa miaka 15! ndo maisha unayoyafagilia hayo!..ndio maana hata CNN kuna ya local na international..international ndio ya kutumbumbaza..wabongo wangeona local news za marekani ndo wangeelewa jinsi gani maisha ya huku hayafai..nawewe unayeyafagilia ndio nakuonea huruma kabisa...kwani hujui usemalo..na zaidi kwa kuwa unapoteza ur quality life time..most probably living a v misarable life somewhere in the surbubs..rudi nyumbani uinjey maisha..u ll never get this lost time in life again...hongera kaka michu..endelea kutupa clips zaidi, za maeneo mazuri na mabaya ya bongo..hatusemi kama sisi tuko perfect..tuna matatizo yetu vilevile..na tunayakabili..but kwenye credits tupewe credits..marekani nao wana matatizo yao..wanayakabili..lakini yapo..udumu uzalendo kwa nchi yetu...
ReplyDeletena kwa kuongezea watu mlio nje wenye tabia ya kutupumbaza sisi tulio bongo..muache..wengi wenye tabia hio mmeondoka huku zamani..enzi za watu kuwatuma raba na jinsi..na kuleta hom t.v zilizotumika..dunia sasa imebadilika..watu wanasafiri, kuna internet..so watu wanajua yoote kuhusu dunia yote..with a touch of a button..so msijifanye maisha mnayoishi nyie ndio ya peponi..mna raha zenu sawa..lakini mbona shida zenu hamzisemi...working 14 hours in a day..paying endless bills..maisha ya kuishi for today..kuishi kwenye nyumba, gari fanicha za kukopa ambazo hutamaliza kulipa madeni ndo maana unaendelea kuishi huko...nk nk..listi haiishi...natumaini ujumbe umefika..
ReplyDeleteNadhani mwimbo bora uliopigwa wakati wa kifo cha Mwalimu ni ule wa 'nenda mwalimu', nimekuwa nautafuta kwa kitambo lakini sijaupata. Kama kuna mtu anaweza kushare itakuwa vizuri.
ReplyDeleteAnon wa Thu Oct 15, 08:31:00 PM, Brilliant! una akili nyingi sanaa!!
ReplyDeleteanon wa Tarehe Thu Oct 15, 08:37:00 PM, sidhani kama umetufanyia justice walio nje kwa kauli yako. Sijui nianzie wapi kukujibu lakini nitasema machache. Kwanza watz tunalanguliwa sana hapo nyumbani. Hizo low-quality electronics zinazopatikana hapo za china ambazo wauzaji wanapata faida ya 400% sidhani ni za kujisifu. Usinianze na kwenye magari na nguo, najua hayo yote kwa undani ndugu yangu.....na unaongelea internet ambayo miaka nenda rudi ilikuwa kufungua page unasubiri mwaka na hela unayolipa hailingani kabisa na huduma, vya kujisifu vipo wapi hapo? Talking about 'with a touch of a button', get outta here!
ReplyDeleteUnaongelea mtu kazi. Wafuasi wa nyerere si wametoka kutukumbusha 'mtu kazi'? We unaona kufanya kazi 14 hours a day ni issue? Mimi sifanyi hivyo kwa muda sasa, lakini kama shughuli inalipa, especially sasa naingia kwenye kujiajiri nitafanya hata 20 hours a day, hamna cha kuona aibu kwenye kazi.
Napapenda nyumbani sana tu na nipo very optimistic na future yetu ya waafrika lakini kama tunataka kuambiana ukweli inabidi uanze na kuwa informed na tunachoongea, natumaini ujumbe umefika.