Home
Unlabelled
hepi besdei ya kuzaliwa baba tau
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Huo ni aina ya UFISADI bwana Michuzi.
ReplyDeleteMtaibaje muda wa kazi/serikali kufanya mambo yenu PRAIVET bwana.
Si mngefanya baada ya saa za kazi hata kule NAMNANI bwana? tene siku hizi wana menyu mpya mpaka ya Kihindi, Kichina na Ugali kwa kisamvu cha Nazi.
Wacheni hizoo!
anko umependeza kweli na hilo shati yani uko juu ka obama siku hizi uko smart hadi raha we acha tu jilie keki ankoli uburudishe mdomo na mawazo uzidi kutuletea vituz
ReplyDeletemiss michuzi
UNAONA INAMAANA HUJAONA HABARI ZA MABOMU WANYONGE WAMEONEWA, AU NDIO KUTAKA MADARAKA NA WEWE HAPO ULIPO???? MSENGE SANA KUMAMAYO.
ReplyDeleteHi jamani huu ushamba wa wanaume kulishana keki ulianza lini? Kwanza kabisa kabla hatujaanza kuvamia mila na desturi za wazungu, tuchunguze chanzo cha watu kulishana keki. The only time mtu anatakiwa kulishwa keki ni kwenye harusi yake, to make that moment special between the married couple! Lakini waswahili tumevamia mila zisizo zet na kuanza kulishana keki ovyo-ovyo! It is very disgusting kuona madume mawili yanalishana keki! Huu ushamba tuuache jamani! The bottom line is, keki ya birthday haitakiwi kulishwa mtu! Na vile vile ku-share umma mmoja na ofisi nzima is very un-hygenic! Ndio mwanzo wa kuanza kuambukizana magonjwa ya fizi!
ReplyDeleteAnko naomba utoe hiyo comment ya mdau wa ze utamu hapo juu saa 07.35pm aliyekutukana matusi ya nguoni hapa si pahala pake. Amenikera sana.
ReplyDelete@ 7:41 umenichekesha sana
ReplyDeleteMimi langu ni kuwa hawa watu I hope wakienda nyumbani basi husherekea tena na wake zao na watoto wao. Nimekulia bongo lakini sijaona baba yangu akisherekea siku yake ya kuzaliwa hata siku moja. Who knows alikua anamalizia kila kitu ofisini...VIbaya hivyo mwende nyumbani msherekee na wapendwa wenu sio mkalie kulishana cake tu huko makazini.
Good birthday unatoka na mke, na watoto wako for a nice romantic dinner......
Jamani wewe Anony wa 15/10/2009 saa 07:35 ndo nini kufurumusha matusi hivyo. Kaka michuzi na wewe una moyo, hata unadiriki kuyarusha hewani hivyo hivyo. Haipendezi kabisa matusi ya nguoni kuanikwa kwenye blog yetu tuipendayo. Wee Anony next time tutakufuatilia tukuchukulie hatua za kinidhamu ikiwa ni pamoja na kukubloc usifungue Ze Michuzi.
ReplyDeleteHabari yako anko michuzi,
ReplyDeletePole na kazi pamoja na masahibu yake kama mdau wa tatu hapo juu alivyojinafasi.Usikasirike wala nini bali muombee kwa Allah ili siku moja na yeye ajaaliwe lau chembe.
Pia mpe pongezi zake dada Zena,amependeza sana Mashallah.
Mdau ana hasira mpaka toothpick ameona ni uma!
ReplyDeleteAloo wewe anony wa 3 kiboko,yaani hata tafsida kidogo, huna akili hata kidogo hebu chagua cha kuandika, hii blog mpaka watoto wanapitia taffadhali tujiheshimu. Nawe mjomba Muhidini hebu maoni kama hayo siku nyingine usituwekee.
ReplyDeletekweli watu ni wachokozi. braza ila wewe kiboko kila mnuso lazima nione sura yako ndio maana watoka shavu.
ReplyDeleteHii ni blog ya jamii na katika jamii kuna watu, binaadam, wanyama na viumbe mbalimbali. Huyo anony wa tatu hapo juu nadhani ni katika hao viumbe ambao siyo binaadam, kabahatika tu kujua kusoma na kuandika lakini akili ya kutambua kwamba aandike kipi hana, ndiyo maana kajiandikia anavyotaka. Ustaarabu ni GHARAMA kubwa, ambao watu tumeushindwa. Hayo matusi hayafai kwenye hii blog ya jamii!!! Kama kweli ni binaadam aombe samahani kwenye blog ya jamii.
ReplyDeletemimi ninavyofahamu maoni hayaanikwi hapa mpaka yawe aproval na anko mwenyewe,sasa sifahamu anko haya matusi aliyafurahia ndio maana kamua kuyatoa au anko umepitiwa.
ReplyDeleteivi uyo annon 3 juu,,,alizaliwa na mwanaume au mnyama??
ReplyDeletekama hana mama atukane ivo na siku zake si nyingi zimeesabiwa!!
anko umepitiwa nn adi kumrusha umu?
Mash Allah Zena Chande amependeza sana
ReplyDeleteAuntie Zena, sijui umeli-match jina ama jina limeku-match wewe. ila 'mashallah' mmechangamana..Zena - maana ake 'mrembo'(kiarabu)..kama ni kifupi cha Zainabu - maana ake 'anachojivunia baba'.hapa vyote ni sawa tuu. Anko,ntakutafuta unipe japo namba. Na usiseme hana simu, hiyo hapo mkononi mwake..
ReplyDelete