Home
Unlabelled
kocha mpya wa yanga amwaga wino, aanza kazi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hivi kwa nini timu za Tanzania hususani Simba na Yanga zinapenda kuchukua makocha kutoka Serbia...wadau ningependa mnijuze juu ya kiwango cha soka cha huko Serbia na ujuzi pia wa hao makocha. Na je timu iyo akipewa Mkwasa nakupewa mshahara mzuri na support haitaweza kufanya vizuri??Mimi hawa makocha wananipa kichefuchefu tu..haaaaaaa!!!!Madega mwanasiasa bora ukagombee ubunge uko Chalinze...pumbavu watu wanaingia kwenye uongozi wa michezo kwa malengo ya kisiasa...nyambafuuuuuu
ReplyDeleteHahaha! washaona moto unakuja na hauepukiki, wanajua wakichapwa watasema kocha bado mgeni!!!! good 4 us Simba SC. Kweli mna chairman anayeona mbali!!!
ReplyDeletemwanangu hii pic ya pili,hawa dogo's wanaonekana ka wala hawamuelewi huyu fundi BOMBA toka Serbia anasema nini,Lugha nadhania huwa inakua boooonge la shida huko kambini kwao.
ReplyDeleteHuyo kocha amejitayarishaje na yaliyomkuta mwenzake Kondic, maana alianzia New Africa, akaenda valley view na akaishia klabuni achilia mbali mambo ya mshahara na gari ambapo sasa anatembelea basi la timu!!! hiyo ndiyo bongo, karibu sana msebia naona wewe shughuli yako itaisha mapema mwishoni mwa mwezi huu.
ReplyDeleteMdau wa kwanza Serbia ni sehemu ya iliyokuwa Yugoslavia. Timu yao ilishiriki katika mashindano ya kombe la dunia ya 2006, japo hawakufurukuta. Wameshajikatia tiketi kwa ajili ya mashindano ya mwakani.
ReplyDeleteUzuri wa kocha hautokani na alikotoka bali anachoweza kufanya. Miongoni mwa makocha waliofanya mambo makubwa Tanzania kwa miaka ya karibuni ni James Siang'a ambaye ametokea Kenya tu hapo. Kiwango cha soka Kenya na Tz havipishani sana. Kwa upande mwingine King Abdallah Kibaden mputa amefanya mambo makubwa nchini kwa kuifikisha Simba fainali za CAF na ni kocha mzalendo. Dragan Popadic alikuwa Myugoslavia (sijui kama alitokea Serbia, Croatia au Slavia) naye alifundisha soka likaonekana. Lakini kuna kocha kama Micho ambaye mpaka anaondoka ilionekana kama ameleta usanii tu. Kondic naye alionyesha kujua kushinda ligi ya ndani tu, timu yake ikiona waarabu inatandikwa thelatha mpaka hamsa.
Mwachieni nafasi Papic aonyeshe ujuzi wake, kama mweupe tutajua tu.
U-Kanumba unapanda hapo, au ndo lugha za kibubu tu zinazotumika.
ReplyDelete